Jana nimeshangaa Simba kufurahia ushindi wa Azam wakati ni wapinzani wao kwenye kugombania nafasi ya pili!! Hivi ni umbumbumbu au ni kitu gani!? Au wanadhani labda wanagombea ubingwa?
Kuna majina ya wachezaji huwa yanavutia hasa pale yanapotamkwa.
Yapo mengi yanayonivutia miongoni mwao ni haya,
Juan Roman Riquelme
Kevin Prince Boateng
George Magere Masatu
Jina gani huwa...
Nliona kabisa hii match kuna kitu kipya ambacho si cha kawaida kwa hawa mbwas. Sijajua ni nani aliyewatonya mambo flani hawa mbwas.
Ilikuwa tuwachape 1 bila game iishe hivyo. Lakini kuna kitu...
Huyu dogo sisi ndo tumemlea kabisa na kumpatia hata nguvu za kucheza mpira. Amekuja kwetu muda wote ana rembua tu macho. Tumemsaidia angalau kuyakaza, sasa anaaanza jiona naye ni...
Hawa jamaa tunawagonga. Miaka kadhaa mfululizo wamekuwa mdebwedo sana kwetu. Tunawajua na wanatujua. TUNAJUANA. hawana sababu ya kutunyima ubingwa. Niaminini mimi.
Watawachezea hao hao mikia. Ila...
Wewe kila siku ukifunga magoli ya ndondocha unapiga simu, washabiki wako wakawa wanasema kuwa viongozi wa Azam ndio unawapigia simu lakini hawapokei, sio kwamba hawapokei, viongozi wa Azam wana...
Taarifa Rasmi kuhusu Khalid Aucho ni kwamba kuanzia kesho ataanza mazoezi mepesi.
Taarifa hii inaashiria kuwa Mchezaji huyo , Kiungo wa kati wa Dar Young Africans (YANGA) , Atakuwa sehemu ya...
Huwa nashangaa sana kwanini makocha wa Stars hawamsajili Yahya Zayd, moja ya viungo hatari sana hapa nchini, kuna Yahya Zayd, Yussu Kagoma na dogo mmoja alikuwa JKT Ruvu, akaenda Geita na ss yuko...
Na mtakaowabetia hawa Wapuuzi na Wanafiki leo nawapeni Pole Kubwa na wakishinda ni Sare au Suluhu ila kwa Wao Kufungwa na Dear ( Mume ) wao Mpendwa Aziz K Yanga SC ni lazima na ni kwa 99.99999%.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!
Zawadi ya Tunu/Shani nilizopewa na Mwenyezi Mungu hakuna wa Kufananishwa nami na ndiyo maana 85% ya yale ambayo huwa nayawasilisha hapa JamiiForums (Michezoni na...
Kuelekea mchezo wa dabi ya mzizima baina ya Azam fc na timu dume kabisa ya Yanga sc, kumetoka taarifa ya kuwa mchezo huo ambao hapo awali ulipangwa kufanyika katika dimba la azam complex chamazi...
Feisal ni kijana mashuhuri kutoka Zanzibar , ni kijana mwenye uwezo mkubwa na mara zote huwa na juhudi na kuyafikia malengo aliyojiwekea.
Leo katika mchezo wa Azam vs Yanga kijana huyu...
Bleaching Premier League financial rules per multiple reports.
---
Nottingham Forest have received a four-point deduction for breaching the Premier League’s profitability and sustainability...
Yaani kama Roho zote za Timu zina Majeraha makubwa na mabaya bado tunategemea kabisa kumfunga Masandawana tatehe 30 hapa Kwa Mkapa Dar es Salaam?
Mwaka jana Simba SC ilipoandamwa na Majeruhi...
Timu la AZAM limejaa wachezaji wa viwango vya Kimataifa, jana tu mziki ulikuwa ule na bado kuna mijitu ya hatari haikucheza, kuna binadamu linaitwa Akaminko halikucheza, kuna jibaba Sidibe...
Sema hili Goal la 2 la Azam lilikuwa Clear Offside sijui kwanini Kibendera alikaa kimya na alikuwa palepale🚮🚮
Mechi ya pili mfululizo azam wanaifunga yanga goli la offside,,,,mechi ya mzunguko wa...