Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

ASUBUHI ya Jana Simba imecheza mechi ya kirafiki dhidi ya Dar City kwenye uwanja wake wa Mo Simba Arena, Bunju - Dar es Salaam na kuibuka na ushindi wa mabao 5-1, huku kipa wake Aishi Manula...
3 Reactions
11 Replies
992 Views
Walipewa muda wa Udhuru wao na kutakiwa Kurejea Kambini Wao kwa Ujeuri ( Kipa Metacha Mnata na Kiungo Jonas Mkude ) wakarudi muda walioutaka Wao na Kocha Gamondi akawafukuza na kutowahitaji katika...
7 Reactions
48 Replies
3K Views
Kocha mkubwa km Pep kwenda kufundisha timu ndogo ya manchester city ilikuwa matumizi mabaya ya akili Hii manchester city haiwezi kukua wala kuwa miongoni mwa giants kwasababu wanabeba makombe ya...
10 Reactions
56 Replies
4K Views
ZIKIWA zimesalia dakika 15 tu mchezo kumalizika, huku washabiki wa Arsenal wakiachia viti walivyokuwa wameketi juu yake na kuanza kutafuta ilipo milango ya kutoka nje ya Dimba la Stamford Bridge...
11 Reactions
17 Replies
2K Views
Sheikh Jassim ambaye ni mwekezaji kutoka Qatar alikuwa mmoja wa wawekezaji wawili waliosalia katika mpango wa kuinunua Manchester United amefuta mpango wake huo baada ya wamiliki wa klabu Familia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini TPBRC, imemfungia kwa muda wa mwaka mmoja bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo kufuatia kitendo chake kugomea kupanda ulingoni katika pambano...
0 Reactions
2 Replies
562 Views
Wakati Al Ahly yupo Austria akijiandaa na mtanange wa African Super League na Ligi ya Mambingwa Afrika, wawakilishi wetu hapa Tanzania katika michuano ya Kimataifa Simba na Yanga wapo bize...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Wewe ndio kocha unataka uanze na viungo watatu, wachague hapa katika orodha hii.
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Galam galam, Katika thread hii tutapashana facts zilizo tokea katika viwanja mbalimbali vya michezo ama katika duru za michezo ulimwenguni. Ruhsa kwa yeyote kuwasilisha takwimu ama habari ya...
9 Reactions
4K Replies
160K Views
Mwamba msimu uliopita alifunga magoli mengi sana katika michuano yote mpaka tukambatiza jina la utani “JINI” Msimu huu imekuwa tofauti, Haaland ana struggle kiasi kikubwa sana. Huwezi amini...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
Nimegundua watu wengi wana wivu mkubwa sana na Pep, hawataki kukubali. Wameshikilia msimamo wao kuwa anasajili wachezaji wazuri, hapohapo timu zao nao zinasajili wazuri lakini mafanikio hakuna...
14 Reactions
116 Replies
6K Views
Baada ya NewcastleUnited kufanikiwa kuondosha ManchesterCity katika Raundi ya Tatu ya CarabaoCup, timu hiyo imepangwa kucheza ugenini kwenye Uwanja wa Old Trafford dhidi ya ManchesterUnited katika...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
WAKATI Simba ikiendelea kujiandaa na mechi ya ufunguzi wa michuano mipya ya African Football League (AFL) dhidi ya Al Alhy ya Misri, ghafla imejikuta ikianguka kwenye mtego kutoka Shirikisho la...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kazi iendelee. Damu nzito kuliko maji ndio msemo maarufu unaolezea uzito na ukaribu wa ndugu wa damu lakini msemo huo ni tofauti na...
28 Reactions
60 Replies
4K Views
Aise hii michezo ni hatari sana, sio kiuchumi tu zaid kiafya, hii kitu imenikuta jana. Sasa Jana katika kujaribu zari nikawa nimebeti, nikazipa kama timu nane hivi nikatia stake yangu kiasi...
30 Reactions
126 Replies
8K Views
Timu ya Al Ahly ya Misri inawaalika Yanga ya Tanzania katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo kwenye mchezo wa kwanza uliofanyika Dar Es Salaam walitoka sare ya 1-1. Yanga...
9 Reactions
528 Replies
93K Views
Kuna lijaamaa linaitwa Congo cash ni huko Sokabet sijui nimeicheza naona iko powa linatema hela vibaya sana ila kila mtu na bahati yake 😄🤣😂.
1 Reactions
1 Replies
436 Views
Mnapoleta porojo zenu, msisahau kusema pia ni jezi iliyowahi kuweka rekodi, yaani jezi ambayo imevaliwa mara 2 na ikaiingizia timu Billion 5 point, hapo Simba ana hasara gani?
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Hapa Tanzania wachezaji wanapitia wakati mgumu ambao sio wageni na waeleza wale wachezaji wa ndani. Timu mbili ambazo zinaweza kukupa mashavu na madili makubwa ni Simba na Yanga, ila hizo hizo...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Wacha mfungaji bora ajitokeze tu by chance na sio kulazimisha lazima mfungaji bora atoke Yanga. Kufanya hivyo kutakuwa na athari kadhaa zikiwemo: 1. Kumchosha mchezaji mmoja huyohuyo ambae...
15 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom