Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Imagine coverage Haina drone camera hata Moja picha za juu za kawaida kweli kweli Sauti nadhani Kila mtu anaisikia hata Millard Ayo angefanya vizuri zaidi ya hii NB: Mtu ambae Azam imempa...
0 Reactions
8 Replies
621 Views
Ukiangalia namna viongozi wa Azam na wachezaji wake wana hali ya usimba na uyanga mle. Kitendo cha Azam kufungwa goli tatu na Simba kulileta tafsiri ya aina yake kwasababu Azam walihitahi tu point...
3 Reactions
11 Replies
718 Views
Nawasalimu nyote. Hamjambo hapooooooo!! Hahahaaaaa. Ok twende moja kwa moja kwenye hoja,ni hivi MISIMU mbalimbali ya ligi hapa duniani hiyooo inaisha ila mingine bado inaishia. Nina swali...
2 Reactions
6 Replies
341 Views
Timu ya UMITASHUMTA ya wanafunzi wa Shule za Msingi za Musoma Vijijini wako kambini wakifanya mazoezi yakiwa ni kwa ajili ya maandalizi yao ya mashindano ya UMITASHUMTA Mkoa wa Mara. Mbunge wa...
0 Reactions
0 Replies
250 Views
Leo pale chamazi kulikuwa na vituko, walidhania mnyama atashinda meengi hivyo jamaa wakagharamiwa kila kitu, mpango ulikuwa half time watoke ngoma katuro then kipind cha 2 washinde idadi hiyo...
15 Reactions
29 Replies
2K Views
Ipi ni nafuu kwa watu wa Simba kati ya possibilities hizi: Simba kushika nafasi ya tatu na Feisal kuwa mfungaji bora; au Simba kushika nafasi ya pili na Aziz Ki kuwa mfungaji bora
4 Reactions
10 Replies
560 Views
Kwa Mpira mkubwa walioucheza Dar na leo Jorzy nina uhakika Msimu ujao wa Mashindani ya Kimataifa na Usajili wa Kiufundi na Kimkakati ukiendelea kufanywa nao nawaona kufika Fainali ya CAFCL na hata...
36 Reactions
46 Replies
3K Views
Enock Inonga amejua hana maisha ndani ya Simba na pia anajua alichowauzi Simba ila alikuwa hajui kuwa Simba wapo mbele yake kimawazo. Baada ya kugundua hili alianza kutafuta Timu hasa zile ambazo...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Leo Timu bora kuliko zote Africa Mashariki na Kati kwa mujibu wa CAF, Mnyama Simba Sport Club anakutana na KMC katika mchezo wa NBC Premier League. Simba inaingia uwanjani ikiwa inawania nafasi...
7 Reactions
107 Replies
7K Views
Wakuu Azam tv hivi karibuni imeanza uhuni ambao lazima ukemewe! Azam walijinasibu kuonyesha ligi ya ufaransa (Ligue 1) ligi ya ujerumani (bundesliga) ligi kuu ya Tanzania (NBC) na hivi karibuni...
30 Reactions
72 Replies
6K Views
Wakuu jana nilipata fursa ya kuangalia mashindano ya under 20 kwa timu za ligi kuu kati ya azam na dodoma jiji. Kiukweli nilichokiona kilinisikitisha sana. Wachezaji wa under 20 kwa kawaida...
1 Reactions
7 Replies
537 Views
Hamtaki Chama na hamna mbadala. Leo inonga kawa mbaya, Hamtaki Sary na mlisuguana sana na Mohamed Husein. Hamtakii Mgunda mnamtaka Ibenge. Kwa profile gani ya ivi karibuni. Ata kama mnanjaa...
2 Reactions
8 Replies
831 Views
Kuna hizo mechi tatu wadau nataka nitie hii laki tisa mnayoona hapo vipi nitataboa au nitapotea wadau mawazo yenu muhimu kama wawekezaji kuelekea mwisho wa ligi
7 Reactions
97 Replies
4K Views
Leo ndio ile siku ya mabingwa wa nchi Yanga Afrika kukabidhiwa kombe la ubingwa wa ligi ya Nbc. Ikumbukwe huu ni ubingwa wa 30 kwa Yanga Afrika. Kuwa nami paka mwisho ili kujua kile kinachojili...
7 Reactions
183 Replies
14K Views
Najua tu kuna wana Simba SC watanichukia kwa hili, ila ukweli ni kwamba TFF, TPLB na Simba SC wanaionea KMC FC.
10 Reactions
32 Replies
3K Views
Nilijianda kuangalia sherehe hizi za ubingwa lakini inakaribiaa lisaa sasa nachoona ni mahojiano tu, inakera sana. Kipindi kimegeuka kuwa kama cha Seki ama Skonga, tunaemuona ni mtangazaji...
1 Reactions
2 Replies
315 Views
Kikosi cha Azam kilichoanza Kikosi cha Kagera Sugar kilichoanza
2 Reactions
66 Replies
8K Views
Leo ndiyo leo bata la ubingwa wa Yanga,je upo tayari kuenjoy na kuwakera my wetu Simba?
6 Reactions
13 Replies
515 Views
Tofauti na basketball kuwa mchezo wa watoto wenye malezi bora na wanaothamini elimu ,soccer,football,kandanda ni mchezo wa kihuni tu bora hata boxing. Kule USA huwezi kucheza ligi kuu ya kikapu...
2 Reactions
15 Replies
569 Views
PATRICK MOTSEPE: LILE LILIKUWA GOLI HALALI KABISA Rais wa CAF, Patrice Motsepe alipowasili kwenye uwanja wa ndege visiwani Zanzibar kwa ajili ya fainali ya michuano ya Africa Schools...
9 Reactions
67 Replies
4K Views
Back
Top Bottom