Majira ya saa 9 alasiri leo kunafanyika draw ya makundi kwa timu zilizofuzu kuingia makundi.
Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi.
Kaa hapa kupata...
Nimeweka uzi huu kuwakumbusha wana Yanga kuwa ule muda wa kucheka umekwisha marabaada ya kupata ushindi kwa mara ya kwanza ktk hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Africa ndani ya miaka 88 toka...
Hili tangazo linalorushwa na Azam tv hakika limejaa uzalendo na linasukuma utaifa zaidi.
Ukilisikiliza unapata msisimko wa uzalendo kabisa.
Timu zetu zipambane zisituangushe, tusonge hatua za...
Raundi ya tatu Yanga akichukua point moja kwa Medeama halafu Belouzdad akifa kwa Ahly ugenini kundi litakuwa hivi...
MSIMAMO
1. Al Ahly points (7)
2. Medeama points (4)
3. CR Belouzdad points (3)...
Kumekuwa na mwamko mkubwa wa wapenzi na mashabiki wa Mamelodi Sundowns kujiandaa kuhudhuria mechi dhidi ya Deportivo de Utopolo itakayofanyika tarehe 30/03/2014.
Sasa tumekubaliana kila goli letu...
Kwa Sisi malegendary wa uchambuzi hapa jf Baada ya mchezo wa Jana tumejua tu kuwa Ile ilikuwa na planned Yanga kupoteza Ili kuficha mbinu Kwa mamelodi
Mamelodi walituma watu wao Ili kusoma mbinu...
Simba na Yanga zimeanzishwa miaka ya 1930's, lakini hazijawahi kushinda mataji makubwa ya Afrika kwenye mpira. Baadhi ya sababu za kushindwa kushinda mataji ni pamoja na kuhujumiana zenyewe kwa...
Leo Jumapili October 8, tumemuona KELVIN KIPTUM akivunja record ya dunia ya Marathon hapo Chicago nchini Marekani kwa muda wa saa 2 na sekunde 35, akiizidi record ya KIPCHOGE aliyoweka Berlin...
The Super Eagles of Nigeria are set to take on the Black Stars of Ghana in a 'Jollof Derby' in their upcoming friendly game during the international break.
The match will take place at the Stade...
Kobbie Mainoo has chosen to represent England over Ghana.
But he's not the only Ghanaian to opt for the Three Lions.
See also Biography of Andy Penn: Early life, education, career and family
Nimeshtushwa na taarifa za Al hilal ya ibenge kiruhusiwa kucheza NBC premier ligi .,. kiukweli ni habari njema sana Kwa kukua Kwa ligi yetu ....
But Leo nmejifikiria sana kama mchambuzi mahiri wa...
Waziri mwenye dhamana ya michezo wa Tanzania, Ndumbaru, siku ya leo amesikika akipiga marufuku watanzania wenye ushabiki (watakao vaa jezi) wa vilabu vya nje vinavyokuja kushindana na timu za...
๐ฅ๐ต๐๐น๐ฎ๐ป๐ถ ๐ ๐ผ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐ฎ - Williams, Mokoena, Zwane didn't travel with Bafana, we want them ready for CAF champions League
[emoji1221] - "They were rested because they have niggling injuries to be honest...
Ushindi wa Simba sc dhidi Jwaneng galaxy kwa magoli 6 kwa Nunge isiwe kichaka Cha kuwaficha wachezaji wenye viwango vibovu. Natoa big Yes kwa kipa AYUBU, INONGA & CHE FONDO.
Big Yes kwa mabeki wa...
Augustine Azuka 'Jay Jay' Okocha, Mchawi na Hizi yake kutoka Enugu
Usiku mmoja kule Kusini Mashariki mwa nchi ya Nigeria, Jimboni Enugu ile Agosti 14, 1973 alizaliwa Mchawi mmoja wa soka...
Kumekua na baadhi ya wachambuzi, na watangazaji wa mpira na baadhi ya wanaharakati ambao hawana kazi kuponda mishahara ambayo wachezaji wanalipwa na team zao, kwa madai ya kuwanyanyasa.
nikawa...
MAMELODI "TULIITAKA SIMBA SIO YANGA"
Mashabiki wa Mamelodi huko SOUTH AFRICA wamesema waliomba sana wakutane na SIMBA sio YANGA
Baadhi ya mashabiki wamesema hawana furaha kupangiwa Yanga...
Kuanzia leo tarehe 11 hadi tarehe ya mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani (Ramadan) tutakuwa tunashinda kwa Taabu au kutoka sana Sare/Suluhu na hata Kufungwa pia kwani Majini kamwe hayatakubali...