Kwa mwenendo wa Ligi ambayo bado mbichi, endapo coastal union wakiongeza juhudi hakika wanaweza kushika nafasi ya tatu.KMC nao sio wabaya, Nafasi ya nne pia iko wazi kwao.Wapambane
Ukiangalia mwanzoni mwa msimu na sasa utaona jinsi gani timu ndogo ndogo zimeachana na mpira wa kinyonge yaani sasa hivi ukizubaa unaangusha point na kila mechi ni kama vile fainali.
Mnaotaka...
Mimi naomba nitofautiane kidogo na wadau wengi wa jukwaa hili hasa hasa wana YANGA wenzangu na mashabiki wa simba SC wanaodai Fredy Koublan ni garasa.
Huyu mchezaji namfananisha na the great...
DONE DEAL ✅
Tumefikia makubaliano na klabu ya Stade Malien (Mali) ya kumsajili kiungo mshambuliaji wao, Franck Tiesse.
Nyota huyo Muivory Coast, amekubali kusaini mkataba wa miaka miwili...
Match day 24.
Kuna timu zina mechi 23 na mechi 22 katika game 30 za ligi kuu ili kukamilisha msimu wa mwaka 2023-2024
Vinara wa magoli.
1. Ki Azizi - 15
2. Fei Toto - 14
3. Shentembo - 11
Bodies of jamii forum
I salute you..!
Hii team inayoitwa simba kwa kweli inasikitisha.!
Wana matatizo mengi sana lakini kwa uchache tunayajua na wao hawataki kuyakabili ili wasonge mbele...
Wadau nawasalimu.Najua kulikubali hili mpaka uwe na akili kubwa.
Mwekezaji Mo Ana asilimia 49 ya Hisa na Wanachama wana asilimia 51
Swali la Msingi
1.Je thamani ya Asilimia 49 za Mo zina Thamani...
OM 🇩🇿
Club de Agosti 🇦🇴
Ayema Sports Academy 🇧🇯
Eding Sport de La Lekie 🇨🇲
DC White Heart 🇨🇩
Saint Lupopo 🇨🇩
TP mazembe 🇨🇩
Eastern Company Sc 🇪🇬
Haras The Hodod 🇪🇬
Misri Makassa 🇪🇬
Zamalek SC 🇪🇬...
Wakuu kwema?
Ukitizima kwa jicho la kiufundi hii timu yetu ya Simba ni timu dhaifu, kweli tutasema tumefuzu hatua ya makundi Klabu Bingwa Africa lakini tumekutana na timu gani? Huwezi kujisifu...
Hili limzee bwana
Sote tunatambua kuwa urais wa CAF kuupata sio rahisi rahisi lazima uwe na pesa plus ushawishi mkubwa ..
Kwanza waarabu ndiyo wanakupitisha,
Yaani wakisema huyu hatumtaki basi...
Kama utakumbuka, miaka ya 2018 kurudi nyuma, refa alizingatiwa kama mchezaji wa ziada na ilipotokea akahusika kwa namna moja au nyingine, matokeo yoyote yalikuwa yanahesabika bila tatizo lolote...
Match Day!
Simba SC Vs Namungo FC
⌚ 04:00pm
🏟️ Uhuru Stadium.
Namungo anakutana na mnyama aliyejeruhiwa.
Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Namungo
Kikosi cha Namungo Kinachoanza
All...
Nilitarajia tangu awali kusikia hatua za kufungiwa kwa Yanga zikienda pamoja na TFF kutamka kuipoka Yanga pointi katika michezo yote waliyomchezesha Pacomme kinyume na kanuni.
Hata hivyo...
Ramani hii inaonesha jinsi Mchezaji wa Real Madrid alivyofunga goli la ushindi katika Fainali ya Copa del Rey 2014 dhidi ya Barcelona, mechi hiyo inayofahamika kwa jina la El Clásico ilimalizika...
Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kwa sasa timu yao ina hali mbaya hivyo anawaomba Watanzania waongeze maombi ili waweze kubaki Ligi Kuu Bara msimu ujao.
Msikilize hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.