Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tafadhali mfuatiliaji na mpenzi wa soka, epuka porojo. Puuza upuuzi unaoenezwa kuwa Yanga, bingwa mtetezi wa Tanzania, ni kibonde wa Ihefu FC ya kule Mbarali Mbeya. Tangu Ihefu ipande Ligi Kuu...
3 Reactions
5 Replies
959 Views
Once mwananchi always mwananchi. Huyu dogo Feisal bado ana mapenzi makubwa sana na Yanga. Mechi ya jana amecheza kinazi. Amecheza chini ya kiwango chake. Kuna baadhi ya mashuti alikuwa...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
(1) Mudathri na Feisal salum walitegeana kuingia uwanjani hii ilishatokea kwa Aziz k na Chama kutopeana mikono. (2) Vita Kali katikati ya uwanja baina ya viungo wakabaji Aucho, Mudathri na...
18 Reactions
23 Replies
2K Views
Nilisubiri kwa hamu kubwa kuona mashabiki wa Simba sc kumwaga maua kwa Mashujaa zao baada ya mchezo kuisha lakini imekua tofauti zaidi nimeona lawama tu. NALIA NGWENA nazungumza kimpira...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Ifike muda tukubali kuwa Simba SC ni timu kongwe na bora ila wale wengine ni timu kongwe. Sasa cha kushangaza leo kwenye pita pita zangu nimeona kuna kampuni ya kubet imeipa odds 20 kama Simba...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, leo nilijipa muda wa kupitia baadhi ya makala na machapisho juu ya hili shindano jipya kabisa Africa (AFL), bahati mbaya sikufanikiwa kukutana na sababu za kwanini Simba na Tanzania kwa...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Yaani Wewe badala ya Kufanya Kazi (Kucheza Mpira wa Nguvu) ili uisaidie Azam FC yako Wewe kila mara uko busy Kuchekeana (Kukenua Mimeno yako mibovu) na Wachezaji wa Yanga SC akina Aucho, Mudathir...
11 Reactions
44 Replies
3K Views
Haya mashindano aina ya African Football League ni rahisi kuona kwa nini huwa yanakwama sehemu nyingine na uwezekano wa kukwama hapa Africa tayari unaonekana. Kutokana na mzozo wa kisiasa...
7 Reactions
99 Replies
5K Views
Hii ndiyo list ya awali ya timu 24 zinakazocheza katika toleo lijalo la African Football League. Waandaaji wa AFL ambayo ni taasisi inayojitegemea imeona ni muhimu nchi zile ambazo zinajulikana...
8 Reactions
58 Replies
3K Views
Pamoja na kuwa Kwangu mwana Simba SC lia lia, ila GENTAMYCINE nachukia sana Uwongo na Ufahari wa Kijinga kama si wa Kishamba. Unaandika Tickets SOLD OUT ili Uwakoge wana Yanga SC huku wenye...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Mabingwa watetezi na wataalamu wa kutandaza soka safi, soka burudani nk watakuwepo uwanjani leo kupigania point 3 muhimu dhidi ya Azam wanalambalamba. Bila kupapasa nasema leo Azam anafungwa za...
10 Reactions
32 Replies
1K Views
Kama ilivyo wekwa bayana hapo awali. Hakuna namna unaweza kumfunga Al Ahly kwake, tena kwenye game ya mtoano isitoshe zaidi kwenye michuamo ambayo bingwa anabeba pesa nyingi. Tujipongeze kwa...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Je, Simba SC tukishatolewa rasmi na National Al Ahly FC Jumanne tarehe 24 Oktoba, 2023 katika hii Michuano mipya ya African Football League (AFL) tunakuja kuendelea Kucheza na nani katika Ligi Kuu...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Kuelekea Derby Kali hapa Africa mashariki Azam vs Yanga (wananchi) Mimi kama mtaalamu wa soka hapa jf namsishi kocha wa kolo fc aitazame kwa umakini, huenda anaweza kujifunza baadhi ya mbinu za...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Sasa Yusuf Bakhressa ulikuwa wapi Kufuata huo Ushauri uliopewa (na wanaojua Fitna za Soka la Bongo) ili Kuwamaliza hao Wapuuzi Kwako kuwa ni rahisi kama ambavyo inaenda kuwa rahisi leo? Kile...
4 Reactions
86 Replies
5K Views
Kutokana na umuhimu wa mchezo wenyewe kila mmoja akizihitaji alama tatu muhimu lakini pia kuweka Historia kwenye Mashindano mapya ya AFL. Si hivyo tu kutokana na ukubwa wa kila timu haitokuwa...
2 Reactions
4 Replies
642 Views
Hii bi Kabla hajajiunga Inter N NIs baada ya kujiunga
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Wanajamvi Habari, Twende moja kwa moja kwenye heading hapo, ukweli kitakwimu Fei Toto yupo chini sana kwa Sasa na si kama alivyokuwa yanga hapo awali. Yaani kwa sasa hana utofauti na wachezaji...
2 Reactions
1 Replies
662 Views
Habari wana yanga wenzangu. Kweli yanga tunachukiwa sana,imejizihirisha leo sehemu nilipokuwa nacheki mechi ya yanga na lamba lamba mashabiko wa simba walikuwa wanatukana piga hao mbwa. Si...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
1. Feisal 2. Chama 3. Aziz Kii. Nani zaidi
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom