Mawinga wa Al Ahly wa kushoto na kulia watawauliza maswali magumu sana Shomari kapombe na Zimbwe Jr.
Fabrice Ngoma na Muzamiru (kiungo Punda) watakua na kazi kubwa na ndiyo uchochoro utakao...
Hawa wachezaji wawiili bado wanauhasama kabisa inaonyesha bado wanadukuduku mioyoni mwao.
Angalia pale anapotoka kapombe huwa hawapeani mikono wala kukumbatiana hii ni hatari kwa timu ya simba
Habari zenu.
Kuna vitu vya msingi vya kufanya hapa dunia sio kila mda mnaongelea mpir,mpira tu,
Nawapa ushuhuda wangu mwanzoni nilikuwa na chukua dakika 6 kupiga bao la 1 ila baada ya...
Salam JF,
" Siwezi sema nina furaha sana nikiwa hapa, ndoto zangu siku moja niwe moja kati ya wachezaji wakubwa Afrika, na naamini hili nitalifanikisha nikiwa timu na bora yenye kushiriki...
Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri.
Mechi...
Kwasisi wachambuzi Kila tukiitazama hii mechi unaona inabend upande mmoja yaani Ayubu fc watakula nyingi. Possibility ya Simba kushinda ni sawa Taifa stars kuchukua Kombe la AFCON
Al ahly Wana...
Leo nmerudia kutazama mechi ya Al ahly na Simba kwanza niwapongeze Wana Simba Kwa kuhimili mikikimikiki ya waarabu japo wangekua makini Al ahly wangeshinda goal 7
Back to the topic
Magoli...
Ukibisha unataka tu Kubisha ila Al Ahly FC wako dunia yao Kimpira kwani Wanajua na wataendelea Kuujua kutokana na Kujipanga Kwao katika kila Sekta.
Kama si bahati jana ( na nahisi hata Babu yetu...
Maadui wa mnyama SIMBA hasa baadhi ya wanayanga wasiojitambua waliomba dua zote SIMBA ifungwe
Wakafanya kila aina ya fitina mpaka majungu na masufuria bila kusahau ulozi.
Mpira una matokeo matatu...
Huyu Pasta keshakula Sadaka ya Asha Bakari buree na ushindi haujapatikana 😆😆😆😆😆
ASHA BARAKA AIOKOA SIMBA KWA KUTOA SADAKA
Mchungaji mashimo aibuka tena kwa kuitabilia SIMBA kushinda leo baada ya...
Lengo nione Ligi ya Ulaya kama England na Ligi Kuu hapa Tanzania.
Hawa jamaa hapa dukani kwao wauza madishi siwaamini, nataka ninunue dishi. Au la ninunue DStv?
Kikosi cha Simba kimeondoka jioni ya leo kuelekea nchini Misri kwenye mchezo wa marudiano siku ya jumanne.
Wengi wametoa tathmini zao, wengine wakimshambulia Somba Onana wakisema hana hadhi ya...
Mtangazaji maarufu pale mjini usafini .....haya ni maoni yake
"Sitaki kuwa Mnafiki Siioni Simba ikishinda Mchezo wake Dhidi ya Al Ahly Tayari Nimebeti Al Ahly wanashinda Dhidi ya Simba SC, na...
Hiki ndio kinakwenda kutokea michezo hiyo ikikamilika kuchezwa nyumbani na ugenini.
Simba atatolewa, kisha Yanga atakuja kumtoa AL Ahly.
Yanga atashinda mchezo mmoja nyumbani au ugenini, na...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Black Engineering kutoka nchini Italia Massimo Fogliati ambao...
Habari wakuu,
Nadhani imefikia pahala Simba haina budi kutafuta suluhisho za beki hizi kongwe zitokazo pembeni.
Hii kutokana na kuchoka kimwili mpaka kiakili haswa linapokuja suala la maamuzi...
Piga kura hapa ili tumalize huu utata humu jukwaani, timu gani ina mashabiki wengi kati ya Simba (Wenye nchi) na Young Africans/Yanga (Wananchi)?
Usipoteze kura yako.
Sijui ni mimi tu ninaye liona tatizo hili lililopo Simba, kiufupi Kapombe amekuwa tatizo kwenye safu ya ulinzi ya Simba.
Sijui ni kiwango kushuka au kuna mambo hayamuendei sawa kwenye familia...
Wadau wa vitasa, hii siyo ya kukosa. Je Volkanovski atalipiza kisasi leo? Au Warussi wataondoka na ushindi kwa mara ya pili? Majibu ni leo usiku mida ya saa tatu ya kibongo [East Africa Time...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.