Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mchezaji wa simba che malone alisababisha ajali na kumua dereva wa bodaboda katika ajali iliyotokea mikocheni juzi. Havari zilizopatikana kutoka eneo la tukio zinasema mchezaji huyo alikuwa...
9 Reactions
34 Replies
7K Views
Akihutubia kama mgeni Rasmi siku ya Simba Day, Rais Dk. Samia amesema Serikali yake Itajenga Viwanja vya Mpira wa Miguu vipya 2 kwenye Miji ya Arusha na Dodoma Ili kujiandaa na kuwa mwennyeji wa...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Atakayenibishia hili GENTAMYCINE nitamdharau hadi Dunia itakapopinduka na kumuona hazijamtimia Kichwani kwakuwa ni Jambo ambalo liko wazi hata tu Kiuhalisia. Asanteni sana Simba SC kwa kwenda...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba ( 7 ) hadi Kumi ( 10 ) Kumpongeza Rais Samia...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa miaka mitano hii ya ushiriki wa Simba kwenye michuano ya kimataifa timu yetu ya ni kama haipigi hatua. Tunaishia pale ple tu ambapo tunaishia miaka ya nyuma. Kwa mtazamo wangu...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwahiyo Mkude aliamini kabisa kuwa akienda Yanga SC atamtoa Khalid Aucho, Mudathir Yahaya na atashindana Kiuwezo na Salum Abubakary 'Sure Boy' na atapambana na Mgeni anayekichafua katikati huku...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
GENTAMYCINE nimehakikishiwa kuwa huwa Unanisoma mno tu hapa JamiiForums huku muda mwingi ukiwa Unacheka kwa Ukomedi wangu wa Kiuandishi na Kiuwasilishaji wa Masuala Mtambuka hivyo basi naamini...
1 Reactions
14 Replies
927 Views
1.Eliud kipchoge (38) bingwa wa MAJOR marathons mara 11 2.Novak Djokovic (36) bingwa wa tennis Grand slam 24 3.Christian Ronaldo ( 38) mshindi wa balloon d'Or award mara 5 Note:hizo nimeweka...
2 Reactions
7 Replies
701 Views
Kuwa na Afya njema ni zaidi ya kukosa maumivu mwilini, jeraha au kuvunjika mifupa. Mpira unachezwa na mwili pamoja na akili. Mchezaji che Malone amepata ajali ya gari usiku pale maeneo ya...
12 Reactions
41 Replies
6K Views
🔰Kwa mujibu wa Kocha wa Al Merrikh Osama Nabieh anasema kuwa Mabingwa wa nchi Yanga ni miongoni mwa timu zinazoogopewa kwa sasa Barani Afrika.
9 Reactions
28 Replies
5K Views
Mtendaji mkuu wa bodi ya ligi ; "Ligi yetu imesimama kwasababu ya ratiba ya awali iliyotolewa na CAF ,kwani kati ya tarehe 22 -25 kulikuwa na ratiba ya michuano ya CAN ,Bahati mbaya CAF wamekosa...
11 Reactions
9 Replies
2K Views
Mosses Mkandawile alikuwa golikipa wa Simba, kipa huyu alikuwa akiwaudhi sana mashabiki wa Simba kwa namna alivyokuwa akifungwa magoli ya hovyo. Lile goli alilofungwa Ayoub Lakred kule Ndola...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Rafu aliyofanyiwa Inonga na Haji Ugando ilikuwa kinga ya Haji Ugando dhidi ya Inonga. Kama Haji asingezuia mguu wa Inonga angeumia sana. Inonga Hana tabia ya kujali afya za wachezaji wenzake...
7 Reactions
33 Replies
5K Views
Wakuu mfano mechi inaendelea kocha akaamua kufanya sub halafu mchezaji akagoma kutoka, kama ni kipindi cha kwanza tunaweza kusema labda baada ya mapunziko atazuiwa kurudi. Je kama ni kipindi cha...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa mtazamo wangu ile game ya Yanga na Namungo ilikuwa iishe bila kufungana, ninaamini hivyo kwasababu ukiangalia ile game utaona jinsi Namungo walivyokuwa tayari wamefanikiwa kuwazuia Yanga hadi...
2 Reactions
2 Replies
659 Views
Ukweli usemwe Fiston Kalala Mayele aliona mbali uwepo wa Huyu Mwamba ndio maana alikimbia. Kumbuka Jean Baleke alimshinda Mayele ufungaji Bora huko ligi kuu ya DRC misimu mitatu iliyopita!
7 Reactions
54 Replies
4K Views
[emoji3091]CHUNGUZA HII PICHA VIZURI [emoji818]Baleke Na Ntibazonkiza Wamejikuta Wakiacha Majukumu Yao, Ya Kutafuta Open Spaces ili Wapokee Pass Kutoka Kwa Cloutus Chota Chama "Big brain Player"...
12 Reactions
71 Replies
3K Views
Simba bado wanacheza mpira wa hovyo "Achana na idadi ya magoli yaliyofungwa na Simba leo, kwa aina ya timu iliyokutana nayo na aina ya mchezo ulivyokuwa ilikuwa ni nafasi ya kutupa mechi safi...
8 Reactions
69 Replies
4K Views
Mwanariadha pekee wa Tanzania wa kike, Magdalena Shauri ameshika nafasi ya Tatu na kuweka rekodi ya Taifa kwa kukimbia muda wa 2:18:41 katika mashindano ya berlin Marathon Leo huko Ujerumani. ===...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
"Kuna kampeni inafanywa kuumiza wachezaji wetu wa Simba ili Simba isicheze vizuri kama walivyomuumiza Moses Phiri" [emoji2399] Murtaza Mangungu Mwenyekiti wa klabu ya Simba.
8 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom