Ahmed Ally wa Simba amekuwa akijiita Semaji la CAF. Taarifa hizo siyo za kweli, pichani chini Veron Mosengo Omba ndiye msemaji wa shirikisho la soka barani Africa CAF, Kwa Mujibu wa katiba ya...
Mwaka 1968 Yanga walichukua Ubingwa wa Ligi na kuiwakilisha nchi kwenye klabu bingwa barani afrika 1969.
Yanga walienda nchini Romania kufanya pre season ya mwezi mzima kitu kilichowafanya...
Wengine mara kwa mara tumekuwa tunajitahidi kusema ukweli na kuwapa maua yao hawa Yanga toka msimu huu unaanza.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Yanga inacheza mpira wa kueleweka, ni timu yenye kasi na...
Kilimanjaro,
Serikali imeahidi kutuma watalamu kwa ajili ya kufanyia tathimini uwanja wa michezo wa Memorial ulioko Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro ili kuuwekea nyasi mbadia na kuwezesha...
Ni ubahili, ubadhilifu wa fedha, kuna chuma ulete, au ?
Simba imekuwa klabu ya kushinda mabilioni kwa miaka kadhaa kila inapoishia robo fainali caf, Na mwaka jana walipewa bilioni 5 za kushiriki...
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amesema kufuzu kwa Yanga katika hatua ya robo fainali anaepaswa kushukuriwa ni Rais wa heshima wa Simba Mohammed Dewji na wa pili...
Viongozi wa Yanga ninaheshimu sana kazi yenu maana hakika tunaona timu ilipo kwa sasa. Ila niwaombe sana mjaribu kutumia busara zenu katika hili suala la kuipa timu jina la mchezaji siku ya...
Young Africans SC imekuwa Klabu ya kwanza Afrika mashariki na kati pamoja na kusini mwa Jangwa la Sahara kufikisha watazamaji Milioni 100 na wafuasi Laki 5.7 kwenye mtandao wa YouTube (YangaTV)...
Timu zote za watani wa jadi zina kamati za ufundi hakuna asiejua, tofauti ni kwamba simba anafanya hata wazi wazi ila Yanga ni kwa siri kimya kimya gizani na mafichoni.
Ni kweli Yanga wanaubonda...
Kati kati ya kitongoji masikini chenye rate kubwa ya uharifu alikuwepo bwana mdogo alie itwa Gabriel teseka na penzi la mrembo mmoja wakishua alie itwa Skyle mrembo kweli kweli.
Mara zote Gabriel...
Pale unapoondoka kwa kiburi, jeuri na nyodo na hata kuwatolea maneno ya jeuri viongozi wa timu.
Nikaona hadi familia yako ikaingilia kati.
Nikaona hadi mamlaka kuu zikakusimamia na kukubeba...
Endapo simba itatinga robo fainali CAFCL ni kete muhimu kwa simba kumnasa mchezaji huyo. Huko pyramid wamechezea za uso wameyaaga mashindano kwa aibu pia kule kwao walifungwa na mamelod mpira...
Nimekuta watu wanajadili kuhusu malengo ya Nusu fainali na Kuwa na point mbili nadhani watakiwa wanaizungumzia Klabu ya Union Berlin ya ujerumani ambayo imeshika mkia kundi C linaloongozwa na Real...
Wanajamvi mambo ni vipi
Uzi huu ni wakuwapongeza watoto wa jangwani.
Binafsi ninafurahishwa na ubunifu wa Ally kamwe wa kuwapa siku wachezaji katika mechi muhimu.
Ally Kamwe ni kijana mwenye...
Jamani kama nilivoeleza Pao juu nilibetia shoot on tergert za CRYSTAL PALACE vs BANLEY sasa Kuna sehemu nyingine wameonesha 6.0 na nyingine 6.1 sasa nilivo watafuta wamesema nitafutee full match...
Rais was Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Klabu ya Yanga kwa kufanya vizuri katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) baada ya kuifunga CR...
Namna pekee (the only scenario) ya Yanga kutinga robo fainali ni ya kushinda mechi zake zote mbili zilizobaki dhidi ya CRB nyumbani na dhidi ya Al Ahly wakiwa ugenini! Kama ubavu huo hawana...
Na Nukuu "I am very happy and proud of (Yanga style of play). If you remember at the beginning I said for me football is a show game, we play for the fans, not only Wananchi but for all the people...
Naona mashabiki wa Simba baada ya kupata sare na Asec Mimosas wameanza sherehe na kujiona wapo quarter final
Jwaneng ni team ngumu haswa ina points 4 ikishinda kwa mkapa inafikisha points 7 na...
Uzi huu ni sehemu ya maoni ya mashabiki mtazamo wao, hauna lengo la kufundisha watu majukumu kwasababu tunaamini tuna benchi la ufundi, wachezaji na uongozi unaojua nini cha kufanya.
Tuje kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.