Hawa makorokwinyo wanaenda kulizungusha kombe lipi? Tff na bodi ya ligi watakabidhi kombe baada ya mechi ,hili ambalo alikamwe anaenda kulizungusha kwa chopa amelitoa wapi kama sio wizi ? Inamaana...
Safari hii makolo mmeingia cha kike, yaani tukikuona tu unazurula na jezi lako la Mo Xtra kwenye paredi la ubingwa wa Yanga tutakushughulikia ipasavyo maana utakuwa unahatarisha furaha ya...
Yanga wamemtafutia lishangazi moja . To stimulate Aziz Ki to stay . what a great move .
Pisi ina mimba ya aziz kii , soon anakuwa na mcheza mpira wa next generation .
We wait . Will he stay...
Kulikuwa na mashindano ya kikapu ambayo chini umri 16.Washirki wawili walikutana ambao USA na el salvador's .
Matokeo USA alishinda kwa vikapu 114 huku El salvador's 19.
Umejifunza nini hapa...
INONGA: MKATABA WANGU UNAISHA 2024 NA SIO 2025 KAMA INAVYODAIWA
"Mimi siujui huo mkataba wanaousema wao mimi navyofahamu ni kwamba Mkataba wangu unamalizika msimu huu na hivyo ndivyo ilivyo...
Nimepata kuwasikia baadhi wa mashabiki wengi wa timu tofauti tofauti wengine wakiwa miongoni mwa mashabiki wa Simba wengine nje ya Simba na baadhi ya wachambuzi wkisema TFF haopo sahihi kwenye...
Aliyekuaa kocha wa Miamba ya Hispania, Xavi Hernàndez leo asubuhi ameachishwa kazi na rais wa Miamba hiyo Joan la Porta imeripotiwa Xavi na mchezaji muhimu wa zamani wa barcelona hatokua tena pale...
Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini Pauline Philipo Gekul akichangia makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Utamaduni ,Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2024/25 ameiomba Wizara hiyo kupeleka...
Naangalia hapa mashindano ya mashule kwa mpira wa miguu ngazi ya Afrika,
Haya mashindano bila shaka yamefana sana lakini nimeona kasoro kwenye team ya Tanzania wasichana ambapo kocha ni Bakari...
Kanuni inasemema "Taarifa ya mabadiliko ya uwanja inatakiwa kutolewa siku 7 kabla ya mchezo"
lakini imekua tofauti kabisa kwenye mchezo wa Simba sc vs KMC kwani jumamosi iliyopita timu ya KMC...
Na mchambuzi wa mchongo Mnyunguli
Yes nawaona mbali Celtics msimu huu wakienda kubeba hii ndoo baada ya kitambo kirefu cha miaka 16,mara ya mwisho kutwaa ubingwa huu ilikuwa 2008 dhidi ya Los...
Picha inajieleza na kaambatanisha na kanuni za league kuu ya Tanzania bara.
Kwako Karia TFF na bodi ya league yako, tunakufuatilia tuone mtaamuaje mechi hiyo. Mnatutia aubu na kuturudisha zama...
ALLY KAMWE: TUMEWAJAZA WAMEJAA
"Tunaemtaka Pale yupo Tumewajaza Kwa Rasta Wamekurupuka Wamempa Mkataba Na Pesa Nyingi, Hatuwezi Kumsajili Mshambuliaji Kwa Msimu Ana Bao Moja tu Pekee." -Ally Kamwe
Kwa maneno mengine ni kwamba ukichora mstari juu sambamba na ule wa chini halafu uchore mstari mwingine kutoka juu hadi chini perpendicular (nyuzi 90) hapo ulipo mpira, huo mstari wa kutoka juu...
Mchezaji aliyewahi kuichezea Simba kwa siku 54 Dejan Georgijević ameshinda kesi ya madai dhidi ya Simba na anatakiwa kulipwa milion 500 za Kitanzania kwa kukiukwa mkataba wake wakati anachezea...
Wachezaji hao ndio vinara wa magoli kwenye NBC Premier League ambapo mpaka sasa wamefunga magoli 15 kila mmoja na hadi sasa timu zote zimesaliwa na michezo 3 pekee kutamatika kwa ligi kuu msimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.