Match Day.
Young African Sports Club Vs Azam Football Club.
Muda 12:30 Jioni.
Benjamin Mkapa Stadium.
Ni game kali, yenye kutaka ushindi.
Je, Azam atakubali kuendelea kuwa kibonde wa Yanga...
JUZI (Oktoba 28), Kingdom Arena, Riyadh, Saudi Arabia, ilipigwa boxing match yenye tafsiri nne;
Mosi; Bingwa wa Mixed Martial Arts, Francis Ngannou, kucheza mechi ya kwanza ya Boxing dhidi ya...
Wale wote mliosema Rashford yupo kwenye levo za Mbappe njooni tena mumjadili jamaa yenu.
Rashford amekuwa na fomu mbaya sana na kubwa zaidi ni sehemu ya anguko la ten Hag.
Mje mumtetee jamaa yenu.
Watangazaji wengi nasikia wakisema Derby ya Simba na Azam au Yanga na Azam. Acheni ubabaishaji, timu ya Azam ya mwaka wa 2000's ijenge Derby na timu za 1930's? ni dharau na uwelewa mfupi wa...
Manara aendelee na tabia zake za kuchambana na watu Ila madogo alikamwe na Privadinho wapo vizuri na wamempoteza sana.
Sisi kama Yanga hatumtaki Huyu Manara arudi Simba na hata TFF wakimfungulia...
Yale Yale Kila mtu analalama TU! Mhusika hatajwi, waziri kaenda mpaka eneo la tukio kashindwa kumtaja mhusika.
Sandaland mwenyewe aliahidi atamtaja lakini naona katishwa, kaogopa kakunja mkia...
Tuhuma zinasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa BW Baraka Kizuguto ambaye aliwahi kuwa msemaji wa Yanga na sasa ni mmoja wa maafisa wa TFF anayeshughulikia masuala ya club...
SALIM ALMAS CUP 2023 MSHINDI WA KWANZA AONDOKA NA KITITA CHA MILIONI 26
Mbunge wa Jimbo la Mahenge/Ulanga Mhe. Salim Alaudin Hasham ametoa Shilingi Milioni 26 katika siku ya Fainali za Michuano...
It's a Sunday special.
Ni siku nyingine tena katika historia ya soka ikizikutanisha timu toka jiji la Manchester katika michuano pendwa ya logi kuu ya kandanda nchini Uingereza.
Mtanange huu...
Namtafuta aliyewapa jina la ukuta wa yeriko awa jamaa, inawezekana alikuwa amebugia k vant na ugoro akajitamkia tu!
Timu inayojiita imekamilika Kila idara inaruhusu mabao Kila mechi, aijalishi...
Wachezaji wa Azam wanacheza mechi mbili TU kwenye ligi za Yanga na Simba TU basi. Mzee Bakhersa afanye nini ili Azam ifanye vizuri? Fei alikuwa akifanya vizuri sana akiwa Yanga ingawa alikuwa...
Ilikua zikutane leo Simba U20 na Yanga U20 Ila Simba wamegoma kuingia uwanjani kutokana na Yanga kutumia wachezaji ambao hawakusajiliwa.
Nisikuchoshe kiufupi Yanga hawana mchezaji waliemsajili...
Sijajua Simba SC mchezo ujao anacheza na nani ila namuonea huruma kwani ule mpira nilioucheza dhidi ya Al Ahly FC kwao na Waarabu kuutafuta muda mwingi kwao (hao nitakaokutana nao NBC Premier...
AL AHLY (ADIDAS)
Wanadhaminiwa na kampuni ya kijerumani iitwayo ADIDAS ikumbukwe kuwa Adidas pia wanadhamini FC BAYERN MUNICH, FC SCHALKE 04, MAN UNITED, ARSENAL, LEICESTER CITY, JUVENTUS, REAL...
GENTAMYCINE nimeandika Threads za kutosha hapa Kuuonya Uongozi wa Simba SC juu ya Kocha Mkuu Roberto Oliveira anachomfanyia Mshambuliaji wangu Bora ndani ya Simba SC Moses Phiri ila nikapuuzwa...
Akiwa kwenye tamasha la Wasafi jana pale Arusha, Haji Manara ameahidi siku si nyingi ataita Press kwa ajili ya kuwaaga watu wa mpira.
Amekaririwa akiongea laivu kuwa mpira umemtengezea sana...
Siku ya jana Azam imecheza dhidi ya Namungo, Fei alikuwemo kwenye kikosi.
Yanga dhidi ya Singida, Mudathir alikuwemo kwenye kikosi.
Mudathir na Fei walipewq adhabu ya kufungiwa mechi tatu baada...
Huu mchezo sio kabisa na hata kuita mchezo ni makosa kabisa. Watu wanaumizana huku wengine wanashangilia halafu eti unaitwa mchezo.
Najua ngumi ni biashara kubwa duniani na ni ajira kwa watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.