Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Je, ilikuwa ni hujuma au ilitokea bahati mbaya? Habari kamili; Seneta mmoja nchini Kenya amekosoa mashirika ya michezo kwa kushindwa kuchukua hatua baada ya mbwa kumfukuza mwanariadha Robert...
0 Reactions
5 Replies
665 Views
Ni jambo la kheri na la kutia moyo kuona nchi zetu za Afrika Mashariki zimechaguliwa ku-host mashindano ya AFCON. Hapo tunatakiwa kujiandaa kwa vitu vikubwa viwili, VIWANJA BORA na TIMU BORA…...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hili tatizo nadhani tunalo muda mrefu. La uswahili, kijicho, wivu na uzumbukuku wa baadhi ya watu. Kama anayosema huyu Prof ni kweli sisi Yanga ni watu wa ajabu sana. Lazima watu watakuwa...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Akizungumzia pambano lake dhidi ya Bondia Julius Indongo wa Namibia katika kuwania Mkanda wa IBA Intercontinetal, Bondia Hassan Mwakinyo amesema tatizo limeanzia kwa promota ambaye ameenda kinyume...
5 Reactions
18 Replies
4K Views
Nimemsikiliza mdigo mwenzangu, sisi watu wa Tanga sio malofa, kwanza ngumi ndio fani zetu, kuna wakati tulikuwa tunacheza mechi za ngumi za uswahili maeneo ya Makorola, yaani mabondia wa Donge au...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Lisandro Martinez anasumbuliwa na majeraha ya mfupa wa mguu ambayo yaliwahi kumweka nje ya uwanja muda mrefu, hivyo kuna uwezekano wa Manchester United kutomtumia kwa muda wa miezi miwili au...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Timu Iliomsajili Sakho, QR Metropole Ya Ufaransa Inayoshiriki Ligi Daraja La Pili Nchini Humo Imecheza Michezo 8 Ya Ligi 2, haijashinda Hata Mmoja, Imetoa Sare 2, na Kukung'utwa 6, Ikifunga Magoli...
13 Reactions
7 Replies
2K Views
Zaweza kuwa ni nchi zitakazofanikisha sana mashindano haya. CAF wasione haya wayalete tu huku kwenye mzuka wa mpira. Ufunguzi iwe Tanzania na ufungaji pia iwe Tanzania. Dua zenu tafadhari. =====...
11 Reactions
171 Replies
11K Views
Mojo kwa moja kwenye mada" Kumekuwa na takwimu inasambazwa kwenye magroup mbalimbali ya michezo eti Mnyama mkali kuliko wote mwituni ndie anaongoza kwa kupiga pasi nyingi. Mimi kama mwana simba...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Licha ya magoli ambayo Jean Baleke amefunga msimu uliopita katika premier league kiuchezaji Mosses Phiri ni mchezaji wa class ya juu zaid kuliko Baleke, Sijui kwanini kocha hataki kumuamin huyu...
15 Reactions
80 Replies
6K Views
Shirikisho la kabumbu Afrika (CAF) limeyakubalia mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa michuano ya Afcon 2027 Ambapo Kwa uchambuzi wangu naona raisi wa Shirikisho la mpira barani Africa...
7 Reactions
60 Replies
3K Views
Ataonekana tena akichezea Milwaukee Bucks ndugu yetu bado anaendelea kupambana na wachambuzi wanasema yupo kwenye good shape ya kuweza kumudu mikiki mikiki ya NBA. Wabongo tuache unafiki wa...
78 Reactions
377 Replies
43K Views
"Kwenye Boxing(masumbwi) kuna mashabiki bondia asiposhinda kwa knock out hawaridhiki, wanataka bondia ashinde sio kwa point bali kwa knock out. Ndivyo ilivyo hata kwenye soka, mashabiki wa Simba...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimeona Dogo Mwakinyo anamcheka jamaa Kiduku, baada ya kupigwa na dogo kutoka south, je yeyey mwakinyo angeweza kumsimamisha huyu msauzi. Kwa maana tukumbuke huyu Mwakinyo alipigwa na Mlevi...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
E D D O K U M W E M B E [emoji860]"Jana Yanga kashinda moja kwa tabu akaupiga mpira mwingi .. Leo Simba kashinda kiurahisi lakini hajaupiga mwingi. Wote wamefanya kitu muhimu POINT TATU. Yote ni...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Fursa ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mataifa Afrika Mwaka 2027 kushirikiana na Kenya na Uganda ni major economy breakthrough! Rais Samia ametoa wito tutatumia kila aina ya rasilimali kila Sekta...
0 Reactions
6 Replies
816 Views
Huu mpango kuna siku utashtukiwa tu, nyie kila mnapokuwa na mechi ngumu mnakimbilia kusaidia yatima au kutoa misaada kwenye madrasa, lengo ni kutafuta ushindi tarehe 30. Dah kazi ipo!
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Jezi kwenda kuzinduliwa bila Kiongozi wa Simba, Inakuwaje? --- Baada ya kufika kituo cha Kisambionyi uongozi wa Simba umekabidhi kibegi 🎒 kwa timu maalum ya wapanda milima ambao ni mashabiki wa...
13 Reactions
94 Replies
8K Views
Yanga ni timu kongwe kuliko timu zote zinazocheza ligi kuu.Ni timu iliyotakiwa kuwa mfano kwa mafanikio ya kimataifa kwa timu za ndani. Hata hivyo jambo hilo limekuwa gumu sana kwao hasa...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Mimi sio shabiki hoya hoya, nilikuwa nikienda uwanjani bila kujalj kama mm ni Simba lia lia, kiukweli katika maisha yangu moja ya mawinga hatari niliowahi kuwaona kwa macho yangu ni huyu marehemu...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom