TFF hebu oneni aibu basi, inakuwaje Tuzo za ligi ya msimu huu zikafanyike mwanzo wa msimu mwingine?
Hili linashangaza sana maana mmeamua kuvunja hata kanuni yenu wenyewe kwa sababu Kanuni ya 11...
Usajili wa clabu mbili kongwe Simba na Yanga ikiwa simba imemsajili Freddy na yanga imemsajili guedde
Ila ukweli mchungu kuna usajili wa upande moja ni hasara tu so tuta judge kwa kuangalia mechi...
Kama una ungana na Pep Gudiola, pamoja na kuwaunga mkono na kuwaombea dua Ndugu zetu wa Palestina basi like hapa.
Spain 🇪🇸 💪🏽
Norway 🇳🇴 💪🏽
Ireland 🇮🇪 💪🏽
Basi kwa leo nawaombeni Mods msifute uzi...
Mchezaji Bora nategemea atoke miongoni mwa wale wachezaji walioshinda tuzo za Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/24 wa kila mwezi.
Wachezaji Bora tokea mwezi Agosti 2023 hadi Mei 2024...
I will be short
These are the most useless individual in our football. i believe we could have been better than what we are today.
1. Ligi yetu ina panga matokeo kama ligi ya Kenya. Shame...
Man UTD wako shirikisho, Chelsea wanajitafuta, vipi Simba kucheza shirikisho iwe kesi.
Cha msingi tukubaliane na matokeo lakini uongozi ukubali kuwajibika, nionavyo hata mwakani hakuna...
Bado hata haijulikani jezi ipoje ila kibegi tangu itoke Dar es Salaam inatrend kuliko usajili wa Yanga na siku ya mwananchi.
Kibegi kimezima hata kuhama kwa Mayele ,je Simba day itakuwaje kama...
I don't see any other activities in quarantine except betting =) and playing in Dota. the world has gone mad, but there must be some financial income, at least to buy food. I continue to bet. but...
Kama unaangalia the way yanga wanavyo cheza sioni timu ya kuwatoa kama watarekebisha makosa haya ya mipira ya juu kwa wachezaji wao
Yanga hawana mpira wa kupaki eti wajazane wote nyuma kuogopa...
MALENGO YA SIMBA 2023/24 PLAN A[emoji116]
[emoji735] KUFIKA NUSU FAINAL CAFCL
[emoji735] UBINGWA FA
[emoji735] UBINGWA NBC
PLAN B
[emoji735] FEI TOTO kutwaa ufungaji bora
[emoji735] Simba...
Akiwa kwenye mahojiano yanayorushwa kupitia EATV katika kipindi cha Salama na Rais wa Yanga Engineer Hersi, Amesema kuna club ilikuwa imejipa utawala na kujiona wao ni vichwa. Sasa alikuwa kwenye...
Nikiwaambia nitafuteni GENTAMYCINE niwatafutieni Wachezaji mahiri na wa Kazi Kazi kweli hamtaki na mnawapa Jukumu hilo Wanafiki na Wapigaji.
Nimeucheza Mpira, Naujua Mpira na Nauchambua Mpira...
Wakuu salaam,
Imekuwa ni kasumba sasa kwa washabiki/viongozi pamoja na wachambuzi uchwara kuwa timu ya Simba ni bora hapa nchini kwakuwa bado ipo inashiriki ligi ya mabingwa barani Afrika...
Kuna uzi unazunguka humu ukikosoa analysis ya mwanajamiiforum mwenzetu OKW BOBAN SUNZU kuhusu mchezaji Aziza Ki sisi kama wanasimba tunamuona Okwi kama shujaa wetu kwakuwa amepigwa mawe sana na...
Kelele za Yanga jamani. Mwaka huu shirikisho ni vituko tu. Marumo Gallants South Afrika wanashika mkia lakini wameongoza kundi lao shirikisho. Tukisema shirikisho hakuna Timu Bora mwaka huu...
"Kombe la shirikisho ni kombe la loser, hata kama jana Yanga ingeshinda hata siyo Ishu. Siyo Champions League ile."
Simba wote tumefurahi sana Yanga kupigwa. Tuna sababu za msingi kufurahi. Video...
Kocha Pep Guardiola anatarajiwa kuondoka ndani ya Klabu ya Manchester City, mwishoni mwa msimu ujao wa 2024/25 mkataba wake utakapomalizika.
Guardiola (52) aliyejiunga na Man City Mwak 2016...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.