Timu ambayo Feitoto ataichezea kwa sasa inajitafuta ili ijipate kwa Kukamilisha Shilingi Milioni Mia Sita (Tsh 600,000,000/= ) ya Kumlipa na aende Kuongeza Nguvu katika Kikosi chao.
Hata hivyo...
Yaani Timu ina Kiongozi mwana Avic Town Kigamboni FC, ina Kaimu Afisa Habari Mnafiki mwana Avic Town Kigamboni FC na Mtaalam wa Ufundi mwana Avic Town Kigamboni FC halafu kabisa wana Simba SC...
Watanzania wameumia sana leo kwa taarifa yenu kama hamjui, hiyo timu ni ya watanzania na sio mali yenu TFF, tuna haki kabisa ya kuiangalia na kutoa maoni yetu, kitendo mlichokifanya Leo ambacho...
Salaam Wana jf
Weekend hii nimekaa kama mchambuzi mbobevu wa jf nimewaza kuwa ......sisi kama Wana msimbazi tupige magoti sana Ili bongo referees wateuliwe kivyovyote vile wakachezeshe mechi zetu...
Simba na Yanga ni timu kongwe zenye mashabiki na wafuasi wengi hapa nchini na hata nje ya nchi.
Kila timu hutamba kwa upande wake kuwa ni Bora kuliko timu nyingine.
Unadhani kwa sasa timu gani...
Kuelekea uzinduzi wa AFL 2023 nimewaletea makala ya timu shiriki mpate kujua mafanikio yao katika mashindano ya AFRICA na DUNIA
Al-Ahly
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 11, ubingwa...
Ujumbe wa Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama baada ya Tanzania kupangwa kundi F sambamba na timu yake ya Taifa ya Zambia, DRC na Morocco kwenye droo ya upangaji wa makundi ya fainali za kombe...
Ilikua ni ngumu sana kwa Simba sc kwenda kukaa mezani na Yanga sc hakika wasingeweza kumpata Feisal Salumu.
NALIA NGWENA nimekumbuka kilichotumika kwa Saidoo Ntibazonkiza baada ya kwenda Geita...
Nimeshauandaa Uzi Maalum wa huyo mtu ila nasubiri hiyo Saa 1 Kamili Usiku nikione Kikosi cha Taifa Stars na kama hayuko na hakuitwa kabisa basi Usiku wa Leo hapa JamiiForums patawaka Moto kwani...
Inauma sana Kiukweli yaani Wenzako wakiwa Wanaongozwa na Ving'ora kwenda Estadio Du Lupaso Wengine wanakatiza tu Mitaani, Majarubani huku Wakikanyaga Nyanya za Watu, wakigonga Makopo ya Mkaa na...
Uchambuzi wangu
Linapokuja suala la kucheza na waarabu ndugu zangu Wana msimbazi hata wawe vizuri vipi wakiwaona tu waarabu.....ndugu zangu ayubu fc wanapoteana uwanjani.....ukileta mechi ambayo...
Nimeshangazwa sana na huu utumbo wa Azam Media kusema wataonesha halafu wasioneshe.
Haya endeleeni kufuata maelekezo na timu lenu kivyenu vyenu.
Na mkumbuke kutuomba radhi kwa huu utumbo wa...
Uongozi wa Manchester United unatarajia kuongeza ulinzi katika mchezo ujao dhidi ya Copenhagen katika Ligi ya Mabingwa Ulaya kwenye Uwanja wa Old Trafford ili kudhibiti mashabiki wanaodaiwa...
1. Morocco
2. DR Congo
3. Zambia
Kwanini?
Ni Timu ambazo zinacheza Mpira wa Kuvutia, wa Kisasa na kuna Vipaji vikubwa na Vingi.
Pia ni Timu ambazo Makocha wake hawafichi Vikosi vya Wachezaji...
Leo baada ya kuona mzungu wa Simba baada ya kuona anaandamwa sana mtandaoni mimi naona huu ni ubaguzi wa wazi wazi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi Ni baadhi ya picha za mzungu wa Simba...
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza, naomba kujuzwa hii game itaonyeshwa? Kama ndio naomba kujuzwa chanel itakayoonyeshwa..
Niwatakie mapumziko mema ya week end.
Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger ni moja ya wageni watakaokuja Tanzania katika ufunguzi wa Mashindano ya African Football League Oktoba 20.
Wenger ambaye ni moja ya watu wa ufundi wa...
Klabu ya Simba leo hii imezindua jezi kwa ajili ya mashindano ya African Football League yanayotarajiwa kuanza 20/10/2023 na mechi ya ufunguzi itakuwa ni Simba SC vs National Al Ahly kwenye dimba...
Nyie mlidhani kwakuwa ni Mlevi na mvuta Bangi za Kwao Kinondoni Biafra, Kawe Kijiwe chake maarufu cha Unga Unga na Tandale Gereji wa Dula basi hajui Haki zake na Sheria hivyo mtamburuza tu...
Uongozi wa timu yetu umefikia makubaliano ya pande mbili ya kuvunja Mkataba na aliyekua Kocha wetu Mkuu Zuberi Katwila.
Hata hivyo ongozi wa timu unamshukuru Kocha katwila kwa wakati wote aliokua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.