Kuna mashbiki maandazi wa simba waliiponda sana yanga na kulikuwapo nyuzi nyingi sana za kuiponda yanga kwamba haifiki popotee na haina uwezo wakuifunga CR kwa kweli kuna muda Kama shabiki wa...
Imemchukua miaka 5 yanga kufika hapa ilipo, and it will take next five years kumtoa Yanga hapa alipo. That is simple mathematics.
Kitengo cha Monitoring and Evaluation cha Yanga kipo vema sana na...
Tangu nianze kutazama mechi za yanga, pale golini akikaa Metacha mnata tegemea magoli ya hovyo hovyo, kadi nyekundu au kujifanya anabanwa misuli sijui walimtoa wapi mtu huyu.
Huyu dogo...
Maana kila siku malalamiko kuwa Gamondi hana uwezo, timu imeshuka kiwango, lkn jana timu ilionekana kuwa na nguvu ya ugolo.
Ss hv kocha hasemwi wala hatukanwi, majigambo kwa kwenda mbele.
Naomba...
Asante Yanga Sc kwa kuliheshimisha taifa baada ya kutembeza kichapo Cha goli nne kwa nunge hakika taifa limeheshika baada ya Taifa kufedheheshwa na kikosi Cha wazee kilichocheza Kama kina msiba...
Kwa kitendo cha Yanga kupata ushindi wa magoli 5 kwenye mechi 7 ndani ya msimu mmoja (huku mashindano mbalimbali yakiwa bado yanaendelea) na kuwabamiza vibaya CR Belouizdad (mabingwa mara nne...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia mienendo ya hawa waliopewa dhamana ya kusimamia mpira wa bongo. Ukitazama kwa jicho la tatu utaona kwamba wapo biased sana.
Kwenye ratiba za CAF za mwaka huu...
Kwa hii game Young anaenda kushinda kwa asilimia 100% na belouizdada anajua anakuja kufungwa lkn anakuja kupunguza idadi ya magoli.
Kwasababu anajua pia ili kusonga mbele atua ya robo fainali...
Uongozi wa Simba ni wa hovyo maana umejaza usajili wa 10% tofauti na huu mwamb Eng. Hersi ambaye akiona Mchezaji mzuri anampandia ndege pasipo hayo ma 10%.
Babra alikuwa anawamotivate wachezaji...
Yanga wamefanikiwa kuweka historia mpya katika klabu yao kwa kutinga robo fainali ya klabu bingwa ya afrika, lakini kiuhalisia kiufundi kiwango bado kipo chini kidogo ikiwa wanataka kusonga mbele...
Siku zikiwa zimetaradadi kuelekea mechi ya Yanga na CR ambayo sisi kama wana Yanga tumeamua kuuita PACOME DAY" Kitaalamu zaidi", ewe mwananchi tupia picha za maandalizi ya siku hii muhimu ikiwa...
Imagine wewe ndio mmiliki wa Azam TV halafu unasikia TBC wanaonesha bure michuano mikubwa ya CAF CHAMPIONS LEAGUE tena kupitia kisumbusi chako hicho hicho ambacho wewe una wataka watu walipie elfu...
Baada ya kuwa majeruhi karudi tena uwanjani, nimeiona kasi yake, Okra anakasi sana pia ni mpiga krosi mzuri hajui kuremba, combination ya Okrah na guede imetiki.
Maana Guede ni mzuri kwenye...
Kuna timu inajikongoja kila mashindano.
Leo.imefunzwa namna ya kifuzu kibabe, kufuzu kibabe ni kufuzu ukiwa umebakiza mechi moja mkononi.
Hii rekodi inashikiriwa na wanajangwani pekee.
Vunjeni...
Nahisi Leo mmeona mmefungwa mbele ya Mashabaiki wenu Lukuki na hii ni Muendelezo wa kuonyesha wapi mnakwama.
Sold Out bila Usajili mzuri mtaendelea kuchezea tu.
Mlipigwa na Raja kwenye Full House...
Hawa jamaa ni akili mgando kabisa. Kama sikoseI, wao kwenye kundi lao walipoteza mechi mbili za ugenini na bado wakafika robo, halafu wanaibeza Yanga ambayo mpaka sasa imepoteza mechi moja tu ya...
[emoji599].....||[emoji408]| 𝖵𝖨𝖫𝖠𝖡𝖴 𝖵𝖨𝖭𝖠𝖵𝖸𝖮𝖶𝖤𝖹𝖠 𝖪𝖴𝖢𝖧𝖴𝖪𝖴𝖠 𝖴𝖡𝖨𝖭𝖦𝖶𝖠 𝖢𝖠𝖥 𝖢𝗁𝖺𝗆𝗉𝗂𝗈𝗇𝗌 𝗅𝖾𝖺𝗀𝗎𝖾 2023/2024..
- Taasisi mbali mbali zinazojihusisha na TAKWIMU za Mpira barani Afrika, zimetoa Orodha ya timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.