Majira ya saa 1:00 usiku, mabingwa watetezi wa taji, Yanga SC watashuka dimbani kumenyana na Azam Fc katika muendelezo wa ligi kuu ya NBC.
Yanga itashuka dimbani kutafuta alama 3 huku Azam Fc...
Ahmedy Ally anawadanganya Sana wanasimba na kuwaona kuwa ni wajinga na wasiojua chochote kuhusu mpira.
Kama tu kumfunga Power dynamo ulishindwa alipokuja nyumbani kwako je utaweza kumfunga Al...
Nyota wa Real Madrid, Vinicius Junior ametoa pongezi kwa Sevilla kwa kuchukua hatua haraka kumtoa na kumripoti shabiki wake kwa mamlaka kwa madai ya kumtusi kwa ubaguzi wa rangi.
Taarifa ya...
Nimefatilia mashindano ya AFL ambayo kimsingi yanahusisha team ngumu zaidi za Africa. Katika kuangalia kwangu naona kiwango Cha Yanga na Simba kwa hivi Sasa wanaweza kucheza na team yoyote Ile na...
Mama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu.
Tunajua mama ni...
Nasikitika kwamba siwezi kununua jezi kwa sababu huku mikoani zimejaa jezi ambazo hazina kiwango.
Kuna mahali ilifikia nikaamini huenda wapinzani wanazalisha jezi za hovyo ili kuharibu brand ya...
Kocha wa zamani wa Arsenal ambaye kwa sasa ni Mkuu wa maendeleo ya soka wa FIFA, Arsene WENGER tayari ametua nchini Tanzania kwa ajili ya kuitazama mechi ya ufunguzi wa Mashindano ya African...
Jana tumeshuhudia kwa macho yetu Uwanja ukiwa mtupu maeneo mengi na hata baada ya ile fungulia Mbwa ya saa 11 jioni ili watu wajaze Uwanja but still Uwanja haukujaa.
Ahmed Ally na viongozi wako...
Kwa kuwa Yanga wana mechi na waarabu wa Sudan AL-HILAL nikalazimika kwenda kupekuwa pekuwa kwenye kumbu kumbu za CAF kama Yanga wamewahi kufanya jambo lolote dhidi ya waarabu hapo Taifa...
Haya ni maoni ya mchambuzi maarufu kwenye kituo flani Cha redio
"Hawa Al Ahly[emoji1093]siku wakikutana Yanga SC[emoji1241]pale kwa makapa watapasuliwa za kutosha kwa sababu kuna muda wanajisahau...
Sijawahi kuona watu wanaumia kiwango hiki.
Hili timu wanafanya kila wawezalo kujilinganisha na Simba na kutaka wawe juu ya Simba ila kila wakijaribu wanakwama.
Wanaumia Simba kutoa sare na...
Baada ya kushuhudia match ya ufunguzi wa michuano bora hapo jana kwenye dimba la Benjamín Mkapa
Ufunguzi wa michuano yenye thamani zaidi Africa inayojulikana kwa jina la African Football League...
Nilishangaa sana kuimbwa kwa nyimbo yenye maudhui ya mke mtu sumu kwenye ufunguzi wa jukwaa kubwa kama la African Football League linalotazamwa na dunia nzima.
Kuweka nyimbo za vigodoro kwenye...
Nina uhakika na najua Wengi wenu Kiufundi hili hamkuliona na kuna baadhi hamtonielewa kwani inahitaji Jicho la uhakika Kuliona na Kujua.
Mpaka hivi sasa ( yaani leo hii ) najiuliza nini kilimkuta...
Hii ni mara ya pili hawapeani mikono kila wanapofanyiwa substitution hawapeani mikono kabisa.
Simba vs Coastal Union Kapombe na Mwenda walipishana kwa mbali Sana. Na game ya Simba SC vs Al Ahly...
Kuna siku nilikuwa nabishana tu na mfanyakazi wa Azam, nilimwambia kwamba kamera za HD wanazotumia Multi Choice ni tofauti na wanazotumia Azam, na wanazotumia Multi Choice ni tofauti na zile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.