Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mi nawaambia,mpira uheshimiwe.Sasa mnaingia makundi kukutana na watabe kama akina Al Ahly.Huko ndipo kipimo cha ukubwa kilipo. Timu ipo vitani,wachezaji wazuri wote wameondoka,lakini...
12 Reactions
50 Replies
3K Views
Huko Facebook wanachukua mambo yako humu aisee, nimecheka GENTAMYCINE
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Mechi inaendelea timu zote zikiwa zimefungana magoli moja kwa moja..
5 Reactions
176 Replies
9K Views
Ingekuwa aibu na fedheha kama zamalek ingetolewa na hawa Arta Solar ya Djibout, lakini fulltime Zamalek 4-1 Arta Solar, agrigate 4-3. Alianza Zamalek kuchezea kipigo cha 2-0 ugenini! Katika game...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Huku kunahitaji Uzoefu mkubwa mno na hapa wala msione Aibu kujifunza kutoka kwa Simba SC hata kama huishia Robo CAFCL mara kwa mara. Na kuna Uwezekano hata katika Pot yenu ya Makundi mkapangwa na...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Japo najua tutafuzu na kuwaondosha hawa Power Dinamos, ila sioni chetu huko group stage. Tunacheza hovyo sana, yaani ni kama vile timu ya ndondo. Endapo tukikutana na timu Bora basi kupigwa hamsa...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Yanga watafika nusu fainali. Sawa na sisi tumepita lkn siwez kutabiri wqpi tutaishia sababuuuuuuuu....... Ah anyway naiombea Singida nayo ipite. Ww unadhan tutaishia wqpi, Morombo au mbele ya...
2 Reactions
4 Replies
990 Views
Hii tabia ya kupenda kuanika mapaja yake inatia mashaka sana kwenye uadilifu wake!!
9 Reactions
52 Replies
5K Views
Mwanzoni mwa msimu hii timu ilikuwa moto, ila kwa uchezaji wao wa sasa unaonesha tayari wameshakata Pumzi. Jumatano kwa Ihefu kipigo ni nje nje. Tukutane Highland Estate stadium iyo jumatano...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Ni Simba Sports Club Dhidi Ya Jwaneng Galaxy Fc Kutoka Botswana. Baada ya Mechi Iliyopita Simba Sc Kuibuka na Ushindi wa Goli Mbili Bila Ugenini, Leo Jwaneng Galaxy Wanakuwa na Kibarua Kizito...
11 Reactions
640 Replies
48K Views
Nimesikia katika online TV moja kuwa timu ya Far Rabat ikinolewa na nabi kipara former kocha wa yanga , haitashiriki shirikisho kulingana na Sheria mpya , sote tunajua awali ilikuwa ilikuwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Taratibu sasa Watu wanaanza Kumsoma Kocha wenu ambaye kwa 80% anatembelea Nyota ya aliyekuwa Kocha wenu wenye Hasira na ambaye akihojiwa anachanganya Kifaransa, Kiswahili, Kindengereko na Kiingereza.
1 Reactions
6 Replies
690 Views
TIMU NGUMU ZILIZOFUZU CAFCL 1. MAMELOD 2. AHLY 3. WYDAD 4. ESPERENCE .. . . ZILIZOBAKI ZOTE ZIPO CHINI AU SAWA NA YANGA KISOKA. YANGA ATACHEZA NUSU FAINALI MSIMU HUU. UZI TAYARI KWA WINO MWEKUNDU
3 Reactions
8 Replies
940 Views
Ukifuatilia ukurasa wa CAF kule mtandao wa X Kwa siku ya Jana tu timu ya Yanga ndo ilioongoza kwa engagements. Ukiangalia kadi zote zilizopostiwa za kuvipongeza vilabu vilivyofuzu kuingia makundi...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Hiki kipindi kimekuwa ni Cha hovyo Sana kimepoteza mvuto ni tofauti kabisa na mwanzo. Saivi ukifungua redio usikilize walau hata upate update za mpira na uchambuzi Cha kushangaza unakutana na...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
au kama vipi tuelekezeni tu hii Miguu ya Fisi na Kinyesi cha Nguruwe Pori tukavitupe wapi, kwani nasi tunataka Kufukia ya Paka na Mkojo wa Chatu Jike aliyetoka Kuzaa Jana tu Msituni Bagamoyo ili...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni nadra sana ukifanya vizuri kwenye hii timu kisha ukaondoka bado wanakuhitaji ukatoboa unakokwenda.Ndio maana wana jeuri ya kukutunia muda wowote unapodai haki yako. Upo uwezekano kuwa huenda...
8 Reactions
46 Replies
2K Views
FIFA has sanctioned Rwanda's CAF Confederation Cup campaigners Rayon Sports from registering new expatriate players. The directive from the world football governing body came after the club...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Ikiwa mechi ya pili ya marudiano kati ya Far Rabat na Etoil du Sahel, kocha wa zamani wa Yanga prof Nabi pamoja na mchezaji wa zamani mtukutu Morrison wana kibarua kigumu leo kufuzu michuano ya...
13 Reactions
65 Replies
6K Views
Nimekuwa mkosoaji mkubwa wa TFF kutokana na sababu za waamuzi na upendeleo, lakini mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Karia amefanya na ziada kwenye mpira wetu. Amevunja rekodi nyingi...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom