“Waliokuwepo uwanja wa Mkapa na ambao tulitazama katika televisheni tumeendelea kuamini mpira ni mchezo wa maajabu.
Inawezekana hakuna mtu ambaye amechukua pesa nyingi wiki hii kama ‘mganga wa...
Ikiwa leo ni siku ya 23 katika mwezi wa kumi sawa kabisa na tarehe ambayo vigogo wa soka nchini uingereza nazungumzia mashetani wekundu Manchester United ambapo waliwaalika majirani zao Manchester...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika:
" Leo nimeamua kujiuzulu kama kocha Mkuu wa Namungo, ningependa kuchukua fursa hii kuushukuru uongozi, watendaji wenzangu wa benchi la ufundi na...
Kuelekea michezo wa marudiano wa hatua ya robo fainali ya kombe la Afrika (AFL) kesho kati ya Simba SC dhidi ya wenyeji Al Ahly, katika dimba la Cairo imebainika kuwa sheria ya goli la ugenini sio...
Kwa wale wapenzi wa mpira wa kikapu wa marekani yani NBA unakaribia kuanza jumanne hii 24 oct itakuwa ni moto sana kutokana na jinsi timu zilivyo kipanga tunategemea itakuwa msimu wa ushindani na...
Vijana wengi barani Afrika ni wapenzi wa kabumbu (mpira wa miguu), kwa hesabu za haraka ni takribani asilimia 90 tayari vijana wamechotwa akili kwenye mpira, asilimia 9.99 wamejiweka kwenye...
Hakika ngoma aliimbwa, Airport Man of The Match Super League, Jezi no 6 mgongoni
Tarehe 20, October majira ya jioni kabisa nilikuwa nimekaa na mtaalamu wa kusoma mchezaji wa mpira (scaut) kutoka...
Matokeo kwa wenye Akili Kubwa na Watu wa Mpira akina GENTAMYCINE tumeshayajua ila kwakuwa Watu hawapendi Ukweli na wanataka Kudanganywa na Unafiki basi nami naungana nao ( huku Moyoni nikiwadharau...
Leo tena Tanzania inabahatika kushuhudia mechi bora yenye viwango vya juu inayopigwa katika dimba la Benjamín Mkapa huku Tp Mazembe akiwa mwenyeji.
Hii ni mechi ya tatu ya mashindano haya mapya...
Ni karama itokananyo na bidii,haiji hivihivi.
Simba ndio timu pekee kwa Tanzania kupata nafasi nyingi za kuweka historia.kisha timu nyingine hufuata baadae sana.
Mfano,kombe la Afrika mashariki...
Akili ndogo wanamkejeli Chama kunyimwa maji/juice na waarabu (Al ahly) baada ya mchezo kusimama.
Hilo tukio lilitokea Chama kuwasogelea waarabu na kutaka kupata walau maji lakini ikawa tofauti...
Yaani GENTAMYCINE na yule mtu mmoja wa BAKWATA tukiingie Msituni kuipambania Timu nje ya Uwanja halafu Mwarabu atoke bila Kipigo/Kichapo?
Sikumbuki ni lini GENTAMYCINE nimeshirikishwa katika...
Enzi hizo kiwango Cha Simba Kiko juu Al Ahly alikuwa hatoki na point taifa, kabamizwa mara mbili 1-0 lakini baada ya kiwango kushuka Al ahly kafanikiwa kudraw taifa
Uzi tayari
Povu ruksa
Mimi ni Mwanasoka , lakini Tangu niingie kwenye Mchezo huu sijawahi kuona ushirikina na uchawi kama unaofanyika kwenye Uchaguzi wa Chama cha soka cha Temeke.
Hivi ni nani anainjinia Mambo haya...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameshuhudia mchezo kati ya TP Mazembe ya DRC Congo dhidi ya Esperance Sportive de Tunis ya nchini Tunisia ikiwa ni mchezo wa...
22 October 2023
Enyimba Vs Wydad AC in Aftican Football League
ENYIMBA 0 - 1 WAC
Dakika 3' mchezo unaendelea magharib ya leo
Dakika 7' Kona kuelekea Enyimba
Dakika 10' hizi za mwanzo Wydad...
Seneta mmoja nchini Ufaransa ametaka aliyekuwa Mchezaji wa Timu ya Real Madrid, Karim Benzema, apokonywe uraia baada ya kutuhumiwa kujihusisha na kikundi cha kigaidi cha Muslim Brotherhood kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.