MCHUNGAJI MASHIMO ATOA TAMKO BAADA YA AHMED ALLY KUMKATIA SIMU
"Nimeona watu wa simba wanajisifu wapo juu wamesahau kuna mtu aliewafanya wawepo hapo juu, wamesahau kwamba mimi ndio nlisema simba...
Timu hii ya Simba inayo kazi moja tu, Kujenga Uwezo wa kushinda game.
Sisi zote ni mashahidi, kwenye timu hii, nia ipo, nguvu ipo, ari ipo, kasi ipo, tatizo ni uwezo mdogo sijui ni wa kufikiri au...
Majirani zetu Wakenya na Waganda kupitia mitandao ya kijamii wapongeza namna Tanzania ilivyoandaa sherehe za ufunguzi wa African Football League na kushauri Tanzania ipewe sherehe za ufunguzi na...
Ukiliangalia kwa umakini utagundua kubwa Simba ina timu isiyoweza kufurukuta kwenye mashindano makubwa ya kimataifa.
Kikosi chake ni dhaifu sana hasa katikati na nyuma. Hawana mlinda mlango wa...
Nilikuwa nawashangaa sana mashabiki wa hii timu walivyokuwa wanatamba sana mitaani wakijiapiza kumfunga Aly ahly goli za kutosha!
Lakini kwa wale wanaojitambua tulikuwa tunajua madhaifu ya...
Habari wakuu,
Shida ni nini pale Simba, kwanini hatupandishi mashambulizi na tukipata mpira tunacheza sana pasi za nyuma.
Kipindi cha pili ilibidi mpaka Che Fondoh Marlone awe anapandisha...
GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula anakula na baadhi ya Viongozi Waandamizi wa Simba SC na ndiyo maana hata akiharibu analindwa nao kwa nguvu Kubwa.
GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula...
Kwa waliofuatilia mpira wa jana kati ya Simba vs Al ahly nani mnyama?. Wewe ubashiri wako ulimpa nani?.
Mimi nilimpa simba pale sokabet bwana nikiwa na uhakika atamuua mwarabu.
Lakini tuipe...
Hi everyone...
Jana ilikua uzinduzi wa michuano mipya na mikubwa zaidi kwa sasa barani Afrika yaani Africa football league...
Sherehe zilifana sana, watu walijitokeza Kwa wingi Sana tena mapema...
Habari wakuu,
Hutakiwi kuwa kwenye tension kwa kiasi kile, na hatukuwa na haja ya kuwa panic kwa kuwa tayari tulikuwa tukiongoza kwa bao mbili zidi ya upinzani.
Unapopanic unasababisha loose ya...
Ndugu zangu wa TANESCO na Wizara yenye dhamana ya Nishati nchini leo ni Ufunguzi wa Mashindano ya AFL yanayozinduliwa hapa kwetu Tanzania. Ninyi wote mnaohusika ni wenzetu na tunaishi nanyi...
Wala simlaumu Kipa Ali Salim kwa Kufungwa Goli zile Mbili ( hasa lile la Pili ) kama ambavyo Wengi wenu mnamlaumu ila GENTAMYCINE nalia na Beki wetu Henock Inonga ambaye zaidi ya mara Mbili hapa...
Wadau Baada ya kukesha usiku mzima nikipiga Dua Ili timu yetu ( ayubu fc) ishinde
Chaajabu asubuhi hii nimejiegesha kidogo huku usingizi ukinichukua ... after while nimeota ndoto Kuna watu...
Mimi ni die fan wa Young African, timu yenye soka safi East Africa 😃 na mabingwa wa makombe Tanzania Bara kama hautaki meza godoro, lakini pia napenda sana music na nina-sikio zuri sana kwenye...
Sina mengi, lakini nimesikitishwa na kilio cha haji Manara. Huyu ni mtanzania mwenzetu, analipa Kodi na anayohaki ya kuishi kwa uhuru ikiwemo ukiendesha biashara halali.
Lawama zake anazielekeza...
Mpira umekuwa ndio dini yetu rasmi Watanzania.
Umetufanya na unazidi kutufanya kuwa wapumbavu kupindukia.
Sisi ni kizazi kilichopotea kina tangatanga kama kuku aliye katwa kichwa.
Uwepo wetu...
Rekodi za Rivers United inayoenda kucheza na Yanga Kombe la Shirikisho
CAF Champions League: 2 appearances
2017 – First Round
2022 – second Round
CAF Confederation Cup: 3 appearances
2017 –...
Muwekezaji wa Simba Mohamed Dewji ameshare picha ya pamoja katika mtandao wa twitter akiwa pamoja na raisi wa FIFA Giani Infantinno huku ikisemekana kuwa Rais huyo wa shirikisho la soka duniani...
Naona Kuna watu wanajizima data. Matokeo ya Simba yanawafanya Wanajisahau kwamba muda si mrefu Hawa jamaa watarudi Tena bongo.
USHAURI: KUWA NA AKIBA YA MANENO NI JAMBO ZURI SANA, JITAHIDI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.