Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hii ni makala ambayo nitaelezea kidogo yaliyokuepo Jana. Baada ya shamrashamra za kujiandaa kupokea ubingwa ilibidi lipigwe kabumbu Moja matata sana,, kabumbu ambalo lilianza kwa furaha kedekede...
6 Reactions
6 Replies
753 Views
1. Diarra kipa wa Yanga 2. Kevin Kijir wa Singida 3.Tshabalala Simba 4.Ibrahim Bacca Yanga 5. Che Fondoh Malone 6.Kevin Nashon Ihefu 7.Kibu Dennis Simba 8. Najim Magulu Tabora United 9.Feitoto...
0 Reactions
23 Replies
948 Views
Naaaje wazee! Kwa Sisi wadau wa soka la nyumbani uhondo wetu unafikia mwishoni. Mpaka sasa Wananchiiiii wamesepa na kikombe Chao huku watani zao wakiendelea kujitafuta kupambania nafasi ya pili...
2 Reactions
12 Replies
785 Views
Kama gym kwenywewe mazoezi ndo haya bakini na gym Zenu na mazoezi yenu.
22 Reactions
138 Replies
8K Views
Msilale bila kujikumbusha kwamba Charles Lecrec (Ferrari) mtoto wa miaka 26 kutoka Monaco, kashika namba 1 uwanja wa nyumbani, Circuit de Monaco kwa kutumia muda wa 2:23:15.554 (saa: dk : sekunde...
2 Reactions
19 Replies
674 Views
Haya ameyasema Leo baada ya Yanga kutangazwa kuwa mabingwa. Aucho amewashangaa Watanzania kuwashangalia wageni hasa katika mbio za ufungaji Bora na kumuombea Fei asifunge lakini pia amependekeza...
14 Reactions
99 Replies
5K Views
1: Pickford 2: Walker 4: Branthwaite 5: Stones 3: Shaw 6: Rice 8: Mainoo 10: Bellingham 7: Saka 11: Foden 9: Kane
3 Reactions
4 Replies
450 Views
Watu wa Soka, Umofia kwenu. Nimekuwa nikipokea SMS nyingi na maswali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu nini kimetokea kati yangu na Klabu ya Singida Fountain Gate ambayo nilikuwa naitumikia kama...
19 Reactions
81 Replies
3K Views
Kwa mechi kama tatu tangu arudi uwanjani baada ya kelele kuwa nyingi bado naona Pacome hajawafiti kucheza game tough na game ya final FA anahitajika sana nadhani game ijayo atapumzika. NB: Hawa...
2 Reactions
14 Replies
723 Views
Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa. Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya...
9 Reactions
85 Replies
3K Views
Inawezekana wachambuzi, mashabiki wa Simba na wadau wa soka wanaiona Simba ni mbovu ila upande wangu naona Simba inaonekana ni mbovu kwasababu inalinganishwa na Yanga. Yanga msimu ni timu bora na...
13 Reactions
18 Replies
1K Views
Lengo langu ni kuona mechi za Tanzania na ulaya. Leo tulikiwa tukiangalia fa ulaya nasikitika Amzam hawakuwa na time na FA cup final kati ya man u na man City. Nakwenda kung'oa anyltena dish la...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
1: Onana 2: Dalot 4: Lisandro Martinez 5: Jarrad Brathwaite 3: Ian Maatsen 6: Mainoo 8: Joao Neves 10: Bruno Fernandes 7: Kvaratskhelia 11: Garnacho 9: Hojlund
4 Reactions
14 Replies
612 Views
Kama Mada Inavyosema. Mimi nimekulia Morogoro na nimecheza sana ndondo miaka ya late 1990's na 2000's nikitokea timu ya Ghetto Boys ya Mvomero. Katika makuzi yetu tulikuwa tunacheza sana ndondo...
5 Reactions
158 Replies
5K Views
Habar Mwanajukwa. Tanzania tuna penda Mpira sawa ila tuna ujinga mwingi sana. Watanzania wapenda soka wapo tayar kuhatarisha maisha ya mchezaji kisa kitu flani tu. Pacome mliambiwa na Kocha na...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
We miss out alot of contents from other lower teams. my thoughts is less information is shared about these teams leading to fewer fans, and unknown good players. My advice to Tanzania league...
4 Reactions
4 Replies
327 Views
Leo sasa ni Paredi la Ubingwa wa Yanga upo mitaa ipi kuliona Paredi la Mabingwa
2 Reactions
8 Replies
633 Views
"Nafikiri ndiye mchezaji pekee ambaye hayupo yanga, natamani kucheza nae sababu napenda watu wanafanya mchezo kuwa rahisi. Kama akija sawa na asipokuja pia sawa. Namfahamu nilianza kumtazama...
1 Reactions
10 Replies
992 Views
Fainali ya ligi ya mabingwa 2nd leg inapogwa leo saa mbili kamili usiku
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Back
Top Bottom