Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Match Day Yanga SC vs Singida FG NBC Premier League Benjamin Mkapa Stadium [emoji2522] Time: 1815hours Updates... Saa 12:04 Jioni Hali ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa sasa ni Shwari kabisa...
8 Reactions
473 Replies
26K Views
Nimeona Wanasimba wengi wakiongozwa na yule mshereheshaji wao wa kule mtandao wa X wakijifariji kuwa wapo kiwango kimoja na Al Ahly. MC wao wa Twitter Ndugu Micky Jr anawapamba kuwa mechi ya...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Mchezaji wa Kimataifa wa Congo DRC na Timu ya Soka ya Yanga Fiston Mayele ambaye anahusishwa na Vilabu Vingi barani Afrika wakitaka huduma yake na sasa ni Pyramid ya Misri ambao wajitokeza na...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Miaka ya hivi karibu timu zetu hizi mbili zimekuwa kwenye kiwango angalau kinachoridhisha kwenye michuano ya kimataifa. Pamoja na mafanikio hayo tumejikuta Usimba na Uyanga unatupumbaza kiasi...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
|| DATA ZA CAF KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO '5YEARSRANKING' || Katika Takwimu hizi inazingatiwa alama ambazo klabu imekusanya kwenye kipindi Cha miaka mitano. Kwa klabu za Tanzania Simba...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Kuna mazwazwa na wasio na akili walichekelea mno walipoona mama kapandisha dau la milioni kumi kwa kila goli Kama motisha na wengine wakapiga hesabu et "Kama tukiwafunga waarabu goli 7 tunapata...
7 Reactions
81 Replies
4K Views
Kabla ya kuanza mashindano haya, wapo waliohoji vigezo vilivyotumika kuwapata washiriki. Pamoja na kusemwa kuwa washiriki walipatwa kwa kutazama mafanikio ya timu hizo kwa miaka mitano kwenye...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Simba ina historia ya kuchezà mara nyingi robo fainali za mashindano mbalimbali ya CAF. Mwaka 1993 kuna mashindano ambayo Simba ilifika fainali, je yale yalikuwa ni mashindano gani? Kwanini...
3 Reactions
70 Replies
44K Views
Tafadhali nawaomba Siku zingine msirudie tena au kama mnapenda awe anatumika katika Oparesheni zenu basi anzeni Kumlisha vyema ( Balance Diet ) ili Mwili wake uongezeke na mpeni Ratiba maalum ya...
3 Reactions
17 Replies
994 Views
TFF yazindua jezi mpya za Timu za Taifa za Tanzania kwaajili ya Afcon 2024. Jezi hizo zimetengenezwa na kampuni ya kitanzania ya Sandaland. Home kit Away Kit Third Kit
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Hvi karibuni maneno haya yamekuwa yakitumika sana na mashabiki pamoja na baadhi ya maafisa wa vilabu vya soka Nchini. "Timu yetu KUBWA Africa. WAKUBWA Africa tumekutana. Sisi ni miongoni mwa timu...
20 Reactions
93 Replies
3K Views
Ukiona mpaka GENTAMYCINE (mwana Simba SC tukuka na lia lia ) navutiwa Kumtizama Mfalme wa Kipaji cha Mpira kutoka nchini Burkinafaso Stephane Aziz K ( pamoja na kwamba siipendi Yanga SC ) jua ya...
41 Reactions
91 Replies
5K Views
Mazee hapa kuna kamtego nini nikitia kamilioni nikimpa yanga si nitanemeka, alafu kama kuna kitu kinaniambia acha ujinga 😂😂
0 Reactions
3 Replies
716 Views
𝙇𝙄𝙂𝙄 𝙉𝘿𝙊𝙂𝙊 𝙃𝘼𝙄𝙅𝘼𝙒𝘼𝙃𝙄 𝙆𝙐𝙏𝙊𝘼 𝙈𝙏𝙐 𝙈𝙕𝙐𝙍𝙄. Yaan hiyo Ligi ya Rwanda akicheza MZIZE anachukua tuzo zote. Ukiona Umbo la Onana na Sarpong unaogopa ila kazi zao sasa alafu wote huwa wanatokea RAYON...
7 Reactions
96 Replies
6K Views
Binafsi kama GENTAMYCINE sitoiangalia kwakuwa tayari Matokeo yake ninayo, ambapo Wakuja watafungwa Goli 3 au 4 au 5 na hata 6 kama wakilegea kwa Spray ya vyumbani na kwa Muamala uliofanyika kwa...
1 Reactions
10 Replies
548 Views
Epl ndiyo ligi pendwa kwa ukanda wa Africa mashariki hivyo watu wengi wanaifuatilia. JF fpl kwanza itangaza zaidi Forum lakini pia itakuwa burudani kwa members pia. Anaweza tafutwa mdhamini kila...
6 Reactions
82 Replies
3K Views
Nitashukuru GENTAMYCINE nikijibiwa. Nazitakia kila la kheri leo Timu za Beka na Bakari ambazo zitakutana leo kuanzia Saa 12 na Robo Jioni. Tutaheshimiana tu tarehe 5 Novemba, 2023 kwani tuna...
0 Reactions
5 Replies
361 Views
Ukiuangalia Uchezaji wa Simba SC yangu na wa Watani zangu Yanga SC utaona tofauti Kubwa mno na ndiyo maana GENTAMYCINE leo sioni Aibu wala Siogopi kusema kuwa kwa Yanga SC hii ya sasa na...
23 Reactions
72 Replies
3K Views
Wakati wengine wakibeza kitendo cha Simba cha miaka kama mitano ya hivi karibuni kuishia hatua ya robo fainal ya michuano mbalimbali ya Afrika maarufu kama 'mwakarobo' (CL x3, CC x1 na AFL x1)...
5 Reactions
51 Replies
3K Views
Wakuu, mnamo mwaka 1993 tajiri mmoja muuza mitumba pale mjini Lagos aitwaye Mashood Abiola baada ya kupata faida kidogo alianzisha Bonanza/Ndondo Cup iliyoitwa Abiola Cup au Kombe la Abiola...
5 Reactions
72 Replies
2K Views
Back
Top Bottom