Kati ya viongozi walioiongoza FAT na leo TFF ni Rais huyu wa sasa ambaye amekuwa akiipambania sana Simba(wana Simba tuna kila sababu ya kumshukuru huyu mwamba).
Za ndani kabisa zinaonyesha kuwa...
Tanzania imewahi kuwa na Rais shabiki wa Simba?
Nyerere - Yanga
Mwinyi - Yanga (hata kwenye mazishi wajukuu zake waliweka wazi)
Mkapa - ????
Kikwete - Yanga
Magufuli - Yanga (kuna siku...
..Whizmo ni kampuni ambayo imeanzishwa na kumilikiwa na SHEIKH Saeed Bin Khalaf Bin Ahmed Al Otaiba kutoka abu dhabi Dubai.
- WHIZMO ni moja ya makampuni ya Whizpay Technology LLC.
- WHIZMO ndo...
Uongozi wa Klabu ya Simba baada ya kuona upweke wa kila msimu kuvuka hatua ya makundi hadi Robo Fainali katika mashindano ya CAFCL na kila mara kuwa timu pekee kutoka Tanzania, umeamua kuanzia...
Tanzania ndio association pekee iliyopeleka timu mbili robo fainali klabu bingwa na hii inaonesha kukuwa kwa vilabu vyetu. La pili naona utawala wa timu za kiarabu zinaanza kutokomea kwenye...
Salaam Wakuu,
Tukiwa tunaendelea kusherekea tukio la Simba kuingia robo fainali kwa mbinde (kikanuni) baada ya kulingana points na Wydad.
Kimahesabu, Simba juzi mechi dhidi ya timu dhaifu TRA...
Hizi timu sijui Caf wanaziokotea wapi, Yaani ile basic football tu hawajui.
Kifupi Simba imekutana na timu dhaifuu sana, Nadhani ni Dhaifu kuliko hata Zalan ya Sudan.
Simba angekuwa kundi...
Naomba mwenye kujua atujuze maana kwa sasa macho na masikiio yetu ni kuhusu hii droo ya kupanga timu zitazocheza robo fainali ya club bingwa na matokeo yake.
Karibuni.
Tukio la Ally Kamwe kuzimia limekuwa tukio la kusisimua sana kutokana na mkasa wenyewe kuwa mzito na kuepushwa matokeo ambayo yangekuwa ya huzuni.
Ally Kamwe alibeba vitu vizito siku ile. Kabla...
Msifurahi yangu ewe adui yangu,niangukapo Mimi, nitasimama tena
Si vyema kunisema vibaya,nipatapo tatizo,shetani wampa nafasi ndani ya moyo wako!! Aliimba martha,huo ndo wimbo ambao mashabiki wa...
Mwamba pacome zouzou amechaguliwa kuwa mchezaji Bora na caf hatua ya makundi iliyotamatika hivi karibuni!
Pacome kawamwaga wenzake baada ya kuwa na rating kubwa ya (7.99) kuliko wenzake kwenye...
Lakini wenye Kuujua wala hawajapiga Kelele na wapo kawaida sana utadhani siyo Wao waliotoa Kichapo cha Kishalubela / Kitakatifu cha Goli 6 kwa 0 Jana kwa Mkapa dhidi ya Wabotswana waliosaidiwa...
Real Madrid thought they had scored a late winner but the referee had already called for full time.
Jude Bellingham gets a red card for his reaction.
Valencia 2 vs Real...
Nimekwenda uwanjani na nimefurahi tumeingia robo fainali.
Lakini kiukwel bado naona kuna mapungufu katika timu yetu.
Leo tungecheza na wakubwa kama Al Ahly au Mamelod au Petro au Esperance...
Tafuteni mchezaji mwingine, mbona wapo wengi! Kila siku ni Chama Chama! Mlianza kumfananisha na Mkoko, mkaja Feisal na Chama, Mara Azizi K na Chama.., mkaja Aucho na Chama .. sasa hivi ni Pacome...
Timu ya Man City imezidi kujiwekea mazingira mazuri ya kutetea ubingwa wake wa EPL baada ya kuwafunga wapinzani wao wa Jiji la Manchester timu ya Man Utd kwa magoli 3-1.
Man Utd ndio walikuwa...
Hawa mashabiki mbumbumbu ndo wanashinda hapa jukwaani kulaumu wachezaji, coaches, na viongozi kwamba hawafai. Hawa mashabiki ndio walimwita Ntibazokiza mzee, mhujumu team, leo wanashangilia!
Hawa...
Pamoja na kuwabeba, kuwaonesha mbinu,na kuwalisha maneno ya kuzungumza kwenye press, bado walijaribu kuchezea koki wakaloa goli sita.
Kama wewe timu yako haijawahi kuchezea kipigo kama hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.