Mara mbadilishe tarehe, Mara mbadilishe uwanja mna kaa tena mnakumbuka kitu mnarudisha mechi ichezwe kwenye uwanja ulioibadilisha mwanzo.
Kiufupi mnajitekenya na kucheka wenyewe.
Je, tukisema...
Natumaini wote ni wazima wa afya, ila kama mwenye matatizo kiafya basi Mwenyezi Mungu(Allah) au kwa imani yako ikusaidie upone.
Basi, kuelekea kwenye Uzinduzi wa michuano mikubwa zaidi ya Vilabu...
hii ni wiki ya mateso,dhoruba,milipuko ya moyo na presha kupanda kwa mashabiki wa Utopolo.
mashabiki wa Utopolo wanaumizwa na mafanikio ya Simba.
kuna mmoja katangaza kwa uchungu kuachana na...
Wakuu,
Ufunguzi wa michuano mikubwa zaidi barani Afrika inafanyika ijumaa hapa kwenye ardhi yetu. Kama kawaida yetu tunaweza kuchukulia rahisi sana fursa hii na tusijiandae kwenye mambo ya msingi...
Achana na matokoe ya uwanjani yatakuwaje, kitendo cha Uzinduzi wa Michuano mikubwa Africa kufanyika Tanzania na Simba timu kubwa Afrika Mashariki kuwemo ni ushindi tosha kwa Simba na Tanzania kwa...
Imebainika club ya Simba kupanda thamani maradufu kwa zaidi ya 85.9% kwenye maeneo tofauti ndani ya club. Maeneo yanayotazamiwa kupanda thamani ni pamoja na wadhamini wakubwa kuongezeka,kupata...
Kesho hawa wazee wa simba nawashauri wasile biriani,watumie viazi vitamu na maji wanaweza wakamudu dk90 lasivyo wanaweza rudisha chenji...
kwanza wana afya dhaifu
akili hawanaga
umri umewatupa...
Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA limesema litaonyesha mechi ya robo fainali ya African Football League dunia nzima ispokuwa Tanzania, Africa Kusini na Uingereza
Sina haja ya kuandika maneno mengi itoshe kusema siku ya ufunguzi wa African football league tarehe 20.10.2023, Simba SC wanaenda kupigwa kipigo cha aibu sana.
Wachezaji wengi wa Simba SC wana...
Kwa Tanzania hii Timu ambayo angalau inakaribia Hadhi ya Simba SC ni Ihefu FC kutoka Highland Estates Mbarali Mkoani Mbeya.
Hivyo kwa Kulitambua hilo na Kuitambua Uongozi wa Simba SC umeamua...
Ahmedy Ally a.k.a mzee wa kispika sumu ya panya, a.k.a Semaji la FIFA na CAF ufunguzi wa African football Leaugue kwa Mkapa.
Huna baya kaka, una weledi na kipaji kikubwa cha kufanya kazi yako...
Mpira ni mchezo wa umoja, nawashauri sana akina engineer Hersi kwenda uwanjani kuicheki Simba ijumaa sio ushamba wala usaliti, unakwenda kutafuta connection na wadau mbalimbali wa soka duniani...
Baada ya Simba kupangwa kucheza na Mabingwa wa Afrika Al Ahly kwenye hatua ya Robo Fainali ya Michuano ya African Football League itakayoanza Mwezi Oktoba, Mchambuzi wa soka Geoff Lea amesema...
Mabadiliko ya ratiba kwa michezo yetu miwili ijayo ya NBC Premier League [emoji617][emoji1491] ili kupisha michuano ya AFL baadhi ya mechi zimesogezwa mbele.
Mabadiliko ya Ratiba ya Ligi Kuu kupisha mechi za AFRICAN FOOTBALL LEAGUE.
Hapa ilikuwa lazima mechi ya Ligi kuu isogezwe ni kama Birthday inapoangukia siku ya harusi, Birthday itasogezwa tu...
Sasa huu ni muda wa Afrika kujua Yanga ndio baba wa mpira wa Tanzania. Simba atagongwa na Al Ahly kwenye Afrika Super League tena nje ndani.
Nina imani kubwa Yanga atawagonga Al Ahly nje ndani...
Tukio kubwa la ufunguzi la soka la kihistoria African football League ambalo ufunguzi wake utafanyika uwanja wa Mkapa Tanzania Oktoba 20, 2023.
Tukio hilo kubwa la michuano mikubwa kuliko yote...
Neymar amepata majeraha ya goti wakati akiitumikia timu ya Taifa ya Brazil ilipopoteza magoli 2-0 dhidi ya Uruguay, ambapo anatarajiwa kufanyiwa upasuaji.
Amepata changamoto hiyo ikiwa ni miezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.