Yanga ingekuwa na kikosi kama Cha Simba na hela za Mo hizo hizo anazotoa kipindi kile Simba anachukua ubingwa mara 4 Simba wasingekaribia hata kidogo Hilo kombe
Imagine una kocha mzuri wachezaji...
Simba wamefuzu hatua ya makundi na mbwembwe hazikuwa kubwa sana kwa sababu ni kawaida yetu, sasa nashangaa Yanga kufuzu kwenye Kombe la Losers wamejichelewesha makusudi kurud bongo ili wapate...
Sasa ni rasmi msimu ujao Klabu ya Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC licha ya wote kuwa na pointi 69 kwenye msimamo wa Ligi...
Kila baada ya mechi ikiisha makocha wazawa wakiohojiwa huwezi kukosa kuyasikia haya mambo manne.
1. Kwanza kabisa tunamshukuru Mwenyezi Mungu.....
2. Mpira ni mchezo wa makosa, tumefanya makosa...
Aziz Ki amevunja rekodi ya ufungaji bora misimu mitatu iliyopita afikisha magoli 21 na kuibuka top score wa msimu.
---
Kiungo Stephan Aziz Ki amemaliza kinara wa ufungaji kwenye ligi kuu soka...
Leo majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Azam Complex, timu ya Tanzania Prisons itajipanga mistari miwili kutoa heshima kwa mabingwa wa nchi timu ya Yanga. Baada ya hapo kutapigwa kabumbu...
Taja kikosi chako bora cha msimu 2023/2024 msimu unaomalizika leo
kikosi changu
1.Diarra
2.Yao
3.Lawi
4.Job
5.Bacca
6.Aucho
7.Pacome
8.Feisal
9.Aziz Ki
10.Waziri JR
11.Mudathiri
Naaaje wazee,
Ligi ya NBC inaelekea ukingoni huku Bingwa akiwa ameshafahamika tayari. Kwa sasa vita ipo sehemu nne tu:
1. Nafasi ya Pili
2. Nafasi ya nne
3. Kujinasua kucheza Playoff
4...
Nafasi ya pili hiyoo inayeyuka!
Kwa msimamo wa ligi ulivyo Sasa, ndio kusema Ili Simba iwe nafasi ya pili basi mechi yake ijayo na JKT, ifunge bao 10 bila majibu. Wakati huo huo na Azam ishinde...
Leo katika mechi ya Yanga dhidi ya Tanzania Prisons, Wakati Aziz Ki alipoenda kupiga kona, mashabiki walimzonga kwa kumwambia aache hilo jukumu la kupiga kona lifanywe na mchezaji mwenzake na yeye...
Geita hawajawahi kufungwa na Azam pale kwao, leo wakifungwa wanashuka daraja, leo wakisare wanashuka daraja, wana mambo mawili, wakubali kuisaidia Simba ifuzu nafasi ya 2 na kujinusuru wasishuke...
Leo Geita Gold itamenyana na Azam FC kwenye uwanja wa Nyankumbu Geita.
Je, Azam ataweza kumaliza kwenye nafasi ya pili au Geita Gold atapambana ili kujinasua kushuka daraja?
Yetu macho.
Uwanja wa Mkapa ulijengwa kwa ushirikiano wa Serikali ya #Tanzania na #China, mpango uliopo mezani ni mchakato wa ujenzi wa uwanja mwingine wa kisasa ambao Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu...
1. Harmonize anaonyesha ishara za lugha za matusi hadharani hasa zikiwadhalilisha wanawake na mashabiki wanazishangalia, jambo la kushangaza mpaka sasa sio LHRC, TAMWA, BASATA, TFF au taasisi...
Wakuu habari za asubuhi, Leo Kuna Mechi za maamuzi kwa team nyingi eidha kwenda Caf champions league au Caf confederation, na wengine eidha kusalia kwenye league au kucheza play off au kushuka...
Ligi kuu ya NBCPL leo rasmi inatamatika kwa kucheza michezo nane na hadi sasa Bingwa ni Yanga lakini tutashuhudia vita vikali vya kumaliza nafasi ya pili ambapo hapa ni Simba sc na Azam fc ambao...
Moto umeshawashwa,masufuria tayari kwa ajili ya nyama la kafara.
Mgeni rasmi kutoka Gambush, anasubiriwa ili kuanza ibada Rais wa wa wachawi lake zone
Azam ama zao ana zetu
Salaam Wakuu,
Kama ilivyo ada inapofika mwisho wa msimu baadhi ya Wachezaji pia humaliza mikataba na timu zao, Miongoni mwa Wachezaji waliomaliza mikataba yao kwa nchi yetu ni Cloatus Chota Chama...
Tupo mwishoni mwa ligi kuu ya NBCPL msimu huu 2023/2024 ambapo mei 28 2024 ndiyo tamati yake
hadi sasa vita vikubwa ni Aziz Ki na Feisal katika kuibuka mfugaji bora, vita nyingine ni ya AZam fc na...
Chama is an amazing player no doubt. but he doesn't give everything to the team. to let a foreign player act like a coward and still keep him at any cost, simba has disciple issues.
#These...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.