Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Najua hamtapenda GENTAMYCINE kuja na hii Taarifa au mtashangaa nilijuaje ila nyie jueni tu kuwa The King of News / Info ninajua. Wachezaji wetu Waandamizi Saba ( 7 ) Wawili ni Wageni na Mmoja...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Hii ni kwa wachambuzi wote na wanaojiita wadau wa mpira na wanaopigania mpira wetu huu/ ligi yetu ipande thamani. Wachambuzi wa clouds FM, EFM, WASAFI na media zingine mnaotanua midomo na kutoa...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
(1) makosa ya kibinadamu kutoka kwa marefa/waamuzi wa mchezo watakaochezesha huo mchezo. (2)kadi za njano nyingi sana zitatolewa kwa Tanzania prisons mpaka kadi nyekundu kabisa. (3) Penalty/Tuta...
10 Reactions
45 Replies
5K Views
Haya!! Baada ya mjadala mzito wa Makundi, Turudi kwenye ligi yetu pendwa, inayojizolea mashabiki wengi kila kukicha. Game Day. 06.10.2023 FT: Tabora FC 2 - 1 Dodoma Jiji. Next Match, ni mechi ya...
3 Reactions
154 Replies
4K Views
PORT 1 Al Ahly Wydad AC ESPERANCE MAMELOD PORT 2 SIMBA SC CR BELOUIZDAD PYRAMID PETRO DE LUANDA PORT 3 YOUNG AFRICA TP MAZEMBE AL HILAL ASEC MIMOSA PORT 4 ETOILE DU SAHIL JWANENG GALAXY...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Baada ya matokeo ya Yanga ya goli 5-0 kwa mechi mbili mashabiki wengi wa yanga hata wa Simba pia waliamini kuwa msimu huu Yanga anaweza kumaliza ligi bila kufungwa. Lakini mapema tu wamedondosha...
8 Reactions
6 Replies
888 Views
Msifungwe nyie nani? Wapuuzi wakubwa. Inafungwa Simba SC inayowazudi Kimafanikio kwa Kimataifa, inafungwa Real Madrid FC na hata PSG FC sembuse nyie Washamba ( Wagaigai ) tukuka wa Jangwani na...
15 Reactions
23 Replies
3K Views
1. National Al Ahly SC (Egypt) 2. CR Belzoud FC (Algeria) 3. Club Medeama (Ghana) 4. Ihefu FC (Mbarali Tanzania) Kudadadeki.....!!
3 Reactions
4 Replies
572 Views
Lenyewe vs Medeama Dar Sare au Litafungwa kabisa na ya marejeano kwao Ghana atafungwa Goli 5 kwa 0 Lenyewe vs CR Belzoud Dar anafungwa 4 kwa 0 na marejeano kwao Algeria atafungwa 6 kwa 0 Lenyewe...
1 Reactions
6 Replies
722 Views
''Ni kipimo kizuri kwetu [Yanga] kupata nafasi ya kucheza na Al Ahly, bingwa mtetezi. Ni kipimo kizuri pia kwetu kuona jinsi gani tumekuwa kama klabu ya mpira, naona ni moja katika makundi...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Uchambuzi ulioshiba kuhusu kilichotokea leo kule Mbarali. Hapa Maestro, pale Jef Leah, pembeni kuna Mzee wa Jambia bila kumsahau Mwana wa Kazumari. Damu itamwagika kesho…
0 Reactions
18 Replies
940 Views
Yule jamaa baada ya kichapo cha kimwiko mwiko kumnasia nyuma mbele mwiko sijaona akiandika barua mashatka kuhusu upangaji matokeo?
10 Reactions
6 Replies
601 Views
Upangaji wa makundi ligi ya mabingwa afrika
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa heshima kubwa na kwa lengo la kuleta mafanikio kwa soka la Tanzania, ni wakati wa kuangalia mbali zaidi ya migawanyiko ya kiushabiki baina ya klabu na kuanzisha ushirikiano imara baina ya timu...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mfano inakuwa hivi leo.
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Juzi kati kwa maana ya jumapili timu zetu mbili za Simba na Singida BS zilituwakilisha kwenye mashindano ya CAF. Simba ikafuzu kwa goli la kanuni ila Singida BS ikatolewa kwa kufungwa 4. Sasa...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya miamba hawa wa Tanzania wote kwa pamoja kuingia hatua ya makundi, kuna uwezekano mkubwa wakawa kundi moja. Tumeshuhudia timu kadhaa katka nchi moja kuwa kundi moja, mfano ni jirani zetu...
2 Reactions
9 Replies
762 Views
Kuna mahali, Ihefu imeizidi Yanga hasa wanapocheza nao pale Highland estate. Mechi ya jana ni kama marudio ya mechi ya msimu uliopita. Tuliamini Nabi ni kocha bora, kocha mzuri sana aliyeifanya...
5 Reactions
14 Replies
986 Views
Mnaomba mkutane na akina Medeama, Jwaneng Galaxy na ile Timu yenye Jina la Shetani Mweusi. Kudadadeki zenu leo mnapangiwa na Wababe wa Afrika Wafuatao na mtakoma na kuwakoma... Al Ahly ( Egypt )...
7 Reactions
13 Replies
954 Views
Ngoja na Mimi Mzururaji GENTAMYCINE nihame Mji sasa kutoka Kuzurula bila ya Mafanikio Mjini Mbarali Mkoani Mbeya juzi na sasa nikazurule zangu Kwingineko Mkoani Mwanza labda Safari hii Mwenyezi...
2 Reactions
5 Replies
589 Views
Back
Top Bottom