Mudathir Yahya: Nyota Inayong'ara wa Young Africans SC
here is why??
# Uwanjani: Uchezaji wa Kusisimua
Mudathir Yahya amekuwa akiwasha moto uwanjani. Uwezo wake wa kubadilisha mwelekeo, kuona...
"Tunawaahidi na kuwahakikishia Wanasimba kama kuna kitu kinahitajika hata kiwe kinapatikana chini ya bahari tutakifanya ili Simba iende robo fainali. Jumamosi ni kwenda kumalizia kazi."- Meneja wa...
Nimesikitishwa na kauli ya msemaji wa Simba sc (Ahmedy Ally) kutamka kuwa "ushindi wa Yanga dhidi ya mwarabu ashukuliwe MO dewji"
Mwisho wa kunukuu.
Hoja Yangu ni kwamba Yanga watamshukuru vipi...
Klabu ya @simbasctanzania imethibitisha kuwa siku ya tarehe 28/2/2024 watacheza mchezo wao wa ASFC dhidi ya TRA kwenye Uwanja wa Azam Complex.
Mchezo huo utakuwa pia ni sehemu ya maandalizi ya...
Habari wanajukwaa Langu Pendwa hapa Jf Jukwaa la Sports.
Ni siku takribani 3 saiv zimepita toka Team Bora kwa sasa Young Africans alimaarufu kama Yanga imbamize Mwarabu goli 4 pale kwa Mkapa na...
Salaam waku.
Kama kawaida mchambuzi wenu hapa jf sports lazima niwaletee uchambuzi wa mechi kati ya simba na Galaxy
Mechi itakuwa na tension kubwa sana ambayo haijawahi shuhudiwa kwakuwa team...
Siku tuliyoichagua ya Jumamosi ni mbaya kwetu Kinujumu (Kiushirikina) na hata tarehe yenyewe ya Pili/Mbili nayo mbaya sana kwetu.
Kafara kubwa na la hatari linatakiwa kufanyika vinginevyo...
Baada ya ushindi wa kishindo walioupata mabingwa watetezi wa ligi ya Tanzania bara The almighty Yanga afrika dhidi ya mabepari CR Belouizdad kumeibuka hali ya kuweweseka kwa baadhi ya wachambuzi...
Mafanikio ya Yanga yatawafanya Simba wazidi kuweweseka, hii ni kwa sababu wao wanafanya siasa za mpira kama mandonga alivyokuwa anafanya siasa za ngumi;
Yanga inafanya Objective football ; and...
ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2023 (CAF Club Ranking)
Rank za caf ngazi ya vilabuCAF rankings,Vilabu 20 bora afrika 2023,Nafasi ya Simba Afrika 2023Nafasi ya yanga afrika 2023,Yanga ranking in...
Walianza na propaganda za Yanga kushiriki kombe la looser (shirikisho), wakatoka hapo yanga ikagonga mpaka fainali uku timu zikichapwa ipasavyo wakasema wamekutana na timu dhaifu, lakini wale wale...
Mnaacha kutulia Kuandaa Litimu lenu la Tigo Pesa Muamala FC ijiandae Kimkakati ili ishinde Mechi ngumu na muhimu nyie Kutwa tu mpo katika Maredio mnatamba, mnajisifu, mnawazogoa ambao wamewazidi...
Bwana Alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.Ameen
---
Klabu ya Soka ya Azam, imetangaza kifo cha aliyekuwa daktari wa timu hiyo, Mwanandi Mwankemwa, kilichotokea leo jioni katika...
Kwanza niseme mimi si shabiki wa simba wala si shabiki wa yanga, ila ni shabiki wa mpira na timu zote hizi mbili nazifuatilia kuanzia mashindani ya ndani kwa maana NBC premier league.
Azam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.