Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni muda sasa tuseme hapana hii sio fair, ni aibu sana ligi 5 kwa ubora Africa kuwa na Waamuzi wa ovyo namna hii. Bodi ya ligi na chama cha waamuzi kaeni chini mujitafakari hao muowapa mamlaka ya...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Huyu Al Ahyl Hana maajabu yeyote ya maana Na siku zote Ili uwe bora na lazima upambane na aliye bora Ili kupitia yeye na wewe upande chati. Simba hazingumziwi sana kwenye haya mashindano kwakuwa...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Jana, Tanzania Prisons ilicheza na Somba katika mechi ya ligi (bahati nzuri huku nilipo umeme ulichukuliwa) na matokeo ilifungwa 3-1. Leo katika kufuatilia toka kwa wachambuzi wetu(!!!) nimesikia...
2 Reactions
7 Replies
942 Views
Kama msmaimo unavyoonekana kumeibika mapigano makali kati ya Kmc na yanga kugombania nafasi ya tatu.
5 Reactions
4 Replies
485 Views
Hii logo kusema na ukweli imekaa kizamani sana.kuna muda nikiangalia huwa najiuliza hivi yanga inamiliki mabondia wa ngumi na vilabu vya netball? Jibu ni hapana yanga inamiliki timu ya mpira ya...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Klabu ya CR Belouizdad ya Algeria Imetangaza Kumfuta Kazi Kocha wake Mkuu Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji Kufuatia Mwenendo Mbaya wa Timu hiyo katika mechi za Ligi kuu ya Algeria (League 1)...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
FEBRUARY 14,2018 kwenye mchezo kati ya Real Madrid na PSG lilitokea tukio ambalo lilileta utata sana na wengi wakibakia na mshangao mkubwa huku likihusisha nguvu za giza (Uchawi). ILIKUWA ni...
2 Reactions
8 Replies
759 Views
Mashabiki wa Ayubu FC kuanzia jukwaa pendwa la Jamii forum waliandika nyuzi nyingi na kupiga kelele nyingi kuwa Bocco umezeeka hufai kuichezea Ayubu Fc. Ikafikia hatua mashabiki wakaanza...
4 Reactions
15 Replies
875 Views
Vibe la mashabiki ni noma, hawa waarabu wanajua kushangilia , hii ligi soon itakua hatari sana
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Habari wakuu…. Kama ilivyokuwa kwa Prison, Singida habari ambazo hazijathibitishwa ni Tuziite Tetesi ili wasije wakafura tunatoa Siri zao,Kuwa wameapa Safari hii Mnyama hatiki kwa Singida Piga UA...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Huyu jamaa aliona mbali sana kama miezi 6 iliyopita aliposema target yao ni Makundi. Huku kwingine ni pagumu sana. Na ukiangalia draw ilivyochezwa kwenye hayo makundi yalivyosimama kila kundi...
1 Reactions
10 Replies
698 Views
Tunajua Hoteli uliyofikia, Viongozi wa hiyo Klabu unaowasiliana nao na hao Makomandoo wako ulioambatana nao na ambao Wanawasaidia hao Wanafiki na Marafiki zenu mnaowasaidia kwa tukio la leo Jioni...
2 Reactions
6 Replies
696 Views
Ukiangalia kwenye market value Diara thamani yake Ni 400m (Dola 185000) za kibongo lakini ya Ayoub Ni billion tatu.(Dola m. 1.3). Je ubora wa Ayoub Ni mkubwa mno Mara zaidi ya Saba ya Diara?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ukiangalia ukurasa rasimi wa X wa CAF Champions League tangu kuingia kwa makundi utajionea kitu Cha kushangaza na kufurahisha pia Tangu admin wa ukurasa ule alipoanza kutoa kadi za pongezi Kwa...
17 Reactions
53 Replies
3K Views
Hii ni ligi ya Tano kwa ubora Africa Kama inavyolipotiwa Lakini ukiangalia timu zinavyocheza unaweza kuzani ni "shaulin soccer. Kuna muda ukiangalia mpira mpaka unashika moyo unaona kabisa Hawa...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwenye ratiba ya mechi zote naomba aitupie hapa.
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakati mnafurahia Tanzania kuingiza timu mbili group stage klabu bingwa Kwa mara ya kwanza mwaka huu basi msisahau Tanzania ilipoingiza timu Kwenye group stage ya klabu bingwa ilikuwa 1998 Young...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
https://www.netflix.com/us/title/81223488?s=a&trkid=13747225&trg=cp&vlang=en&clip=81728489 Jamaa nilimu idolize sana miaka ile hadi nikawa napiga cross kama zake mpirani
2 Reactions
7 Replies
673 Views
Hello wanamichezo wote Jf!? I hope mko poa mkiendelea na majukumu yenu mbalimbali.... Najua wengine hawapo poa kutokana na magonjwa au matatizo mbalimbali ya dunia hii, usife moyo Bali mtangulize...
8 Reactions
294 Replies
20K Views
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag anaweza kuchukua uamuzi huo kuelekea mchezo dhidi ya Brentford unaotarajiwa kupigwa leo Oktoba 7, 2023 sababu ikiwa ni kiwango cha mshambuliaji huyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom