Walivyokuwa wanamprovoke Maguire pale United mambo yalipokua hayaendi sawa walijua ndio mwisho,Saivi gari limebadilika wanajisahaulisha..
Simba vs P.dynamo mashabiki walibeza Sub ya Bocco...
Zimepita siku kadhaa, Simba SC walitangaza Jezi ambazo watazitumia kwa ajiri ya Michezo ya AFRICAN Football League ambazo Zilitakiwa kuwa na Logo za Wadhamini wa Mashindano na Logo ya shindano...
SALAAM WAKUU.
Wakuu kama tunavyofahamu kuwa Al ahly ndio bora zaidi Afrika ikiwa ndio timu yenye mengi ya kimataifa kuliko timu zote duniani.
Kwa iyo ili kupima ubora lazima uangalie rekodi zako...
Good morning ladies and gentlemen,
Jana nilipata nafasi ya kuangalia boli la AFL. Sina mengi ya kusema maana nimepumzika kuongelea sana kuhusu mambo ya mpira huku mitandaoni ila nina maswali...
Kwa muda Mrefu mimi binafsi na wasomi wengine tumejitahidi humu na kwingineko kuelekeza na kuonya kwamba, hakuna haja yoyote kwa Wanasiasa kujichomeka kwenye soka na kuvitumia Vilabu vya soka...
Vikongwe wa msimbazi waendelee kupiga cha ndimu keshokutwa,kwani super league ni kiherehere chao tu ndicho kilichowapeleka huko na wamechezeshewa kisago waanze ligi mapema sana yanga hatutoki kileleni
Mwaka jana mke wetu Al Ahly alitukwepa kwenye CAF CL
Akapata kombe la ndondokela dhidi Wydad
Sasa tunakutana kwenye AFL,mjiandae na muupake kabisa mafuta
Enyi wana simba njoeni mumuone kaka...
Wakuu japo nimetanguliza uzalendo mbele kwa taifa na nchi yangu,
Ila upenzi wa kandanda safi na la burudani, unanifanya nitamani mnyama ashinde njaa Misri
Nakumbuka kama isingekuwa makosa ya...
Baada ya Simba kushindwa kufua dafu ugenini Al Ahly wapata nafasi ya goli la ugenini kanuni yaibeba Al Ahly mpaka nusu fainali ambapo anakutanishwa na wamba wa Afrika Kusini.
Mamelodi waibuka...
Derby gan kila mnapocheza iwe uwanja wa Tandika mabatini, iwe uwanja wa Bandari, iwe uwanja wa kinesi, iwe uwanja wa mkwakwani, iwe uwanja wa mkapa, iwe uwanja wenu wenyewe wa chamazi, iwe uwanja...
"Ila Yanga wachawi dadeki zenu hakuna aliyeondoka kwa amani akapata mafanikio, Nabi kule mapema kaondoshwa club bingwa huku Caze mechi 6 zote chali [emoji16][emoji16][emoji16] oyaaaaa punguzeni...
Wanapost sana kwenye mitandao yao na kujisifu kuwa wametolewa kikanuni but Yanga ilipoondolewa kikanuni pia walibeza sana Leo hii kanuni ndio IMEKUWA kichaka Chao Cha kuficha madhaifu yao!
Kufuzu...
Nataka nicheki mpira wa chelseafc na Real Madrid app ipi ni nzuri nitakayoiangalia ambayo haitumii mb kubwa yaani iwe 500 MB kushuka chini naombeni wadau
Baada ya kushuhudia mechi tamu kutoka kwa Al Ahly akimkaribisha mpinzani wake na mshindani wake wa siku zote Simba
Mechi ambayo imetamatika kwa sare ya bao 1-1 na kumfanya Al Ahly avuke kwenda...
Nikiwa kama shabiki wa Azam nimesikitishwa mno na perfomance ya timu Yangu hasa kwenye ukabaji wa timu
Timu ya Azam linapokuja suala la ukabaji ni wachezaji wachache sana wanaotimiza wajibu wao...
Simba kesho inabidi ashinde au vinginevyo atoe sare ya mabao 3-3 ndio aweze kufuzu kucheza nusu fainali.
Hii ni kwa mujibu wa sheria ya goli la ugenini kuhesabiwa mawili pale magoli yanapokuwa...
Dakika ya nne ya mchezo tayari keshatoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa Mamelodi
Beki wa Mamelodi ndiyo alicheza faulo ila haikustahili straight red card
Tunajua Al ahyl hana ujanja mbele ya mume...
Nawaheshimu Al Ahly, lakini si kwamba hawafungiki, leo watalazimika kulitema tonge kabla hawajalimeza!
Hii itapelekea wanaoichukia Simba kuumia sana! Ila sina jinsi ya kuwasaidia itabidi...
Sina iyo kumbukumbu labda mwenye nayo atujuze, hat trick kwenye derby sio jambo la kitoto eti ni mpaka uwe Bora aswaa na uwe fiti kwa 100%.
Mchezaji aliyekamilika atapimwa kwenye mechi ngumu Kama...
Shabiki wa Yanga aliyejitambulisha kwa jina la Baba Rabiyat ametoa ahadi ya kupunguzwa idadi ya vidole kwenye mkono wake wa kulia endapo Simba itashinda mchezo wa leo dhidi ya Al Ahly!
Source...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.