Mechi ya marudiano katika ardhi ya Tunisia, Esperence wakimkaribisha Tp Mazembe baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0 hapa Benjamín Mkapa.
Nani wakuvuka nusu, nani atabaki... Ni saa 18:00 mechi...
Mimi ni mmoja wa watu ambao nimeipigania sana Simba huku mitandaoni ila ikafika wakati nikaamua kupumzika maana kuna mambo yanakatisha tamaa sana ndani ya Simba yangu.
Simba ina wachezaji bora...
Kuna wakati tusiwe tunadanganyana ilihali hali halisi tunaiona na kuihisi
Here we go.......
Kwa maneno tutawin ila kwa vitendo tutafail sana
SASA IPO HIVI.....
1.Kitendo cha Tp mazembe...
Hivi vitimu vinajitutumua na kuja na nyuzi za kumponda mnyama kushindwa kumfunga Al Ahly.
Kitimu kingine hata kuingia makundi tu imewachukua miaka zaidi ya 20 lakini kuna vishoga pale vina mdomo...
Mwambieni GENTAMYCINE namshauri ili atulie Yanga SC na asiendelee kuwa na Matatizo ya Kinidhamu ndani ya Timu na kwa Viongozi aachane na huyo Mganga wa Kienyeji anayemsaidia ili Kumshusha Kipa...
Nimechungulia msimamo nimekuta Ayubu FC na Mashujaa Fc bado Wana mchezo mmoja mmoja mkononi ili kukamilisha ratiba ya Nbcpl raundi ya 6.
Mashujaa Fc msituangushe Wanakigoma nikiwemo na Mimi NALIA...
Nimeangalia mechi zote mbili za AFL zilizowakutanisha hawa waarabu na simba. Mpira niliouona upande wa al ahly sikutegemea kabisa, kiwango chao kilikua chini ya nilivyotarajia ingawa bado nahisi...
Ili kuepuka aibu ya kufungwa goli nyingi katika mchezo wa marudiano AFL kesho (pamoja na ahadi ya bilioni moja kutoka kwa Mo endapo akishinda mchezo wa kesho) kiufundi naona mambo yafuatayo...
CR7 anaongoza orodha ya wafungaji bora akiwa na magfoli 11 pamoja na kwamba amecheza michezo miwili pungufu kuliko wapinzani wake katika orodha hiyo.
Anaongoza pia orodha ya assist akiwa na...
Bila salamu.
Hili neno linachosha sasa kwa timu zetu..simba na yanga ndio timu kubwa hapa bongo ziondoe hili neno kujitahidi limekuwa too much tutengeneze timu za kushindana kama wenzetu na sio...
Nimeangalia hii mechi. Kuna viashiria vya upangaji matokeo, haiingii akilini kuambiwa wale ni wachezaji walionunuliwa kwa mabilioni ya pesa. Hivi kwa mpira wa jana kuna tofauti gani kati ya ya...
Ni vyema kufikia hatua za mwisho kabisa za kila shindano.
Kuishia katikati na kujipiga nafsi konde kumekuwa ndio mtindo wetu wa Maisha. Mimi kama Shabiki wa Simba naumia mno kwakweli.
Ifike...
Tumechoka na haya mambo ya kufa kiume, timu ambayo haiwezi kutunza goli for 15min , strategy za kocha ni mbovu.
Haiwezekani goli muhimu kama lile linarudishwa in five minutes , what is wrong na...
Wote tulisikia na tulielewa!! Kuwa mama amewaahidi simba sh 10M kwa kila goli watakalofunga!! Hayo maelezo ya ziada hakuyasema na hatukuyasikia (kuwa simba mpaka ishinde, kama angekuwa amesema...
Sasa hebu fikiria hadi Baba levo naye anachambua mpira akiwa na Oscar Oscar na Ed Kumwembe, Oscar wakati tunaangalia fainal ya Simba vs Stella Abidjan hakuwepo mjini, alikuwa mdogo akihangaika na...
Siku chache zilizopitanilingia matatani baada ya kumtandia ngumi "mlevi" mmoja aliyekuwa anatukana hovyo matusi ya nguoni Wachezaji kwenye Luninga huku akijua fika kuwa hawamsikii bali anatusumbua...
Kinachowauma Mashabiki wa Simba ni kwamba Ngushi na Johora Wana [emoji966] medali ya CAF halafu chama Ana medali ya ngao ya jamii kweli ma gap hayataisha[emoji28][emoji120]
Ukitaka Kujuaa Ugumu...
Miezi mitatu tangu Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amruhusu David De Gea kuondoka inadaiwa kuna uwezekano wa kipa huyo kurejea klabuni hapo ikiwa Andre Onana ataondoka kwenda kwenye...
Hii mechi ilivyokuwa ni kama ni maigizo kwa namna ilivyokuwa timu zinacheza.
1) Al Ahly wameonesha wana accuracy ndogo sana kwenye final third ya mpinzani. Mechi zote mbili, wachezaji wa Al Ahly...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.