1.kipa hii ni angle muhimu sana kwa pale simba asajiliwe kipa mwenye uwezo na wa kimataifa ikiwezekana alete competition kubwa kwa Aish manula, kwa Sasa Simba sc inamtegemea kipa Ally Salum ambaye...
Ni kweli Yanga ndio walikuwa na tovuti mapema zaidi kuanzia mwaka 2012 tofauti na Simba walioanza kuwa na tovuti mwaka 2019 lakini kinachoendelea kwenye tovuti ya Yanga ni aibu na wala hakiendani...
Sijaona sababu ya Simba SC kuendelea na kocha ambaye.
Kaipokea timu kutoka mikononi mwa kocha Mgunda na kuishia Robo fainali katika michuano ya CAF tena robo ambayo imezoeleka kila mwaka...
Kwema Wakuu,
Hii inahusu Wakamaria. Kuna hii kampuni mpya ya kubet inaitwa Bookee. Nilisema nijiunge nayo ili nikimbie makato ya 15% ya kodi yaliyoko SportyBet (huu nao ni wizi mwingine). Hawa...
Ndani ya Simba SC ya sasa kuna Makundi ya Wachezaji Watatu ambayo ndiyo yanaathiri mwenendo wa Timu Kiujumla
Kundi la Kwanza
Hili ni lile ambalo kwa Makusudi linaongozwa na Clatous Chama lililo...
Haya Sasa, Siku tuliokuwa tunaisubiria kwa hamu imetimia, Leo Tarehe 01/10/2023.
Mtanange wa Round ya Pili kuwania kuingia Makundi ya Club Bingwa Afrika.
Simba SC ya Tanzania dhidi ya Power...
Uchambuzi wangu
Baada ya mnyama kuingia makundi Kinyonge sana ( amini ushirikina upo coz hii mechi walikufa) ...
..Kwa taarifa nilizopata Kila timu inaomba ipangiwe na mnyama ....coz ni sehemu...
Ni yule tu mwenye utindio wa ubongo anaweza akaendelea na wimbo wa "kombe la shirikisho lilikuwa na timu dhaifu" kwa timu 5 zilizocheza kombe ilo kutinga group stage kwa kishindo na kuziondoa zile...
Hongereni sana watani kwa kufanikiwa kutinga hatua ya makundi klabu bingwa Barani Afrika.Pongezi pia kwa Tanzania kwa kufanikiwa kuingiza vilabu viwili katika mashindano makubwa barani...
Man United is momently under scrutiny. Makocha watano walio na uwezekano kuinoa watajwa akiwepo ole gunner sosha. Wapo poa.
Zedane.
Chris Gutter.
Hans Fric.
Konte
---
Miamba ya kutokea Misri "Pyramids FC" wameingua hatua ya makundi kibabe kwa kuifunga timu ya Rwanda "APR FC" goli 6 kwa moja 1 na kufanya utofauti wa magoli kuachana kwa goli 5. Ambapo goli la APR...
𝗕𝗔𝗔𝗗𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗘𝗖𝗛𝗜
"Mashabiki wanaolalamika hawana furaha waache waendelee kutokuwa na furaha. Sisi tunasonga mbele hadi nusu fainali ligi ya mabingwa Africa hivyohivyo bila furaha"
"Mashabiki...
Sina shida na Identify ya Max Mpia Zengeli ya Kuchomekea Jezi yake na kwa wana Yanga SC kuambiwa na Msemaji wao Ali Kamwe kuwa Wote Kesho Jumamosi ni Zengeli Day hivyo watalazimika Kuchomekea kama...
Mnaiona mbovu???......haichezi biryani Kama mlivyokariri......ila Mimi naamini kwa kocha huyu tunaenda nusu fainali na zaidi
1..Changamoto kubwa bado Ni kwa fitness ya wachezaji ipo chini Sanaa...
Wanayanga inabidi tufanye maandamano makubwa ya kitaifa kusherehekea hatua kubwa ya timu yetu kufuzu hatua ya makundi kwenye mashindano makubwa zaidi kwa vilabu barani Afrika, CAF Champions League...
Nilitazama mpira future walikua wakawaida sana na walikua wanafungika magoli mengi tu kwenye uwanja wa kwao.
Lakini nilishangaa kuona Singida fountain Gate kupigwa goli nne Kwa moja Tena Future...
Uchunguzi uliofanywa na Kituo cha BBC wakizungumza na zaidi ya Waathirika 30, umebaini kuwa kuna mtandao mkubwa unaohusika na matukio ya unyanyasaji kwa wachezaji wa mpira wa miguu wenye umri...
Naskia jamaa yenu huko mambo magumu. Juzi timu yake imeua goli 6 lakini mwamba hata la offside kashindwa kufunga.
Vipi kwenye ligi yao kafanikiwa kufunga kweli? Tumuombee jamaa anapitia kipindi...
Uchambuzi wangu
Mpira wa Leo utakuwa ni mgumu sana Katika baadhi ya mechi walizowahi kukutana nazo coz pressure itakuwa juu zaidi Kwa kolo since ndiyo timu itakayoangaliwa zaidi
Facts
Power...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.