Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mfano kwa hapa kwetu Simba na Yanga ikitokea huko mbele moja aongoze kundi mwengine ashike nafasi ya pili, inawezekana? Uwanja wa nyumbani na ugenini utakuwa upi?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwamwedi bhana anatabia za ajabu, SIMBA ikikaribia kupata zile Bilioni za CAF ndio anajitokeza kwenye media na kusema kapoteza hela nyingi ili kuwatoa wanachama kwenye FOCUS ya Mpunga wa CAF. Ni...
5 Reactions
18 Replies
463 Views
00' Mwamuzi anapuliza kipenga kuashiria mwanzo wa mchezo 30' Luis Miquissone anapiga goli la kwanza kwa upande wa Simba 32' Goli la Simba halidumu baada ya Zemanja Soze wa AS Vita kusawazisha...
10 Reactions
780 Replies
58K Views
Kocha wa Jwaneng galaxy Fc amesema kuwa "Simba sc Kama wanataka kulipa kisasi basi wangelipa zile goli 5 walizofungwa na Yanga Sc" Maoni Yangu: kwa muonekano huu inaonekana Jwaneng galaxy Fc...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Nasikia kuna Mtu hatoamini leo na huenda Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akasindikizwa na Wengi ama kutoka nchini Botswana au Tanzania. Tafadhali lielewe vizuri neno kuna Mtu hatoamini leo sawa?
5 Reactions
14 Replies
946 Views
Kama umefuatilia mechi za simba karibuni utagundua timu imekuwa tia maji tia maji kama gari la mkaa siku moja barabarani wiki gereji Timu haina kikosi aggressive chenye uchu wa mabao na...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Endapo simba atatinga robo fainali TANZANIA ndio itakua nchi pekee yenye timu mbili kwenye michuano ya CAFCL, Hii itatengeneza atention ktk michuano watataka kujua kunanini huko NBC PL? itatoa...
5 Reactions
12 Replies
653 Views
Simba kitachomuuma ni kuishia robo huku Yanga ikitoboa mpaka nusu fainali. Simba italaumu sana uongozi
1 Reactions
1 Replies
646 Views
Waendesha Mashtaka wa Hispania waliosimamia kesi dhidi ya Beki wa zamani wa Barcelona, Dani Alves wamedai kifungo cha miaka Minne na Nusu jela alichohukumiwa Mwasoka huyo kwa tuhuma za unyanyasaji...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Jana nilikesha kumcheki Jini Makata akidhalilika kwa msouth, kiukweli wote tuliocheki ile gemu tunakubali kuwa Nusu Mtu Nusu jini alipigwa, kibaya zaidi ni pale Raundi ya mwisho ilipobakia sekunde...
3 Reactions
5 Replies
685 Views
Match Day 🏆CAF Champion League ⚽ Jwaneng Galaxy vs Simba 🏟️ Francistown Stadium 🗓️ 02.12.2023 ⏰ 1600hours (EAT) Kikosi cha Jwaneng' Galaxy kinachoanza. Kikosi cha Simba Kinachoanza All the...
16 Reactions
503 Replies
32K Views
Mashujaa noma sana [emoji23][emoji23]
3 Reactions
5 Replies
316 Views
Hili ninaloliongea nimelishuhudia mwenyewe,Wachezaji wa simba wakiandamana kwa mganga wa kienyeji ili kupata nafasi ya kucheza kwenye timu , Wachezaji wa Yanga pia wanapishana kwa mganga huyo...
1 Reactions
4 Replies
443 Views
Georgia Rodriguez walked the vetements Paris fashion week show wearing a red dress with christiano Ronaldo's iconic number 7.
3 Reactions
6 Replies
926 Views
1/ Mtendaji mkuu wa Jwaneng Galaxy (Senzo) Hii ni silaha kubwa sana (nyuklia) kwa maana Senzo anawajua Simba sc nje ndani Alishawahi kufanya kazi Simba na Yanga pia kwa hiyo anajua fitina /michezo...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Ila sitaki tu tukikaa uanze kuomba kupiga Picha nami kwani hapo Utanikera sana kwani hakuna Kitu nakichukia duniani kama Kupiga au Kupigwa Picha.
3 Reactions
10 Replies
569 Views
Kwa msiojua keaho kutakuwa na pambano la ngumi Kati ya Seleman kidunda na Asemalle Wellem wa South Africa,Huyu Asemalle ndio alitoka kumchapa juzi hapo Twaha kiduku ni moja ya mabondia wazuri sana...
5 Reactions
164 Replies
6K Views
Huenda mashabiki wa timu ya Cr Belouzdad leo watakuwa wamelaani sana matokeo ya Yanga dhidi ya Al Ahly ila kibongo bongo hawa ndugu zetu sio wageni tunawajua, ndugu yangu mkulima wa bamia...
5 Reactions
19 Replies
972 Views
Sasa hivi timu zetu zinakaza timu inafungwa Moja bila full time. Kitambo hicho unaambiwa first half tu timu ishakula mkono
8 Reactions
10 Replies
826 Views
Back
Top Bottom