Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni kama Simba sc haikwenda kushinda ule mchezo ila makosa ya wachezaji baadhi yakapekekea Simba sc kuondoka na ushindi,. 1. Baleke: Nimeona magoli aliyeshinda huyu jamaa nikama vile...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Utasikia mara oh, SEMAJI la CAF. Kwa kizungu ina maana ya SPOKES PERSON wa CAF. Hii nafasi kaipata lini? Au tuseme, Afisa MAELEZO wa CAF. Kapata lini ajira hiyo? Au ni pale tunapodhihirisha kwamba...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Wale mnaosema Haaland ni bonge la mtu basi mje muone jitu la miraba minne huku. Pichani ni mcheza kikapu wa NBA ambaye ni Msenegal akiwa na wachezaji wa Man City akiwemo Haaland.
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Msimu ulioisha alimkanyaga teke la usoni kiungo wa Yanga Sure boy nusura amuuwe na refarii alimwangalia tu. Hata kamati ya nidhamu ya TFF nayo haikuto adhabu yoyote. Tulipiga kelele sana...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Muda mfupi baada ya kuondoka Singida Fountain Gate FC, Kocha Ernest Middendorp ameweka wazi sababu ambayo imemuondoa kwenye klabu hiyo. Akizungumza katika mahojiano na Mtangazaji Robert Marawa...
6 Reactions
52 Replies
5K Views
Mfumo wa Robartinho hautaki uchezaji wa aina Clatous Chama na Moses Phili. Chama anafunga kwa kutumia juhudi zake binafsi sio mfumo wa Robertihno. Kocha anataka mpira wa kasi tofauti na Chama na...
9 Reactions
48 Replies
3K Views
Baada ya gemu ya jana mashabiki wa Coastal Union wamejitokeza na kutishia kusoma albadir viongozi wao kwa maelezo yao kwamba wameuza gemu. Shabiki mmoja akiongea kwa uchungu amenukuliwa akisema...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Tofauti yake ni nini? Kwa nini Azam astahili kuwepo nafasi ya pili? Alielewa aelezee.
0 Reactions
9 Replies
700 Views
Azam Football Club vs Singida Fountain Gate START : 1900 2ND :Azam FC 1-1 Singida FG 2nd Half.
4 Reactions
181 Replies
7K Views
Hawa marefa wataibeba Simba paka lini? Mbona tunaona wachezaji wengine wakifanyiwa rafu mbaya ila hatuoni red card zikitolewa? Rejea mchezo wa jana kati ya Yanga vs Namungo Lomalisa Mutambala...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Man Utd chini ya ten Hag. Style of play hakuna, team's identity hakuna, the drive and force ya wachezaji hakuna. Ni jembe yupi ungependa achukue usukani pale Man Utd.
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Habari Wana jf Leo nmefaikiwa kufanya utabiri Kwa kumtumia mdudu Kwa kinyakyusa anaitwa (sonda kipake). Ni mdudu (buu) in English (pupa) anajifungia kwenye vijiti vidogo vidogo vilivyotengenezwa...
2 Reactions
51 Replies
2K Views
Leo saa 10:00 jioni Simba SC itakuwa kibaruani kucheza dhidi ya Coastal Union katika dimba la Uhuru Dar es Salaam. Ni mchezo wa raundi ya tatu ya NBC Premier League ambapo kila timu inahitaji...
11 Reactions
470 Replies
28K Views
Mashabiki na wapenzi wengi wa Yanga watapata kisukari kwa utamu wanaoupata kutoka Yanga....hili ni tatizo lidhibitiwe. Lakini pia wale wa upande wa pili Wana kila dalili ya matatizo ya afya ya...
16 Reactions
44 Replies
2K Views
Natoa pole kwa beki wangu Inonga Baka, kitendo kilichofanywa na Hijja Ugando mchezaji wa zamani wa Simba hakikuwa cha makusudi wala dhamira ovu, Ugando alikuwa katika pilika za kumtoka Inonga ili...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Kila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba. Kwa mujibu wa msemaji wa Coastal, kuna watu undercover walikuwa nyuma...
7 Reactions
53 Replies
4K Views
Droo ya kupanga makundi fainali za Afcon 2023 zitakazofanyika nchini Ivory Coast mwakani itafanyika Oktoba 12 na Tanzania ipo katika pot 4 na timu za Guinea Bissau, Msumbuji, Namibia, Angola na...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Yes hakuna anayebisha Coastal wagosi wa kaya waja leo waondoka leo ni tawi la Simba, Simba wakiwa wanauhitaji wa magoli yoyote au pointi tatu mbele ya Wagosi andika vema lazima malengo yao...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
MABAO mawili aliyofunga dhidi ya Power Dynamos huko Zambia, yamemfanya Clatous Chama azidi kuinyemelea rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Ligi ya Mabingwa Afrika inayoshikiliwa na nyota...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza Getafe wameuza jezi nyingi zenye jina la Mason Greenwood mgongoni ndani ya wiki moja kuliko walizouza kwa mchezaji yeyote katika historia ya klabu hiyo. Mkopo wa Greenwood huko...
2 Reactions
11 Replies
723 Views
Back
Top Bottom