Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kuna siku niliwahi kuwaita Simba SC club na mashabiki wake kwa pamoja na wachambuzi wao wa bahasha kama kituko cha taifa. Na hili limejidhihirisha jana, katika hali ya kushangaza baada ya...
4 Reactions
2 Replies
611 Views
Kumtwanga mpinzani goli 6 sifuri hatua ya kufuzu robo fainali sio kazi rahisi hata kidogo, sio madako kwamba kila mtu anayo. Jana nilisema simba linapokuja suala la kufuzu robo fainali klabu...
7 Reactions
48 Replies
3K Views
UTOPOLO Hakuna rangi walioacha kuiona kwa MWAMBA WA LUSAKA
0 Reactions
3 Replies
312 Views
Kama sisi tuichilimbwa 5 na Yanga na sisi tukawafunga wafuga vitambi 6, je wafuga vitambi wangekutana na yanga wangechilimbwa ngapi? Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
2 Reactions
11 Replies
473 Views
Kuna video clip nimeiona inateand huko FB. Video hiyo inamuonyesha mtu mmoja alievaa joho jekundu, akichezea kichapo kutoka kwa watu wenye hasira kali tena ni ndani ya uwanja kabisa, alafu kuna...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Japo sisi wachambuzi hatuna timu ya kushabikia ...ila Kwa maslahi ya taifa nimefurahishwa na ushindi wa Simba ....( Wakimataifa ) Now Tanzania tumeleta heshima Kwa nchi za kusini mwa Sahara...
1 Reactions
27 Replies
841 Views
La Liga is investigating after vinicius junior was called a monkey by a child during Valencia - Real Madrid yesterday. === According to The Athletic, a video on social media, posted by ESPN...
0 Reactions
3 Replies
481 Views
Naombeni majibu kwani kama sikosei, zamani kama sio Bingwa hushiriki hili kombe. Mwenye majibu ya uhakika atusaidie.
0 Reactions
4 Replies
516 Views
Samahani,nilichelewa kuchukua hii video, Lisaa limoja kabla mechi kuanza timu nzima ya JWANENG iliingii uwanjani ikiongozwa na kocha wao msechu, Kocha akaenda katikati ya uwanja akamwaga vitu kama...
2 Reactions
2 Replies
401 Views
Jobe FC haina tofauti na kuku mgonjwa anayepakwa pilipili matakoni ili achangamke kisha apelekwe mnadani. Kiukweli Jobe FC wanawashangaza mashabiki zao, kama wangecheza na Yanga SC, Azam na KMC...
3 Reactions
28 Replies
885 Views
Ikumbukwe tu CAF walishwahi kuipiga Rungu Simba SC kwa tuhuma za kuchoma uwanja na kujihusisha na vitendo vya kishirikina huko south Africa.
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Mpira siku zote ni mchezo wa wazi tulishasema toka siku nyingi kipindi simba iko kwenye peak ilijengwa kumzunguka chama chama ndo alikua anaamua Simba icheze vipi alipoondoka ndo anguko la simba...
12 Reactions
23 Replies
1K Views
Hakika Nchi nzima imefurahi, Imetulia, kila mwananchi ana furaha kutokana na Matokeo ya jana ya Ushindi wa Simba wa Goli 6-0. Simba ndio mwenye Mpira wao, wenye uzoefu nao hapa Tanzania, hao...
2 Reactions
7 Replies
537 Views
Bondia Hassan Mwakinyo ukipenda muite Colorado King A.K.A CHAMPEZ ONE TIME , Tornado amtaka Asemahle Wellem amuoneshe kazi baada ya kuona Watanzania wamenyoosha mikono kwamba hawamuwezi bwana...
1 Reactions
9 Replies
740 Views
Ndiyo! Waswahili Wanasema "mnyonge mnyongeni haki yake mpeni" Nimetazama mechi mbili za Simba sc kwenye michuano ya CAF haswa mechi ya Jwaneng Galaxy na Wydad nimeona mabadiliko makubwa sana kwa...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Bila kupoteza muda, nazipongeza timu zetu Yanga na Simba kwa kuingia kwenye hatua muhimu ya robo fainali Kimsingi, timu hizi zimeonesha uwezo mkubwa na hayo yote yanachangiwa na upinzani na utani...
1 Reactions
2 Replies
486 Views
Ama kwà hakika Mpirà ni mchezo wa wazi,hauna longolongo kwà watu wanaoamini Mpirà ni sayansi. Ni wiki sasa tangu ule upande wa MAJINI FC ushinde goli zao nne na kupelekea benchi zima la ufundi...
17 Reactions
162 Replies
5K Views
Simba walimaliza juu ya Al Ahly tena kwa kishindo lakini sikusikia haya makelele kama niliyokuwa nayasikia kwa uto au ndio kipofu kaona mwezi? Hawa jamaa baada ya kuwafunga CRB goli 4 walijitapa...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Wakuu, Wakati taarifa zikieleza kuwa Mchezaji ‘KIRAKA’ wa Simba SC, Nassoro Kapama akiwa katika hatua za mwisho kutemwa na uongozi wa klabu hiyo, Leo Jumatano (Januari 03) kutafanyika kikao cha...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Hizi ndio rekodi za CAF msimu huu Mamelodi ndio timu iliyofuzu kwa pointi nyingi zaidi, 13 Yanga ndio iliyofuzu kwa pointi kiduchu zaidi , 8 Simba ndio timu iliyoshinda kwa ushindi mnono zaidi...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom