Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari wadau kwema humu, wazima nyote, naomba kujua hiki kitu kinapatika sehemu Gani maduka Gani na bei yake!? Natanguliza shukurani kama hamtajali🙏
1 Reactions
8 Replies
421 Views
Simaanishi timu iko vizuri sana au vibaya ila inamkosa kiungo mwenye aina ya uchezaji kama wa Rally Bwalya. Nini kifanyike? Viongozi wa Simba SC dirisha kubwa la usajiri likifunguliwa...
1 Reactions
1 Replies
227 Views
1. Kama sio Rais wa Yanga kwenda kuimarisha mahusiano na Al Ahly leo wangekula 10 2. Timu inategemea sana mganga kuliko uwezo wa kocha. 3. Kama sio kuongea na washika vibendera leo Taifa...
15 Reactions
39 Replies
3K Views
Kwenye ulimwengu wa roho tumepambana kumpa Simba ushindi ili afuzu lakini imeshindikana Amefungwa goli dakika ya 73 kwa kichwa, huku Chama akikosa penalty dakika ya 89 Mpira umekwisha na Simba...
11 Reactions
63 Replies
3K Views
"Msimu ujao Simba italazimika kubadili nusu ya timu kwa sababu ya mambo mengi, umri ni moja wapo". - Morena Ramoreboli, Kocha wa Jwaneng Galaxy #FutbalPlanetUpdates #CAFCL [emoji2788]𝙆𝙊𝘾𝙃𝘼 𝙒𝘼...
9 Reactions
60 Replies
3K Views
Hello! Mimi nachukia sana uchawi na ushirikina makazini, kwenye siasa, kwenye soka, vyuoni, na mahali popote pale. Nimeona kakikundi cha watu leo asubuhi Dar es salaam wakifurahia wakisema mchezo...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Nasisitiza tena kuwa naomba leo Saa 3. Kamili Usiku tukimbiane hapa JamiiForums kwani najua kutawaka Moto mkubwa sana na Watu wartachekana na Kuumbuka mno.
1 Reactions
6 Replies
594 Views
Wakuu, Tumeona wimbi la mameneja kibao na wachezaji mastar kama ronaldo, sadio mane, eduado mendy, riyad mahrez, brozovic, mauro zaratte, neymar Jr, firmino, khalidou coulibaly, fabinho, benzema...
1 Reactions
2 Replies
347 Views
Tanzania ndio nchi pekee Afrika iliyofanikiwa kuingiza timu mbili (Simba na Yanga) hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2023/24.
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Kombe la Shirikisho ambalo ni shindano pendwa la Yanga limefutwa? Maana sisikii tena likizungumziwa hata wachambuzi wala mashabiki Vip hili kombe limefutwa au ndio kuwa halina mvuto kabisa hadi...
-1 Reactions
7 Replies
889 Views
Huu ndio ukweli kwani humu katika makundi na kufuzu kuingia hatua ya makundi, huwa kuna timu dhaifu sana kutegemea na ligi yao na pia kwa kanuni za siku hiz,i wanaoshiriki sio wote ni mabingwa...
4 Reactions
11 Replies
957 Views
Namshauri Kidunda aache ngumi , amekwisha , akiendelea atadhalilisha jeshi letu , na ikibidi astaafishwe kinguvu Hatuwezi kuendelea kubebwa kibwege namna hii Kingine ni hiki , wanajeshi kuja na...
9 Reactions
50 Replies
3K Views
Wakuu niwakumbushe wana 5imba ya kuwa washangilie ushindi ila wasisahau hii robo fainali waliyoingia leo ndio huwa hatua yao ya mwisho. Yaani hata walipoanzia robo kwenye African Football League...
4 Reactions
11 Replies
548 Views
Alipotakiwa na Juve Mwaka 1994 Zinedine Yazid Zidane alifurahi saana. Kisa cha yeye kufurahi ni kwamba angekwenda kuungana na Mchezaji wake boora wa muda wote ambae yeye anakiri kuwa vitu vingi...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Katika uzi huu maridhawa najaribu ku prognosticate / bashiri kile kitakachotokea katika pambano la Jumamosi baina ya Kolozidad na Galaxy ya Botswana. Mbumbumbu fc wataingia katika mchezo huu...
10 Reactions
53 Replies
3K Views
Japo ni Mimi ni mchambuzi mashuhuli hapa mjini JF.....lakini pia ni mtabiri maarufu wa mechi ...since sijawahi kosea Utabiri wangu Leo mchana nilikuwa nimejiegesha hapa kazini ghafla nimeota...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Naona mashabiki wa simba wengi wana matokeo mfukoni kwamba leo wanaenda mpiga jwaneng galaxy nyingi nawaonya tu, mpira ni mchezo wenye matokeo ya kushangaza na ya kikatili mno msije mkavunja...
1 Reactions
9 Replies
564 Views
Huyu jamaa, Natamani aondoke Simba. Simpendi kwa kuwa ni mchezaji mzuri. Akiamua huwa anafanya mambo ambayo ni ngumu kuelezea. Ninamwangalia hapa sijui tungempata Yanga huyu ingekuwa moto zaidi...
2 Reactions
10 Replies
953 Views
Salaam Ndugu zangu. Naomba kutoa mapendekezo yangu kuhusu kikosi cha Ushindi cha Simba kama inahitaji kuwafunga Jwaneng Galaxy hapo Kesho. 1. Golikipa yeyote kati ya Aishi, Ally Salim au Ayoub...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya okrah Magic kuonesha kiwango Bora Katika mchezo wa Yanga vs Polisi kombe la shirikisho, Kuna wachambuzi wameibuka na kuanza kumuombea namba Okrah mbele ya Max Nzengeli. Hizi ndiyo...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom