Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Timu za Simba na Yanga zitawajua wapinzani wao katika makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kupitia droo itakayochezeshwa leo jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Droo za hatua ya makundi ya Ligi ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tafadhali naomba mwenye Jedwali la Msimamo wa Ligi Kuu yetu ya NBC aniwekee hapa tafadhali ili tujikumbushe na tusisahau au tusijisahaulishe kwa Makusudi.
0 Reactions
10 Replies
765 Views
Bahasha zao ziko Mara tatu : 1.Watatoa bahasha kwa wachezaji wa timu pinzani wacheze chini ya kiwango. Na magoli marahisi rahisi Mara ya kujifunza nk 2.Watatoa bahasha kupitia kisingizio Cha...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Kitendo cha mashabiki wa Yanga kuanza kulalamikia bao la John Boko kuwa alikuwa offside naona ni kupotezeana muda tu, Boko kafanya home work yake iliyomfanya awe uwanjani na kaikamilisha na refa...
2 Reactions
2 Replies
449 Views
CAF hufanya draw ya makundi kwa kuzigawa timu kwenye pots/vyungu 4 kwa kigezo cha ubora wao. Pot no. 1: Al Ahly, Wydad WC,Esperance, na Mamelodi Sundowns. Pot no 2: Simba, CR Belouizdad...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu habari, mwenzako akinyolewa zako tia maji na tumeumia sana Yanga kufungwa na Ihefu Kyle Mbarali. Ila yaliyotokea kwa Yanga Mbarali yanaweza kutokea kwa Simba Mbeya Sokoine stadium. Nipo...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Kumekucha tena, Kivumbi leo. Uwanja wa Sokoine Mbeya. Simba ya Dar es Salaam itaumana na Tanzania Prison ya Mbeya. Muda ni Saa 10 Jioni kwa Saa za Afrika Mashariki. Kikosi cha Simba...
15 Reactions
778 Replies
46K Views
GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba. Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni...
9 Reactions
63 Replies
5K Views
"Kiukweli Wachezaji wangu hawako Smart Kichwani ( akimaanisha ni Wapumbavu ) kwani kila Siku katika Uwanja wa Mazoezi nawapa Maelekezo yale yale lakini tukija katika Mechi wanayarudia. Niliwaambia...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeangalia mechi za Yanga na mechi za timu nyingine Afrika na Europe, Yanga hii inacheza vizuri kuliko Manchester United, Chelsea na Al-Ahly.
6 Reactions
53 Replies
2K Views
Mpaka Wamekuwa kero hawa watu sms mnatuma mpaka 6 kwa saa moja na zote zikiwa na mlengo mmoja hiyi maana yake nini? Na namba zangu kawapa nani? Endapo mtaendelea na hiyi tabia nitaenda kustaki...
0 Reactions
4 Replies
871 Views
Habari zilizotufikia ni kuwa bodi ya klabu ya Simba imeridhia kuacha na kocha wake Mbrazil Roberto Oliveira 'Robertinho' kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wa timu tangu msimu huu kuanza licha...
21 Reactions
98 Replies
10K Views
Kesho ndiyo ile draw yetu! The official draw for the Group Stages of the TotalEnergies CAF Champions League and TotalEnergies CAF Confederation Cup will be conducted on Friday, 06 October 2023...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
MotoGP 2008 Mar 9: QATAR - Dona/Losail Mar 30: SPAIN - Jerez De La Fronter Apr 13: PORTUGAL - Estoril May 4: CHINA - Shangai May 18: FRANCE - Le Mans Jun 1...
1 Reactions
283 Replies
31K Views
Nafikiri ndio mara ya kwanza kwa kocha Gamondi kwenda kucheza mechi kwenye viwanja vya mikoani na ameonja shubiri ya aina yake. Viwanja vya mikoani vina aina yake ya uchezaji na vina aina ya...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Za uhakika kabisa ni kwamba hayuko Kambini na Simu Kawazimieni. Mtawaficha Wengine Habari zenu za Ndani Avic Town Kigamboni ila siyo Mimi GENTAMYCINE The King. Kwahiyo mliwaona Simba SC hawana...
13 Reactions
35 Replies
4K Views
Na najua ninayeviziwa na kukamiwa vilivyo na nitakoma kama siyo Kuwakoma ni Mimi GENTAMYCINE na baadhi. Ewe Mola bariki Prisons FC afungwe!!
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Hii iko wazi kabisaa na haturudii makosa Mara mbili, mtangojaa sanaaaa! Sisi waleeee. Na kimataifa nangoja sana pale group stage Kanda mbili wanachomokea wapi.
1 Reactions
3 Replies
617 Views
Sababu Kuu ni kwamba huwa wanatuharibia Mipango yetu na kutuanzishia Nuksi huku Wakitudhalilisha Watu wazima. Kudadadeki......!!
1 Reactions
4 Replies
488 Views
Haina haja ya salamu,Yanga Leo kufungwa ni uzembe wa kocha mkuu wa yanga,. Kufanya rotation ya kikosii ni jambo nzurii kwenye football ila kwa akilii ya...
14 Reactions
59 Replies
5K Views
Back
Top Bottom