Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam sio cha Kizalendo kabisa unawezaje kulazimisha Timu yako ya Azam ifanye Mazoezi Asubuhi Chamazi Stadium siku ya leo ya mechi ya CAF mbona siku nyingine...
14 Reactions
48 Replies
4K Views
Huwezi kuiacha Yanga ukaenda kutafuta maisha kwingine ukafanikiwa, ukiacha Simon Msuva ambaye akiwastukia hiyo kitu nakwenda kutakaswa Tanga maeneo ya Maweni, wengine wote huko wanakokwenda huwa...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Wiki iliyopita GENTAMYCINE nilikuomba Wewe Mrogaji wake ambaye ni Kiboko ya Kipa Diara kuwa mrudishie haraka Soksi yake uliyoiiba Bunju na kuipeleka kwa Mtaalam Mbeya na Kigoma hukutaka kunisikia...
7 Reactions
53 Replies
4K Views
Uchambuzi wangu Baada ya kuona Mechi Kali ya singida na future fc ya misri na Baada ya kushuhudia pira papatu la makolo .....nimewaza sana kuwa pengine Ile future fc kama ingekuwa club bingwa na...
1 Reactions
0 Replies
319 Views
KALABA: KAMA JWANENG GALAXY [emoji1052] WALIWEZA, KWANINI ISIWE POWER DYNAMOS? . "Kwenye mechi ya Simba dhidi ya Power Dynamos [emoji1268] yeyote ana nafasi ya kufuzu kwenye mpira wa Miguu lolote...
6 Reactions
63 Replies
7K Views
Nazipongeza timu zetu 2 za yanga na simba kufuzu makundi, kwani imetuongezea heshima, ika hawa Singida big stars wanastahili lawama kabisa kwa jinsi walivyoitayarisha timu, wamepeleka timu bila...
1 Reactions
0 Replies
250 Views
. ukichukua kikosi chote cha power dynamoo kiwe chini ya robetino basi hiyo timu itakuwa Gian in africa kupita mamelod Sun down au esparence.Ni tabia ya kittoto sana wanayoonesha wapenzi wa simba...
3 Reactions
5 Replies
864 Views
Kocha wa klabu ya Al Merreikh, Osama Nabih amesema Yanga SC inacheza kama vilabu vikubwa vya Ulaya na kubainisha kuwa hatashangaa ikiwa Yanga itatwaa ubingwa wa Afrika. “Tumekutana na vilabu...
18 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu huyu Ayoub Lakred hamna kitu. Tujiandae kufungwa goli za kutosha msimu huu. Lile ni zaidi ya pazia
24 Reactions
56 Replies
7K Views
Sad news for the regions and participants... Organizers cancel the Dakar Rally Story Highlights -The Dakar Rally, due to start on Saturday, is called off -The French Government had...
0 Reactions
136 Replies
17K Views
Leo nimeamini mpira sio kelele kama wanazopiga mashabiki wa Simba humu nimeamini mpira ni Sayansi na sio propaganda za kina Gentamycine na wenzake mashabiki wa Simba wasiofahamu sayansi ya mpira...
6 Reactions
17 Replies
846 Views
Asante kwa Jini letu Kumchanganya Beki ili aone kuwa anaokoa kumbe anajifunga Mwenyewe vinginevyo leo ilikuwa ni 'Kuchapana Bakora na Kutimuana Day' tu na hakika tungeumizana Mbagala.
2 Reactions
2 Replies
560 Views
Simba kwanini wanashindwa kumwamini Salum kama manula hayupo,huyu mwarabu ni mbovu,magoli tuliyofungwa Zambia yote mawili asilimia 70 ni kushindwa kudaka mashuti na asilimia nyingine 30 ni mabeki...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwakweli saa nyingine huna nashindwa kujua iwapo mashabiki wa mpila wa Tz Wana uwelewa gani wa mpila zaidi ya kufuata mikumbo na ushabiki. Sasa hivi naona kwenye mitandao ya kijamii mashabiki wa...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Rejea mada tajwa hapo juu. Mashabiki wa simba sc, wanalunyasi wamechoshwa na unbeaten 26 za robertinho. Kwanini hawataki ushindi huu? 1. Jina la utani la Lunyasi tafsiri yake asilia ni timu...
0 Reactions
6 Replies
463 Views
Mabingwa watetezi wa Morocco, FAR Rabat wanaofundishwa na kocha wa zamani wa Yanga Nabi, wametupwa nje ya Klabu Bingwa Afrika kwa kuzabwa mabao 3-1 kwa matokeo ya jumla na Etoile du Sahel ya...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Hahaa nimeanza kwa kucheza hii ni baada ya jana kocha wa Jwaneng Galaxy kuwaambia Orlando Pirates walienda Spain kushangaa warembo na Maghorofa. Limekuja baada ya kuwatupa nje Orlando Pirates na...
1 Reactions
1 Replies
365 Views
Naona aibu kubwa kila nikifikiria kuwa Simba sc itakwenda kuliwakilisha taifa kwa kucheza na timu Bora barani Africa Al ahly. Pira Robertinho (papatu papatu) pira la kubahatisha ili mradi liende...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
“Tunakwenda kushindana kwenye hatua ya makundi, kama kweli tunahitaji kumaliza vizuri tunahitaji nyongeza kidogo ya Wachezaji, sifahamu kama inawezekana kwa klabu kwasasa ila kupambana na timu...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
CAFCL: Young Africans SC Vs Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023 Time 1900Hrs EST Second preliminary round · Leg 2 of 2 Aggregate: 2 - 0 Ni mchezo wa Round ya Pili kuwania nafasi ya...
14 Reactions
431 Replies
30K Views
Back
Top Bottom