Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

"Kunapropaganda ilikuwa inapigwa kwamba ile timu ilikuwa inafanya mazoezi Avic Town tulifuatilia sisi na wizara tukakuta ni propaganda" Rais wa Shirikisho la Soka Nchini (TFF), Wallace Karia...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Chama huu ndio msimu wake wa mwisho, na kakataa kuongeza muda. Mayele naye anaomba kuvunja mkataba kule Pryamid, maana yake mayele anaenda simba na chama anaenda yanga.
6 Reactions
97 Replies
7K Views
Nikiri wazi mimi ni shabiki kindakindaki wa timu ya Yanga. Katka zama za hivi karibuni imeibuka misemo kwa sisi wana Yanga kuiona Simba ni dhaifu na sisi ni bora zaidi. Ukiangalia mechi...
13 Reactions
65 Replies
3K Views
Mchambuzi wa soka Wilson John Oruma amesema umefika wakati wa Simba SC kuachana na kiungo wao mshambuliaji, Clotous Chama kwani hakuna cha ziada atakachowapa. Oruma amezungumza hayo ikiwa ni siku...
1 Reactions
11 Replies
860 Views
Baada ya Mchambuzi wa masuala ya kandanda Jemedari Saidi kupinga shauri la Haji Manara la kumchangia Prince Dube, manara amemjibu haya kupitia kwenye Instagram. "Mnaandika wenyewe mimi...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Inatusaidia nini sisi? Haya kiko wapi? Na kama Simba wangeshindwa sisi tungefaidika na nini? Hizi ni roho za kichawi tu. Viongozi badilikeni acheni huu upumbavu. Mwishoni wote tunaonekana tu vilaza.
18 Reactions
108 Replies
5K Views
Bayern need to make a comeback to qualify for the UEFA champions league quarterfinal. They lost the first leg 1-0 against Lazio. Bayern have won just one of their last 5 games in all...
0 Reactions
5 Replies
421 Views
Wengi tumekusikiliza ila naona ni kama alikuwa anajipendekeza kwa Utopolo, we unasema Gwanengy hawakuwa Avic ilikuwa propaganda lakn kila nilipokuwa nakusikiliza hujasema Gwanengy walikuwa wapi.We...
2 Reactions
7 Replies
537 Views
Kanuni za CAF zinaItumika katika michezo mbalimbali inayosimamiwa na CAF, huwa naziina haziko fair na hivyo zinaondia uhalali wa kuziweka timu katika mizani moja. Mbali na Kanuni mbalimbali...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Aisee kweli mpira ni vita sasa ni wazi kumbe Simba alikuwa akipambana na hujuma kali kutoka kwa timu 4 ili asiingie robo fainali. Timu hizo ni Wydad ambaye aliamua kucheza mchezo mchafu na kwenda...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Wiki nzima hii mganga wao utopolo anahaha kuhakikisha wanapangiwa na Asec ambao kwao ndio wanaona wanaweza kupambana nao, wao hawataki mamelodi wala petro wala Mwarabu, wao wanatambika ss hv na...
5 Reactions
15 Replies
908 Views
Huyu dogo ameteka mioyo ya watu wengi baada ya kuonesha kiwango kizuri cha kusakata soka. Kama ilivyo kawaida ya Waafrika, Wazimbabwe tayari wameanza kelele nyingi na kumkaribisha team ya taifa...
2 Reactions
11 Replies
686 Views
Utani wa aina hii hausaidii timu yako kufanya vizuri. Huwezi kuifananisha Horoya na CR BELOUIZDAD hata kidogo. Nadhani hakutarajia kuiona CR BELOUIZDAD ikifungwa goli 4-0 na yanga kutinga robo...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Amri Kiemba katoa maoni yake baada ya Mo dewji kusema kuwa aliinunua Simba sc miaka mitano iliyopita. Video hii hapa.
3 Reactions
43 Replies
2K Views
Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii Bruno amesema kumekuwa na uvunjaji wa mkataba kwa upande mmoja kutoka kwa klabu hali inayopelekea uhusiano wa nyota huyo na wakulima hao wa Alizeti...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji Prince Dube akiomba kuvunja mkataba wa kuwatumikia Waoka Mikate hao ambao amewatumikia tangu mwaka 2020. Mkataba wa nyota huyo...
11 Reactions
67 Replies
5K Views
Naona leo baada ya mnyama kushinda na Chama kuonyesha kiwango cha hali ya juu, mitandao ya kijamii imekuwa ikihoji nani mkali baina ya Chama vs Pacome. Hii inanikumbusha miaka ile ya 1990 ambapo...
7 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu hivi nini kimepelekea viongozi wa SIMBA kuchanganyikiwa baada tu ya Dar Young Africans SC kuingia quarter final ya CAFCL 2024. Musemaji wao anaropoka. Page zao zinaropoka tu...
10 Reactions
47 Replies
3K Views
Hii ni kwa mujibu wa mtandao wa Sofascore
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Angalieni video ya goli la Wydad vs ASEC, hii ilikuwa live ni FIXED MATCH. CAF wanapaswa kufuatilia skendo hii na kuchukua hatua kali kwa wahusika Bahasha zinatembea hadi CAF?
10 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom