Salamu hazina maana tunazeeshana bure.
Ukiangalia mechi ya kwanza hapa kwa Mkapa wenyewe mtayaamini maneno yangu, Simba walikuwa vizuri sana, Waarabu wapo hovyo, upangaji wa kikosi wa Robertinho...
Kauli yangu ni moja tu na tena ni Takatifu kabisa kuwa HATUMO na TUMESHATOLEWA rasmi Mashindanoni hivyo hizo Kauli zenu za Kinafiki na Kipuuzi za Timu zetu KUFA KIUME msiwe mnazisema mbele yangu...
Je ni salama kwa wachezaji ? ukiangalia uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa una taa karibia 200 na ushee kwa ajili ya gemu za usiku ila kuna hivi viwanja vingine vina taa hata 5 hazifiki na mpira...
Serikali kupitia wizara ya utamaduni, sanaa na michezo imetoa tamko rasmi kutokana na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha kuvuja kwa maji katika moja ya sehemu ya Uwanja wa...
Mechi ya hiy tajwa inaonesha bado tunasafar ndefu ya kumakiza tatizo la mpira uchweze zaid na kupunguza kusimama bila sababu na mech ya leo mwamazi aliongoza hiloo.
Kil ikitokea faul alikuwa...
Mapema mwaka huu Al Ahly walitukwepa
Na kidondokela wakachukua kombe la CAF CL dhidi yaWydad
Na jana refa akawa anafanya kila mbinu ili mtukwepe tena kwa kumpa a straight red card beki wetu...
Nadhani Leo hakuna doubt kuwa Al ahly wako home ground so ule uchawi wa makolo uliozuia magoli 5 ya Al ahly haupo kama mnavyojua uchawi haupandi ndege za mzungu
Hivyo basi Kwa uchambuzi...
SIMBA NA AL AHLY WOTE WABOVU
Kwa uchambuzi wangu mechi ya Jana ..... tittle ni walicheza sio waliocheza
"Al Ahly na Simba wote wabovu, Yanga akicheza na Simba dakika 45, anamfunga Simba na...
Mimi sio Mchambuzi wala Kocha, natoa maoni yangu kwa uzoefu ninaoona kwa kile kinachofanywa na makocha wengine.
Katika mchezo wa jana Ahly na Simba, Sub ya Kenedy ilikuwa sub muafaka kwa wakati...
🎯HILI LINASIKITISHA SANA NA KUFURAHISHA PIA.
By Lackson Tungaraza
♦️Pichani ni mchezaji wa mpira wa miguu katika kilabu ya Manchester United iliyopo Uingereza.
Jina lake ni HARRY MAGUIRE na...
Mapema mwaka huu Al Ahly walitukwepa
Na kudondokela wakachukua kombe la CAF CL dhidi ya Wydad
Na jana refa akawa anafanya kila mbinu ili mtukwepe tena kwa kumpa a straight red card beki wetu...
Jeshi la Polisi Mkoa Ruvuma katika kuzuia na kutanzua uhalifu kwa kipindi cha Mwezi Septemba 01.2023 hadi Oktoba 25,2023 limeendesha Opereseheni, misako na doria mbalimbali maeneo yote ya Mkoa wa...
Habib habib shabiki damu kindakandaki wa timu pendwa timu namba 1 kwa ubora Afrika Al ahly baada ya kucheza Africa football league na timu bora ya simba michuano ambayo imekutanisha giants wa...
Hello wadau...
Kwa Miaka ya karibuni soka la Tanzania limekua na mvuto mkubwa kiasi kwa sasa ni rahisi tu Kwa shabiki hata wa shule ya msingi kukutajia kikosi cha kwanza cha Simba au Yanga bila...
CEO wa Yanga Eng.Hersi saidi alisikika akisema wao Mpango wao ilikuwa ni Kufika Makundi!
Ina Maana Matokeo Mengine yakija ni Bahati tuu Au Mbeleko?
Au ndio kwenda unajificha kwa kuogopa?
Hakuna...
Kuna jambo ambalo nilianza kulinotice msimu uliopita.
Nakumbuka kuna kipindi ambacho Simba akishinda 4, Yanga anashinda 4, Yanga wakifunga goli kama la Mudathir Yahya dhidi ya TP Mazembe, Simba...
Tukiweka ushabiki pembeni, kwa miaka ya hivi karibuni, club zetu za Simba na Yanga zimekuwa daraja moja na timu za kiarabu ambazo tunaziona kama ni daraja la juu sana kulinganisha na za kwetu...
Habib habib shabiki damu kindakandaki wa timu pendwa timu namba 4 kwa ubora Afrika mashariki na kati Al Merreikh namba moja ni Simba mbili ni mazembe tatu al hilal nne ni al merreikh.
Lengo letu...
Mwaka 1993 wakati Simba ilipoingia fainali ya kombe la Mashudu Abiola kiongozi na mfadhili wa Simba wa wakati ule ndugu Azim Dewji aliwahadaa wanasimba kwa kutoa zawadi ya gari/daladala za Chai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.