Zilizuka POROJO zisizo na mashiko za kusema kuwa Beki kitasa Dickson Job ni mfupi na Hana hadhi ya kuichezea Yanga sc.
Mwamba hakuwajibu Wala hakuteteleka aliacha kazi ionekane, kweli huyu bwana...
Kwanza suala la uwekezaji na umiliki wa hisa ni suala la kitaalamu na lina misingi yake, Simba hawaifuati. Mkutano Mkuu wa Simba uliridhia Mo kupewa 49% ya hisa za Simba. Ukototozi wa thamani ya...
Mwaka 1969 na Mwaka 1970 Dare es salaam Young Africans iliweka REKODI ya kuwa timu ya kwanza kucheza robo fainali mara mbili mfululizo yaani convectively 69 na 70 mara zote hizo alikutana na...
Kiukweli tusamehe sana MO, Mimi nikiwa wakilisha Mashabiki wenzangu wa Simba.
Naomba Utusamehe sana kukusema kuwa wewe ni bahili Mara hujitoi na tukaenda mbali kukulazimisha kuachia Timu...
Lawama la kushindwa kwa Taifa stars AFCON kwanza liende kwa TFF kabla ya sehemu nyingine. Timu zetu kubwa kwenye ligi haziandai Wachezaji wa kuichezea timu ya taifa kwakuwa wamepewa ruksa ya...
Utopolo wako huko Misri wakiwapigia magoti Al Ahly wasiwadhalilishe leo jioni na ushahidi ni jana wameenda kuingia makubaliano ya ushirikiano na Al Ahly eti mashirikiano ya kiuchumi.Yaani Utopolo...
KISA YANGA BENCHI LA UFUNDI NA WACHEZAJI WAKATWA MISHAHARA YAO.
Baada ya kipigo kizito kutoka katika klabu ya Yanga sc, klabu ya CR Belouizdad wamekaa kikao Cha dharura kujadili juu ya matokeo...
Inaweza kukushangaza kiasi lakini huo ndio uhalisia, licha ya kuongoza kwa kufunga magoli 17 katika Premier League 2023/24 hadi sasa, takwimu zinaonesha Mshambuliaji wa ManchesterCity, Erling...
Full Time: Yanga 1 Al Ahly 0 Mfungaji: Nadir Haroub "Cannavaro"
Half Time: Yanga 0 Al Ahly 0
Leo mtoto hatumwi dukani, Natamani kikosi cha Yanga (Tanzania) kiwe hivi: Na wewe unaweza kupendekeza...
Binafsi nisiwafiche kwani sitaki na wala sitamami kwa sasa kwani Kiufundi kwa sasa Simba SC hatuna Kikosi thabiti cha Kucheza na Yanga SC iliyoko Relini na ya Moto kila Idara.
Akihojiwa na vyombo vya habari,kocha wa CAF Gamondi amenukuliwa akisema kuwa ni full show show.
Ajaenda Misri kukamilisha ratiba na hajaenda kuuza sura
Anasema anaenda kuweka rekodi ya kumfunga...
Baada ya kupoteza mechi ya kwanza dhidi ya Belouizdad kuna maneno mengi ya kiuchambuzi kuwa Yanga walifungua turbo wakati wapo ugenini jambo ambalo limepelekea kufungwa magoli. Baada ya mechi ile...
Took a ride to the end of the lane………Where no one ever goes……. Ended up on a broken train with nobody I know……But the pain and the longing’s the same……. When you’re dyin’……Now I’m lost, and I’m...
Hii Yanga ipo siku itakuja ifanye watu wazima wazichape tena Live na camera za Azam tena watu wenye heshima zao kama wachezaji na kocha.
Leo kocha alinyakua chupa akataka kumtwanga nalo mchezaji...
Miaka ya 2000 Mwanzoni, Mpira wa Uingereza—ligi fuatiliwa zaidi duniani—ulikuwa umetawaliwa na Klabu Mbili tu; ARSENAL na MANCHESTER UNITED.
Liverpool alikuwa msindikizaji, Manchester City...
Mwaka 1979 kulitokea maajabu ya soka ambayo mpaka leo bado hayajaweza kurudiwa katika historia ya soka la Afrika.
Simba ilicheza mchezo wa Klabu Bingwa Afrika na timu ya Mufulira Wanderers ya...
Hawa wanakuja kwa watu alafu wanajiamini namna hii ?
Yana wanawaita Simba hivi hivi, hata hawaogopi kabisa.
Je, hii ni ishara Gani Kwa makolo
[emoji1607] @bintiiringo
#WasafiSports
Ninasikitishwa na ujinga huu ambao unataka kuwa fasheni kwa sasa katika soka letu.
Nijuavyo, wachezaji wa Simba ni aina ya wachezaji ambao sifa zikiwalevya wanaanza kucheza upumbavu wa show game...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.