Wadau wa masumbwi habari zenu!
Katika pita zangu humu sijaona uzi wowote wa hili pambano, nimeona nifungue uzi ili tuabarishane
Ijumaa tarehe 08 uko Riyadh kuna pambano la kukata na shoka kati...
Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu hapo kesho atahutubia kupitia Sport HQ ya E -fm
Mambo atakayoyazungumzia
- Suala la Uchaguzi ndani ya Simba
- Suala la transformation
- Katiba ya...
Naomba kufahamu,hii michezo ya CAF inayoendelea siku ya mechi jukumu la ulinzi ni la CAF,TFF au timu husika?
Maana mechi ya Simba na Jwaneng Galaxy kile kilichofanyika kinashusha hadhi mpira wetu...
Ninaposema vilabu vyetu vijiandae kimkakati robo fainali klabu bingwa Afrika huwa namaanisha viache mpira wa mazoea kufosi matokeo ya papatu papatu, vicheze soka la viwango kiufundi
Mfano leo...
Kocha wa zamani wa Club ya Simba Robertihno Olveira, Akizungumza kutoka Brazili, Robertinho alieleza kama alitimuliwa kutokana na matokeo ya mechi yake ya mwisho dhidi ya Yanga basi ubora wa...
Ukweli usemwe tu Mayele na Fei Toto ndio walioileta Yanga kwenye ramani ya soka la kimataifa, kabla yao kwa miaka mingi yanga ilikua mchicha mwiba timu zilikuwa zinajipigia tu
Najua mashabiki...
Baada Ya hatua ya Makundi kwa sasa ni Robo Fainali, Timu zetu mbili za Tanzania zimepangwa na Wababe wa soka la Afrika.
Wengine wanasema hii ndo ilipangwa kuziangusha Tumu za Tanzania, Japo...
Hope mko poa wakuu.
Baada ya game ya Simba na wafuga vitambi, na utapiamlo wa makirikiri, ambao walipokea pondo la 6 kwa ungo wa kupetea mchele.
ukaibuka mjadala kwamba kati ya pacome zouzoua na...
Suala la afya ya Mohamed Salah limesababisha mvutano baina ya Chama cha Soka cha Misri (EFA) dhidi ya Klabu ya mchezaji huyo, Liverpool ambapo kila upande unavuta upande wake ukiona una haki ya...
Kuna ule msemo kuwa Chama ni mchezaji wa mechi ndogo, leo umeanza kuniingia kichwani. Inafika kipindi unawaza, hivi huenda labda kwenye mechi hizi za Ligi huwa hawatumii Uchawi ndio maana Chama...
Hii timu ilisababisha Mwamnyeto aanze kusugua benchi pia ikasababisha metacha ale umeme (red card) na sidhani kama atakaa golini tena.
Leo sidhani kama manula ataendelea kuwa hapo simba...
Alex Fergus aliteseka sana
https://youtu.be/XXYbVpkI-UY?si=4NGKVOT9hgXRoIG-
Sio ten hag peke yake angalia hii.
Baada ya hapa sir alex alihakikisha anampata Ronaldo. Na akampa.nafasi
Mkishaonwa HAMNAZO mtakuwa mnapewa kila sababu na mtakubali because nyie ni HAMNAZO.
Yaani jitu linavuta Oxygen hii ya buree saiv zaidi ya miaka 20 halijawahi ilipia linakuja danganywa kuwa...
Ft. Tz Prison 2 Simba 1(mwenyeji)
Ni kama Prison walisikia kilio cha Kocha wa Galaxy Morena Ramoreboli dhidi ya michezo michafu waliyofanyiwa na Simba anzia ulonzi mpaka uwizi wa vifaa vyao...
Habari waungwana, naomba kujua kama kuna kituo kizuri na chenye kujali maadili cha mafunzo ya michezo hasa mpira wa miguu kilichopo ndani ya Wilaya ya Ubungo - Dar es Salaam.
Natanguliza shukrani.
Nauliza, ni kwanini makocha wa mpira wa miguu wa Kitanzania, hawaendi kufundisha nje ya nchi?
Makocha wa Wakenya na Warundi wanafundisha hapa kwetu, wa kwetu vipi?
Sasa naomba kuanzia Kesho tarehe 6 Machi, 2024 na kuendelea tuwe tunahesabu Alama ( Points ) ambazo tutakuwa tunazipata katika Uwanja HATARI KWETU wa CCM Jamhuri Mkoani Morogoro ambako kwa...
Mchezaji wa Azam FC PRINCE DUBE amerudisha kilakitu cha klabu hiyo ikiwemo nyumba na kuondoka kambini.
Dube aliiandikia klabu hiyo barua akiomba kuondoka klabuni hapo baada ya kuishi Chamazi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.