Ni maajabu, ama kweli ni maajabu ya 8 ya Dunia hii, na maajabu hayo si mengine bali ni maajabu yanayofanywa na timu ya wazee na vikongwe ya Simba Sports Club na uongozi wake.
Wameleta ubahili wao...
Habari za wakati huu wakuu,
Jana ilikuwa siku muhimu sana katika Historia ya Soka la Tanzania na Africa kwa ujumla baada ya Ufunguzi wa African Football League katika Uwanja wa Benjamin william...
Msimlaumu Robetinho, hakuna kocha asiyependa kumpanga mchezaji mzuri.
kocha anapewa maelekezo anapangiwa kikosi kuna baadhi ya viongozi wana bifu na phiri.
Phiri anakomolewa na Viongozi na ni...
Salaam wakuu.
Mshikemshike wa ligi ya NBC PL kuendelea leo ambapo mnyama mkali na mafundi kandanda Simba sc a.k.a WANALUNYASI watakipiga dhidi ya timu ngumu ya IHEFU FC kutoka Mbeya.
Simba...
Klabu ya Simba ambayo ni mwenyeji katika mchezo wake wa wikend hii dhidi ya Yanga imemtangaza Kibu Dennis kama mgeni rasmi wa mchezo huo.
Hili ndio soka letu sasa kivyetuvyetu.
"Tunajua mnachukia ila nasi pia hatuna la kufanya kwani tumevumilia na sasa tumeamua kufikisha Malalamiko yetu kwa Vitendo"
"Kocha wetu Mbrazili Roberto Oliveira ni Mbaguzi, ana Matusi halafu...
Nianze kwa kuweka wazi kwamba mimi ni mpenzi wa Simba Sport Club. Lakini mwenenendo wa wachezaji wa Simba hasa wanapokutana na Yanga huwa unakera sana hasa pale unapoona wachezaji wa Simba...
Moja ya makocha ambao wakimuona mchezaji kwenye mazoezi hata siku moja tu wanajua ana weakness na strength zipo Ni kocha Don Carlo ,chini ya Carlo wamepita wachezaji wengi walioenda kubeba Ballon...
Huu ni msimu wa nane Simba na Yanga hakuna anayeibuka na ushindi duru ya Kwanza tangu msimu tajwa. Pengine Msimu huu mwiko huo unaweza kuvunjwa wacha tusubiri hiyo Jumapili ya Novemba 5 kama kuna...
Huyu jamaa ni hasara sana na sijui kwa nini ameaniwa kupewa timu huku utopolo umejaa kichwani.
Azam haiwezi kufika popote iwapo timu ipo kwa ajili ya kushindana na Simba tu. Timu lazima iwe na...
Kutokana na elimu yangu ya unajimu niliyoachiwa na marehemu Sheikh Yahaya, Man Utd leo atashinda au atadroo.
Hivyo punguzeni matarajio ya kuwa atafungwa hasa nyie wadau wa mikeka.
Mechi...
Hafla ya utoaji tuzo Tuzo ya Ballon d'Or, ambayo inatajwa kuwa kati ya Tuzo Bora zaidi za Soka duniani inatarajiwa kufanyika leo Oktoba 30, 2023 ambapo mastaa wa Soka wa Kiume 30 wanashindana...
Napenda kusikia maneno yenu hasa ya kiingereza. Nichambulieni timu ya taifa SAO TOME PRINCIPE na mechi zake za kufuzu AFCON, hii ni kwa wachambuzi tu, wengne tuwe wasomaji.
ZINGATIENI TULE...
Na kwa Kujiamini kabisa na leo tena narudia kusema (najua wana Simba SC Wenzangu mtaumia) kuwa kwa Al Ahly FC hii hii niliyoiona ikicheza hovyo dhidi ya Simba SC hapa Dar na Cairo na ilivyocheza...
Habari zenu,
Kumekuwa na sitofahamu baadhi ya mashabiki wa Tanzania wanajiuliza imekuwaje simba kuingia African footbal league wakati simba ipo nafasi ya 9 Africa kwa club Bora(sio club kubwa ni...
Salaam wadau wa kandanda.
Ajax amsterdam ni moja kati vilabu maarufu na vyenye mafanikio makubwa ulimwenguni.
Ni klabu ambayo imefanikiwa kuwatoa magwiji wengi wa soka kama johan cruyf, van...
Nimefuatilia sana mechi za Simba inapocheza na Yanga, Simba inapotumia uwanja wa Bunju kujiandaa kumkabili Yanga mara nyingi tunaishia kupata sare, sijui kwanini tunapenda kuiwinda Yanga tukiwa...
"Azam hawezi kutufikia tena, mpinzani aliyebaki ni Yanga ambaye na yeye tunataka kumfunga na kumpita kwa alama sita. Ni mechi ambayo tunaitaka kweli kweli, kuanzia kwa mashabiki, benchi la ufundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.