Fainali ya Kombe la CRDB itakuwa kati ya timu ya YANGA na AZAM. Uongozi wa TFF ulipendekeza kuwa fainali hiyo uchezwe Mjini Babati lakini kutokana na wingi wa mashabiki/ watazamaji na ukubwa wa...
Kila jambo huwa na zama zake. Kwenye mpira ni hivyo hivyo, clubs hutamba na kupotea. Zama za Man U na Chelsea zimekwisha. Tangu SAF aondoke man u haijafanikiwa kushinda taji la EPL. Usinambie...
Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex.
Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja.
Mechi hii itapigwa...
Mpira ni anasa kweli kweliii.
Huku Azam wakitamani Simba awe wa pili, simba nao wanatamani Feitoto achukue kiatu cha dhahabu ampite Azizi Ki.
Ni mechi nzuri itakayoamua uhalisia nini kiendelee...
Watu Wenye busara huyaangalia madhara ya matokeo na kuyakinga.
Wakati mnapanga fainali ya CRDB federation cup kufanyika Manyara wiki mbili zilizopita ni Wazi hamkuzingatia madhara ya matokeo ya...
Hapa nchini kama tukiacha majungu na unafiki kiungo Kevin Nashon hafanani na kiungo yoyote yule mkabaji, kwa wale walioangala semi final leo baina ya Yanga na Ihefu watakubaliana na mimi kuwa dogo...
INAONEKANA HII MICHEZO YA KUNYAKUA JUMLA YANGA INAIMUDU SANAA
𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗞𝗨𝗣𝗘𝗪𝗔 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗘 𝗝𝗨𝗠𝗟𝗔
Kwa mujibu wa kanuni za ligi kuu.
✨ Yanga SC watakabidhiwa kombe hili JUMLA JUMLA na kuliweka kabatini...
[emoji1208] Wanashika nafas ya 210 kwenye rank za FIFA
[emoji1208]ushindi wao mkubwa waliupata dhidi ya Liechtensteiner[emoji1150] mwaka 2004 (1-0)
[emoji1208]Kipigo kikubwa walikipata mbele ya...
Oleksandr Usyk anakua UNDISPUTED CHAMPION wa kwanza wa Heavyweight (Boxing) kwenye 4 belt Era, mara ya mwisho Undisputed Champion kwenye division hii alikuwa Lennox Lewis mwaka 1999 wakati wa...
Habari wakuu,
Mpira wetu umepiga hatua mbili mbele, ila viwanja vyetu vimepiga hatua mbili nyuma.
Leo hii Feitoto anachuana na Aziz ki kuchukua kiatu cha mfungaji bora, kipa Rey Matampi...
Leo Mei 21, 2024, JKT Tanzania itacheza mchezo wake dhidi ya Azam FC kwenye uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni.
KIla timu inapambana kutetea nafasi yake lakini zaidi Azam wakitafuta kusalia...
Kocha Mauricio Pochettino (52) aliyesaini kandarasi ya kuinoa Chelsea kwa miaka miwili, anaondoka Klabuni hapo kwa makubaliano ya pande zote ikiwa ni mwaka mmoja tangu aanze kuinoa Klabu hiyo ya...
Kushoto ni mwanariadha mkongwe wa zamani Juma Ikangaa (280) na kulia ni mwanariadha Mkongwe Filbert Bayi (331);
Ukiwaangalia kwa haraka kwenye picha utadhani ni marafiki , Ila wapo tofauti...
Tanzania ipo kwenye mkakati wa kujenga viwanja vipya vya mpira kwenye mikoa sita vyenye uwezo wa kubeba watu zaidi ya 60,000.
Na inasemekana tayari kuna mazungumzo na kampuni moja ya kichana ya...
- NBA imetangaza leo kwamba mlinzi wa Cleveland Cavaliers Donovan Mitchell ametajwa kuwa Mchezaji Bora wa Wiki wa Kanda ya Mashariki kwa Wiki ya 12 (michezo iliyochezwa Jumatatu, Januari 2, hadi...
Aziz Ki hatimaye amemalizana na Yanga na sasa anaenda kucheza South Africa. Bado sijapata uhakika ni timu gani ila kati ya Kaizer Chiefs au Orlando.
Yanga wameshindwa mpa ofa anayotaka. Sad part...
MARA NNE MFULULIZO, MARA SITA KWA MIAKA SABA
2018: Manchester City 🏆
2019: Manchester City 🏆
2020: Liverpool 🏆
2021: Manchester City 🏆
2022: Manchester City 🏆
2023: Manchester City 🏆
2024...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.