Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Refa ndo alikua man of the match [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
8 Reactions
42 Replies
3K Views
Salaam Wana jf...... Weekend hii nilikuwa najaribu ku retrieve timu zinazo ongoza Kwa kupokea vipigo heavyweight hapa east Africa Jibu limekuja kuwa Simba (Ayubu fc) ndiyo timu inayoongoza Kwa...
10 Reactions
66 Replies
3K Views
Tunaelewa kuwa Yanga imejaa viongozi wahuni ambao hawaridhiki mpaka wafanye jambo la kihuni. Bahati mbaya watu smart nao hawana cha kusikilizwa zaidi ya kukenua meno tu. Hata kama, lakini huku...
10 Reactions
61 Replies
7K Views
Ili kuonyesha uchu aliyonao dhidi ya wekundu wa msimbazi mshambuliaji muuaji wa mashetani wekundu wa Misri ameamua kuikacha timu ya Taifa ya Afrika Kusini Ili kutunza nguvu za kuja kuwaadabisha...
6 Reactions
48 Replies
2K Views
Taarifa kutoka bodi ya Wakurugenzi ya Arsenal inasema kwamba Kocha mbovu wa timu hiyo Arteta amepewa mechi 5 tu za kuthibitisha ubora wake kabla hajatupiwa mfuko wake wa Rambo. Hii maana yake...
5 Reactions
61 Replies
5K Views
Salaam wakuu. Klabu ya Yanga msimu huu imefanikiwa kuingia hatua ya makundi baada ya miaka 25 kupita kwa si vibaya tukiangalia rekodi zake katika hatua hiyo. 1. Yanga ndio timu inayoshikilia...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Bondia Hassan Mwakinyo amesema kesho hatapanda Ulingoni kupigana dhidi ya Bondia Julius Indonga kwenye pambano la kuwania mkanda wa IBA International. Amesema hatapigana kutogana na Uwongo na...
4 Reactions
61 Replies
10K Views
Eeh bana eeeh Robetihno alikuwa mtu na nusu amecheza sana uwanja mkubwa Duniani wa Maracana. Mwamba akivaa jezi no 7 alikiwasha sana. Huyu mwamba ndiomana hanaga pressure na haogopi kucheza na...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Huyu ni Bingwa wa Soka la Afrika, hivyo kama ingekuwa masuala ya kisiasa tungesema huyu ndio Raia namba moja wa Afrika. Sasa hapa Bongo Al Ahyl atakuja mara mbili, ya kwanza kucheza na Simba, na...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Ukifuatilia michango ya members hapa jukwaani utagundua kuwa wengi hawana vifua vya kuvumilia hoja au mada zenye habari/ujumbe wenye mlengo tofauti na timu zao ktk kipindi husika. Matokeo yake ni...
12 Reactions
27 Replies
2K Views
Umofia kwenu. Wakuu majuzi ilikuwa birthday ya yondani kama sikosei. Jamaa ni moja ya ma legend katika ligi yetu na bongo kiujumla. Hivyo u_legend wake ilitakiwa iwe mfano mzuri kwa wadogo zake...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Hii ndo nini sasa?
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Sisi Kama wanalunyasi hatuna budi kumshukuru karia kuendelea kutuwekea refa wa kimkakati kwenye mechi zetu mpaka tuutwae ubingwa hata kama tunacheza mpira papatu papatu. Endelea kutumia udikteta...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Naona Tanzania inayo safari ndefu katika nyanja ya waamuzi na mpira wa kitanzania kiujumla, mechi ya Leo imeonyesha ni wapi tunaelekea na klabu kinachokwenda kuiwakilisha nchi kimataifa! Mpaka...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Sisi Ayubu FC tuna mechi ngumu lakini kwa kosi letu hili lazima Al ahly akae kwa mkapa hatoki mtu. Hizi ndiyo mbinu tutakazo zitumia siku ya tar 20/10 mpaka mwarabu anakula goli Saba. 1)...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Je unamkumbuka David Luis wa Arsenal na Chelsea? Ndiye huyu, siku hizi anaichezea Flamengo ya Brazil, ana miaka 36. Amekuwa kama Yesu wa Tongaren.
1 Reactions
3 Replies
704 Views
Hivi tff mnashindwa Nini kuomba hata mechi ya kirafiki hata Moja na tumefuzu afcon . Tuliofuzu nao wengi Wanapiga Friend match ila tff mpo kimya Nb:ilikua ni muda mzuri kwa wachezaji ambao...
1 Reactions
1 Replies
336 Views
Utopolo atapoteza mechi zote mbili za Darby kwa kufungwa na Simba,mechi zote mbili nje ndani. nyingine moja atafungwa aidha na Ihefu,Kagera au Namungo. mechi zingine tatu Uto ata draw na timu...
16 Reactions
52 Replies
3K Views
Na hata jina jipya la kumuita Jonas Mkude 'Homeboy' badala ya lile la 'Nungunungu' alilolipatia akiwa Simba SC alimbatiza yeye. Cha Kushangaza tokea GENTAMYCINE atoboe siri ya Mkude kutoweka...
2 Reactions
0 Replies
580 Views
Beki huyu kisiki ndiyo litmus paper ya nini na vipi beki wa kulia anavyotakiwa acheze Anakaba,ana dribble,anafanya interceptions za mashambulizi ya wapinzani,anashuka na kupanda kirahisi kwenye...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom