Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Sio kwa ubaya ila i had to send it, haya mambo tukiacha yatatucost sana na evidence nitawambia zipo Azam TV Tanzania. Sio hater ila things like these shouldn't happen in our football league...
25 Reactions
113 Replies
10K Views
"Nimeamua kuwapumzisha Wachezaji wangu mahiri wa Kikosi cha Kwanza wasicheze Mechi hii na Yanga SC ili wasubirie Mchezo wetu muhimu wa Ligi Daraja la Kwanza ili tujiweke katika nafasi nzuri ya...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
"Walioliibua hili ( GENTAMYCINE nawataja kuwa ni wana Yanga SC ) wana Uelewa mdogo mno wa Mambo. Rangi zote zilizopo zinawakilisha Uafrika Wetu pamoja na Rasilimali zinazopatikana na ukiangalia...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, Ufunguzi wa michuano mikubwa zaidi barani Afrika inafanyika ijumaa hapa kwenye ardhi yetu. Kama kawaida yetu tunaweza kuchukulia rahisi sana fursa hii na tusijiandae kwenye mambo ya msingi...
5 Reactions
10 Replies
411 Views
Huku chama langu pendwa @SIMBASPORTSCLUBTZ Likiwa ndo timu ya kwanza duniani kote kuandaa na kufungua pazia la michuano hii maarufu ambayo miaka miwili nyuma ilizua taharuki huko ulaya kwa madai...
3 Reactions
8 Replies
466 Views
Makamu wa Rais Yanga, Arafat Haji ametamba wana kikosi kizuri ambacho kinaweza kushindana na timu kubwa katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwamba katika mchezo dhidi ya Al Ahly wapo...
9 Reactions
46 Replies
2K Views
1. Njiwa Weusi tu wanaotamia 2. Kucha za Fisi Jike 3. Mkojo wa Mamba 4. Jasho la Chatu 5. Bendera ya Taifa lolote la nchi za Kiarabu ila ikipatikana hasa ya Egypt ( Misri ) Itapendeza zaidi...
13 Reactions
103 Replies
3K Views
Jamaa zetu roho zinawauma sana, wanakaa vikao vya kila aina ili kutia mchanga pilau, wameumia sana kusikia Rais wa FIFA, CAF na Arsene Wenger watakuwepo siku hiyo wakimshuhudia Kibu Dennis...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
"Watanzania hata kama wanakosoa au wanapongeza Kikosi cha Taifa Stars bado wana Haki ya Kutajiwa Kikosi cha Wachezaji kila Kocha Mkuu akikiteua" "Kama Serikali inayoigharamia Taifa Stars haifichi...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Mtu huna adabu hata kidogo, unasema wewe sio Mtanzania, eti kwa sababu tu umefungiwa kujihusisha na soka, unasema hauko tayari kuishabikia Stars kwa sababu hutakiwi nchini. Watu kama hawa ni...
21 Reactions
56 Replies
4K Views
Nawasalimu.. Jamaa wapo tayari Bongo, wamekuja mapema sana, huwa hawanaga mbambamba kwenye suala la mtoano. Winga zao viberenge wenye kasi ya farasi wapo, najiuliza hivi wale wazee wa kushoto...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
"Hakuna mchezaji wa klabu ya Simba anayeweza kupata nafasi kwenye kikosi cha klabu ya Al Ahly (ya Misri) hakuna hata mmoja" Abdulghafal Ally, Mchambuzi wa soka TBC FM NB: Kwa pale uananchini...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Sijui ni inferiority au ni kukosa uthubutu. Nimekuwa nikishangazwa na TFF kuendelea kung'ang'ania michezo ya kirafiki na mataifa yaleyale kama Burundi, Malawi, Kenya sijui Ethiopia kila kukicha...
7 Reactions
10 Replies
942 Views
Nakumbuka miaka ya 2000 kurudi nyuma nchi za Waarabu zilikuwa zimeuweka mpira kama haramu. Nafikiri ujinga umewaisha kichwani sasa wamevamia mpira wanamwaga pesa za mafuta. Wananunua vilabu vya...
32 Reactions
75 Replies
4K Views
Saudi Arabia imeingia kwenye ushirikiano wa kihistoria wa miaka mitano na soka la Afrika ukihusisha Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na Shirikisho la Soka la Saudi Arabia (SAFF). Nukuu CAF |...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Mtu huyo aliyetajwa kama Gaidi, aliwapiga Risasi Raia wawili wa Uswidi na kumjeruhi mmoja kabla ya mechi ya Ubelgiji ya kufuzu #Euro2024 dhidi ya Uswidi jijini Brussels ameuawa wakati tahadhari ya...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari ndiyo hiyo upumbavu wa kufungua mageti saa nane na huku mkijua mifumo yenu ni slow na niyakizamani mtaleta maafa siku ya ijumaa ! Mtu akitoa pesa yake aheshimiwe ,utapeli wakupiga watu bila...
1 Reactions
0 Replies
293 Views
Tanzania haijacheza finali za AFCON kwa miaka mingi kutokana na sababu nyingi sana. Mojawapo ya sababu hizo ni makocha wa timu ya taifa kushinikizwa uteuzi wa wachezaji. Leo nilimsikia mchambuzi...
2 Reactions
4 Replies
867 Views
Wakuu, Haya ni makosi ya kiufundi ambayo Mimi binafsi nimeyaona toka msimu huu kuanza na huenda yakatu cost hasa kwenye mechi za kimataifa. 1. Kiungo mkabaji (DM) Umejiuliza Ni kwanini...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari wana jf,,,, natumai mko pw kwa waliobahatika kuona ule utabiri wangu wa group stage ambayo imetoka leo,, Niliitabiri wiki moja before jinsi makundi yatakavyokuwa na ndivyo hivyo yametokaeo...
9 Reactions
49 Replies
3K Views
Back
Top Bottom