Je, Yanga itaendeleza ubabe wake wa kutokufungwa? Ama Ihefu watavunja mwiko?
Tuungane pamoja katika huu uzi...
Kikosi cha wenyeji, Ihefu SC
Kikosi cha wageni, Yanga.
UPDATE: MANENO YA...
Nianze kwa kutoa pole kwa wanayanga wenzengu, tuyapokee matokeo ndivyo mpira wa miguu ulivyo.
Mechi ya leo ya Ihefu vs Yanga inaingia kwenye list ya mechi zilizoniumiza kwenye mpira wa miguu...
Au labda alikuwa nacho (anacho) ila Yanga SC ikifanya vyema hakimpati lakini ikishinda kama ilivyoshinda leo huko Mbarali Highlands Estates kwa Kumfunga Ihefu FC ndiyo huwa kinampata na kusikika...
Azam walizulumiwa goli Lao la haki kabisa bila ya kipingamizi, goli lilifungwa lakini mshika kibendera alinyanyua juu kibendera kuashiria kuwa mfungaji kaotea Lakini katika marejeo ni goli halali...
LEO asubuhi ndio nimegundua kuwa ile Yanga ya Nasreddine Nabi ilikuwa hatari ndani ya Uwanja,Yanga ya Gamondi pia ni hatari lakini hii Yanga chini ya ENG HERSI SAID ni hatari zaidi ndani na nje ya...
Ngoja niwasimulie kidogo hii story ya kusikitisha na kughafirisha.
Mwaka Jana kipindi yanga ni unbeaten sikuwahi kuwabetia Ila ilivyofika siku wanacheza na ihefu nikajisemea hii yanga unbeaten...
Ni mashindano yameanzishwa muda mrefu leo hii nazani ni kwa mara ya kwanza yamefanyika mkoa wa iringa
Nimeona watu ni wengi ambao ni wafanyakazi zaidi ya watu 3000 wamesafirishwa kutoka nchi...
Mama wa msichana mweusi ambaye hakupewa medali katika sherehe ya michezo ya sarakasi nchini Ireland anasema msamaha aliopokea "hauna maana".
Video iliibuka hivi karibuni ikionyesha madai ya...
Shirikisho la soka Barani Afrika ‘CAF’ linasubiri Oktoba 06 ili kukamilisha mpango wa kupanga makundi ya Michuano ya ngazi ya vilabu iliyo chini ya shirikisho hilo kwa msimu huu 2023/24.
CAF...
Mnamo siku ya Ijumaa droo ya makundi ya CAFCL na CAFCC itapangwa.
Ningependa kujua, iwapo Yanga akivuka robo fainali peke yake ndo tayari atakuwa giant wa pira la bongo?
Naomba tuseme mapema...
CEO wa klabu ya Simba SC, Imani Kajula ameiomba bodi ya ligi iwaondolee mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida fountain gate Liti ili wachezaji wapumzike wajiandae na mechi dhidi ya Al-Ahly 20...
Najiuliza maswali mengi juu ya wakaguzi wa viwanja vinavyatumika kwenye michezo ya LIGI kuu, sielewi uwa wanatumia vigezo Gani kuruhusu matumzi ya viwanja husika
Mfano mdogo ni kuruhusiwa...
Nafikiri michezo yote itakuwa imekamilika, hivyo tupeane orodha ya timiu zilizofanikiwa kuingia hatua ya makundi na zaidi ni lini droo ya kupanga timu hizi kwenye makundi itafanyika.
Karibuni.
"Wana Yanga SC tumetinga Group Stage ya CAFCL na tunatumiana tu Clips za Magoli yetu hebu tuwaombe pia na Wenzetu nao watutumie Clips za Magoli yao yaliyowapeleka Kibahati Makundi CAFCL kama Sisi"...
Nimeacha shughuli zangu nimuangalie Hassan Dilunga, Said Ndemla, Edward Songo, Maka Edward dhidi ya Mashujaa yenye Zubery Dabi, Ismail Mhesa, Adam Adam, nashuhudia nyasi mbovu, uwanja mbovu hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.