Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

GOLI KIPA ILI AWEZE KUWA BORA ANAHITAJI KUWA NA VITU VIFUATAVYO⚽ . 1. Uokoaji: Hii inahusu jinsi golikipa anavyoweza kuokoa michomo inayoelekezwa kwenye lango lake. Uokoaji mzuri unahitaji muda wa...
-1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa 95% Kiongozi wa Azam FC ( ambaye Watu wa Mpira Tanzania tunajua ni mwana Yanga SC lia lia ) CEO Popat ndiyo huwa Silaha Kuu ya Yanga SC kuifunga Azam FC muda wowote na inavyotaka. Na hiyo 5%...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama ni uganga basi huyu mwamba mganga wake hatari, ukitizama work rate yake, unyumbulifu yaani jamaa anaonekana kachoka haswaa, one vs one battle anashindwa sana. Kila mwenye macho anaona mwenyewe.
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Swali # 1. Je, Yanga SC ingekuwa inaongoza Ligi Kuu ya NBC mpaka sasa ( yaani leo ) mngekuwa Wanafiki hivi na Kutumia muda mrefu Kumjadili Mwamuzi wa leo kuwa Kaipendelea Simba SC dhidi ya...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
1. Simba imeshinda lakini bado Chemistry haijapatikana 2.Che Malone Fondoh ni ukuta wa Yericko kweli sio masihara 3.Kibu Dennis amebadilika sana, hakuna mchezaji wa kumweka benchi awe wa kigeni au...
15 Reactions
47 Replies
5K Views
Akizungumza na Mwanaspoti jana, kocha Robertinho alisema ameionah ali ya mashabiki wa klabu hiyok utomkubali Bocco, ila kwam tazamo wake bado ni mshambuliaji bora anayeweza kucheza kwa maelekezo...
6 Reactions
8 Replies
999 Views
Kama una moyo mwepesi huwezi kuangalia show yao mpaka mwisho, kama kuna talent za kutisha basi hii talent ya hawa vijana ni ni ya kutisha mno. Wanaenda kuweka historia Duniani, kama Dunia...
5 Reactions
16 Replies
886 Views
Monday’s eight-game slate of the 2023 FIBA World Cup provided yet another impressive showing from players and teams looking to advance on the international stage. Take a closer look at some of the...
0 Reactions
1 Replies
358 Views
Kwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni: 1. Chama 2. Max 3. Yao Wewe waonaje?
6 Reactions
93 Replies
6K Views
Baada ya mbinu ya kutumia wachezaji waliocheza Ayub FC na kuhamia Arizeti Fc kushindikana Sasa kwa taarifa nilizozipata hivi punde shilingi imegeuka kwa mpuliza filimbi na washika kibendera ndiyo...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Kuelekea mechi za Simba na Al ahly super league na Yanga na Al ahly CafCl.. Nafahamu washawai kupigwa Moja bila na Yanga. Goli la Canavaro sasa nawauliza watunza kumbukumbu hivi washawai kuifunga...
1 Reactions
10 Replies
612 Views
Last season Ronaldo asked Bayern Munich for a vacancy, but sporting director Oliver Kahn refused him. [emoji828] Today, unemployed Oliver Kahn went to Arabia directly to Ronaldo's club, Al Nassr...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Msimu huu tangu uanze club ya simba mechi zake zote 5 zimechezeshwa na waamuzi wa kike. Je kuna siri gani wadau
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Msije kusema kuwa hatujawaambia, Ayubu Fc walishachungulia na kuona kuwa hii mechi ni ngumu. Hotelini walipofikia hapakaliki na inasemekana wamewatafuta wachezaji wao walioichezea Ayub Fc na...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) leo tarehe 08/10/2023 limekabidhi vifaa mbalimbali kwa timu mbili za riadha zinazoenda kushiriki mashindano ya Kimataifa Japan na Switzerland. Timu mojawapo...
0 Reactions
1 Replies
356 Views
kuna watu wameshtuka presha zikapanda ni NHIF sio IHEFU. timu hiyo ya wafanyakazi ya taasisi wameomba warudiane na timu ya NSSZ ya Zanzibar wiki ijayo.
0 Reactions
1 Replies
825 Views
Kuna watu roho zimefanya "paaaah!!.😅😂 Bondia wa Peru Dà Silvà Ihelfu ameomba pambano lake na bondia Eduàrdò lifanyike wiki ijayo badala ya mwezi December kama ilivyo pangwa.
2 Reactions
3 Replies
291 Views
Kocha wa CR Belouizdad ambaye pia aliwahi kuifundisha Simba, Sven Vandenbroeck amefutwa kazi kwenye timu hiyo ambayo imepangwa kundi moja na yanga kwenye ligi ya mabingwa Afrika. Kocha huyo...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Jana kulikuwa na mechi Kati ya Genoa na Ac Milan, katika mechi hiyo kipa wa Ac Milan alitolewa kwa Kadi nyekundu wakati idadi ya wachezaji kufanyiwa sub ilishatimia. Ilibidi mshambuliaji wao...
1 Reactions
0 Replies
575 Views
Ni sehemu maalum kwa wadau wa mpira wa miguu kutoa maoni, ushauri na uchambuzi. Msimu mpya umeanza kwa timu zetu 4 kuiwakilisha Tanzania kwa ushiriki wa michuano ya kimataifa barani...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Back
Top Bottom