Sisi mashabiki hatujui ukubwa wa tatizo lilisababisha Kapteni wa Yanga, Mwamnyeto kushindwa kwenda Rwanda kwenye mechi muhimu saaaaana kwa timu ya Yanga dhidi ya Al-Merreikh. Kama mchezaji...
Nashauri uchunguzi ufanyike kuhusu hii mechi kwani staki kuamini kuwa iliocheza ndio Yanga hii ya sasa. Timu kubwa kufungwa na timu ndogo, sio jambo la ajabu kwani mpira ni mchezo wa makosa na...
Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya.
Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa.
Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii...
Sasa na wale Waandishi wa Habari na Mashabiki wenu mliokuwa mmewaandaa (kwa Kuwalipa kama kawaida yenu) mkiamini kuwa Jana mngevunja mwiko pale Highland Estates Mbarali mmewapa au mtawapa majibu...
Tukio hili kubwaa katika ulimwengu wa soka litasherekea miaka 100 kwa shindano hilo mwaka 2030 kufanyika katika mabara matatu ya Amerika Kusini, Ulaya, na Afrika. Uamuzi huo unaweza kuwa mwanya...
Halafu GENTAMYCINE nawaomba mkiwa mnagombana huko Viwanjani na katika Magrupu yenu ya Wasapu hadi kutoa hizi Siri zenu za Kambi muwe mnajua nami huwa nakuwepo na hamna Uwezo wa kunijua hata...
Yaani Klabu ya Yanga ikifanya vyema katika Mechi zake zozote zile huwa mnatangaza tena kwa Bashasha zote.
Ila Yanga SC hiyo hiyo ikifungwa (kama ilivyofungwa jana na Ihefu FC huko Highland...
Najua kuwa kwa sasa kama Simba SC Kesho haitotuangusha Mashabiki wake huko Mkoani Mbeya na Kushinda basi rasmi Pengo ( Gap ) litakuwa ni la Alama ( Points ) Tatu.
Huku wakiwa Wanaiogopa Simba SC...
Diarra Yupo YANGA alafu Onana Yupo Manchester United..Life is not fair.!![emoji17]
Nadhani ni wakat wa diarra kwenda kuokoa jahazi pale mwantesa united
Tarehe 13/08/2023 timu za mpira wa miguu za Tanzania Bara za Simba na Yanga zilipambana kwenye fainali ya kugombea Ngao ya Hisani.
Mechi hiyo ambayo timu ya Yanga ilifungwa goli tatu na kujifanya...
Nimemuona jana kwenye press akisema haogopi timu yoyote anaamini wachezaji wake wanaweza cheza hata na Barcelona au real Madrid.
Kuna mwandishi alitaka kumtisha na majina makubwa ya timu za...
"Ligi Kuu ni Marathon hivyo bado Michezo iko mingi na huu wa leo ndiyo Kwanza wa Nne hivyo msiwe na wasiwasi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe akiongea na Waandishi wa Habari baada ya Kichapo...
Ile bahati ya kukutana na timu dhaifu na kuzifunga magoli mengi basi mkaanza kuota viburi. Sasa ligi ndio imeanza rasmi. Na huko hatua ya makundi hakuna timu kama Zalan. Yaani maji mtaita “mma”...
Sasa nami GENTAMYCINE nawaambieni hapa hapa (tena leo hii) kuwa Simba SC Kesho hatufungwi na Prisons FC hivyo tutawaacha kwa Alama (Points) Tatu (3) na najua Jumamosi mtawahonga Geita Gold FC ili...
Ni masaa machache tu toka nifahamu kuwa Ihefu imenichania mkeka kinyama na kiroho mbaya ila nashangaa sisikitiki Nina furaha isiyoelezeka na pia najiona Sina haja na Hela,je ni zile za sitaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.