Japokuwa wote ni wachezaji wa Yanga na wote wanafanya kazi nzuri katika klabu yao ila wewe kama shabiki wa Yanga unaona nani asipokuwa uwanjani timu ina struggle sana kupata matokeo.
Karibuni kwa...
Naam, hakuchi, hakuchi kumekucha..
Siku nyingine tena tumeamka tukiwa na furaha, baada ya mbugi kali baina yetu sisi mabingwa wa kutandaza soka la kisasa na la viwango hapa TZ na waarabu wa...
Habari za kikachero zinaeleza kuwa waarabu waliambiwa wawe makini na pacome mwenye bleach ila chajabu wakakutana na wachezaji wengi wenye bleach, Yao yao, Aziz ki, Diara na Guede aliyeweka ndevu...
Huu unaweza kuwa uzi wangu wa mwisho kwa mwaka 2023 na nataka nimalize mwaka kwa ujumbe chanya. Wenye akili zao watausoma na yale watakayoona ni mazuri wataenda kuyafanyia kazi.
Yanga na Simba...
Tukawasapoti Simba waingie robo fainali, itasaidia kujenga uchumi wa nchi na maendeleo ya soka nchini. Mkumbuke yanga ina historia ya kuisaidia Simba, maana kuna mwaka tulikubali kufungwa ili...
Viongozi wangu wa Simba, Naomba mnisikilize kwa umakini na muuzingatie ushauri wangu.
1. Mbinu zenu zote mlizokuwa mnazitumia kwa Mkapa kwa sasa zimeibwa na wenzenu waliofuzu jana, Zungu Pori...
Natumaini mpo salama wana JF, ukweli ni kwamba kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
ROHO INAUMA SANA YANGA KUSHINDA BAO NNE.
Sent from my SM-A146P using JamiiForums mobile app
Leo Azam imecheza na Maafande wa Mbeya na wametoa draw. Chakushangaza sioni kwenye mitandao taarifa zao kutawala kumekuwa kimya, sana sana habari za Yanga tu ndiyo zimetawala.
Draw ya pili kwa...
Katika watu ambao ata afanye mazuri gani bado atasakamwa ni Gamond.
Mashabiki wa yanga wanakuambia Kwa Gamond hakuna kocha hapo, eti Gamond hana mbinu za kuivusha yanga.
Lakini ukitazama statics...
Ni kwa sababu moja tu kuwa hata Jwangney galaxy akiifunga Simba haitakuwa na maana yoyote ile kwake. Mwenye nafasi ya kufuzu ni Simba au Wydad iwe kwa kushinda au kwa sare.
Kwa maana hiyo basi...
EDIT: Asanteni kwa ufafanuzi, Nimepitwa na sheria za mpira, sikuhizi hawaangalii GD mkifanana point, wanaangalia nani kamfunga mwenzake nyingi
1. AL AHLY - point 9 (goli +4)
2. YANGA - point 8...
Kiukweli hawa watu wanatimu bwana, niseme wazi game ya mzunguko wa pili ya watani, sisi SIMBA yaani dakika 90 tutaziona kama mwaka, yaani hazitimii.
Pamoja na kuchukizwa na matokeo ya leo, ila...
Wakati Deportivo de Utopolo wakijiandaa kukipiga dhidi ya C.R Belouizdad, tujikumbushe kauli moja ya Super Coach, Abdelhak Benchikha alipokuwa anafundisha USM Algiers.
Benchikha alitoa kauli...
Kwa Habari zilizotufikia muda huu ni kwamba Afisa habari wa Yanga Sc Ali kamwe amezimia kwa Mkapa mara baada tu ya Mchezo kumalizika huku Yanga Sc ikiibuka na ushindi wa Mabao 4-0 dhdi ya CR...
Fainali ya Carabao Cup inaendelea kwenye Uwanja wa Wembley Jijini London.
Dakika 90 zimekamilika matokeo bado ni 0-0, zimeongezwa dakika 30.
Michezo michezo 8 iliyopita baina ya timu hizi...
Yanga kacheza na KMc Morogoro kapata ushindi karudi Dar kacheza na Polisi Tz kapata ushindi then leo kamnyuka Mwarabu goli 4.
Tofauti na Simba, Yanga hawakwenda kulia pale Tff kuomba michezo yao...
Viongozi wa Simba hua hawawheshimu Mashabiki zao..Ndio maana kila wakiona Yanga wana trend wao wanawaza kuzima trend yao kwa kitu cha Mda mfupi.
Si mnakumbuka Msimu uliopita aimba ilikosa FA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.