Endapo yanga watachagua team nzuri ya watu wakazungusha haya makombe mawili NBC na Crdb kuanzia dar hadi kigoma na Rukwa na kutoa offer ya Kila shabiki kupiga picha na kombe kwa sh.2000=1000 KILA...
Kocha wa Zamani wa Yanga Nabi kwasasa anakinoa kikosi cha ASFAR Rabat ya huko Morocco.
Ligi hiyo imekamilika kwa mzunguko wa kwanza na hizi ndizo takwimu za kocha Nabi.
Amecheza mechi 15
Ana...
Hili ndiyo taifa lenye wachambuzi wa ajabu kabisa katika tasnia ya mpira wa miguu, wachambuzi wengi walijifungia Mwanza toka waliposikia kuwa timu itachinja ng'ombe 25, wamesahau kabisa kuwa...
Jioni moja ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa, Simba Vs FC Platnum, mechi ya marudiano ya Klabu Bingwa Afrika, matokeo yakiwa ni 0-0 Simba wanafanikiwa kupata penati, wachezaji wa Platnum...
Itakuwa ni aibu na hasara kubwa kwa Klabu ya Yanga kama itashindwa kuingia hata makundi kwa usajil walioufanya. Aziz Ki amesajiliwa kwa hela nyingi na analipwa zaidi ya mil. 20 kwa mwezi.
Huyu...
Zaidi ya mashabiki 1,000 wa Fenerbahce wameshiriki katika mapokezi ya kocha wao mpya, Jose Mourinho wakati akitambuliwa kwenye Uwanja wa Sukru Saracoglu Jijini la Istanbul.
Kocha huyo amerejea...
Tumeshuhudia msimu uliokuwa na wachezaji wasio na ari kabisa ya mafanikio.Wachezaji tunaowajua kwa uwezo wao waliweza kutushangaza kila wabapoingia uwanjani kwani ilikuwa nadra kutoruhusu bao...
Sifahamu sheria za soka zinasemaje kuhusu hili , lakini ni wazi kwamba wachezaji wa Azam wanaidhulumu timu yao , hawastahili kufungwa kizembe namna kama wafanyavyo , ni wachezaji wanaopewa karibu...
Kwa wale wasio jua, Mlima Kilimanjaro ndio Mlima mrefu kupita yote duniani.
Kwa wale walio karirishwa la saba b watasema " Mlima Himalaya/Everest ndio Mlima mrefu kupita yote duniani"
Ni hivi...
Ukitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi pengine Feisal asingeondoka Yanga na kama Feisal asingeondoka na kwenda Azam kulipwa hela...
WACHEZAJI WA AZAM FC HAWAMTAKI KOCHA DABO
Hatimaye Jinamizi la Kumkataa la Makocha kukataliwa na wachezaji wa Azam limeibuka tena na sasa ni kwa kocha Dabo.
Habari za Uhakika ni kwamba safari...
Azam sports club ni club ambayo naamini wachezaji wake wana kila kitu lakini imekuwa haifanyi vizuri.
Bakhresa group ibadili malengo ili isijikite katika kuwania ubingwa bali kukuza vipaji na...
Nitakua mtu wa mwisho kukubaliana na wote wanaosema uwanja wa New Amani stadium ni uwanja bora kuanzia kwenye pitch hadi setting kuanza na taa mpaka kwenye billboards kuzunguka uwanja kama hakuna...
Mwandishi, "Tumesikia kuna kikao kimefanyika kuhusu kutaka kujiuzulu kuna ukweli?
"Nani kasema nataka kujiuzulu? Mimi bado niko Simba na sifikirii kuhusu hilo. Mbona timu ikifanya vizuri...
Majira ya saa 6 za mchana (sawa na saa 10 jioni Indonesia), vijana wa Taifa Stars watamenyana na timu ya Taifa ya Indonesia katika mechi ya kirafiki.
Uwanja ni ule ule GBK Madya Stadium (Gelora...
Hii ndio taarifa ninayoitoa leo kwa Wapenda soka wote na hasa kwa Mashabiki wa Yanga .
Baada ya Mayele kulazimishwa kuuzwa ili viongozi wa Yanga wapate Pesa, nataka wale viherehere wote wa Yanga...
Patrick Nyembera ni mmoja kati ya wachambuzi wa michezo nchini ambaye anafanya kazi hiyo Azam Media. Na mara zote amekuwa ni Commentator wa masumbwi ambayo kwa Azam wanaita Vitasa. Katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.