Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

𝗠𝗔𝗪𝗔𝗭𝗢 𝗬𝗔 𝗠𝗧𝗨 𝗬𝗔𝗛𝗘𝗦𝗛𝗜𝗠𝗜𝗪𝗘 Almost tunamaliza mwaka chini ya Robertinho lakini mpaka sasa hatuna identify ya mpira tunao utaka, hatuna kikosi cha kwanza na wala hatuchezi vizuri. Msimu ulio pita...
13 Reactions
43 Replies
4K Views
"Tunaenda kucheza mchezo mzuri, hayo matokeo hatutaangalia kimsingi hata tukipata hayo matokeo Ila tuonekane tumecheza vizuri". But kila la kheri Namungo
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ronaldo Luis Nazario Délima mzaliwa was Rio Dejaneiro mnamo 1976 September 18 ni Moja kiumbe hatari na gwiji la kihistoria katika Mchezo wa soka ndani na nje ya Brazil kuwahi kutokea. Kati ya...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
leo kuna mtanange kabambe wa UCL pale Allianz Arena ni Bayern Munich Vs Man Utd. Utabiri wako upoje?
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Najua ukiwa chizi huwezi kuona kweli nyingi zaidi ya kuwa na picha ya uongo kuhusu we mwenyewe. Kuna magonjwa ya akili yanasababisha kitu kinachoitwa "Delusion of grandeur", mtu kujisikia ni...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Mechi za karibuni Simba imeshinda au imetoa sare.. haijapoteza.. Sasa matusi yalenga nini!? Yaani kinachoumiza Simba ni matokeo ya yanga.. Ina maana kwa kiwango hiki cha Simba na ingetokea yanga...
11 Reactions
20 Replies
2K Views
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ametoa kicheko hicho alipoulizwa swali wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kiwango cha wapinzani wao, Manchester United jinsi walivyoanza msimu...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna taarifa za kusikitisha za vifo vya mashabiki wa Namungo wakielekea Dar kwenye match ya Yanga vs Namungo Leo ambapo gari lao lilipata ajali njiani Leo mabingwa yanga watakutana na namungo saa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Msemaji wetu ni hodari wa maneno akasema kipa wetu anaweza kusoma gazeti wakat mechi ikiendelea. Sasa imekuaje karuhusu goli 2 na hata gazeti lenyewe hakusoma! Je, akisoma gazeti itakuwaje siku...
6 Reactions
8 Replies
566 Views
Aisee huyu kijana sijajua kama anatafuta Kiki au Coastal Union imebadilika kiasi hiki, kwamba Mwinyi Zahera ameibadilisha Coastal au uwepo wachezaji wa kigeni umeibadilisha Coastal au uwepo wa...
1 Reactions
6 Replies
553 Views
Tayari umeshajulikana na Uongozi umeita Wazee Kusoma Kitabu kwa Wachezaji wote Wazawa Washirikina ( wale wale ) wa kutoka Zanzibar waliosoma Kitabu Kipindi kile cha Simba Taliban ( waliokuwa...
24 Reactions
40 Replies
4K Views
Wakuu kwa mara nyingine nipo hapa kwenye jukwaa la michezo kushea mawili matatu kuhusu mambo ya michezo na mazoezi. Kuna mwamko mkubwa sana wa wananchi kupenda michezo na kujihusisha na matukio...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
Kijana ambaye yuko busy anapataje muda wa kuzurura wiki nzima. Vijana 500 kwa wiki nzima hawako kazini ni hasara kwa taifa
7 Reactions
49 Replies
3K Views
Waziri wa michezo wa Rwanda Akipokea kwa niaba ya Raisi Kagame . https://m.youtube.com/watch?v=OKCQOPb1DkM Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said mapema leo ametoa zawadi ya jezi kwa Rais wa Rwanda...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Lile garasha limesajiliwa billion 3. ($1.3 milion). Mishahara ya wachezaji Yanga Ni bilion 2.7 kwa mwaka (ndio kikosi Bora kwa Sasa Tanzania) Izo ela za kumleta huyu jamaa katoa mo na kamtuma...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Kutokana na ubora wa Yanga natamani kwenye hatua ya makundi ipangwe kucheza dhidi ya Mamelod sundown, Al Ahly au Raja casablanca. Tusipangiwe na vitimu vya Simba, Power dynamos au Bamako
14 Reactions
54 Replies
4K Views
Moja kati ya sifa kuu ya kocha mzuri basi Lazima ajue kupanga kikosi kinachoanza mechi. Sasa huyu mbwiga hajui hata selection ya fist eleven yake. Kocha Hana mbinu, hawezi kusoma mchezo kadri...
14 Reactions
54 Replies
3K Views
𝐑𝐄𝐒𝐏𝐄𝐂𝐓 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐍𝐂𝐇𝐈[emoji617]🫡 Dakika ya 12 ya mchezo wetu wa Jumatano dhidi ya Namungo FC, tutasimama kwa Dakika 1 kuwashukuru Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Klabu yetu waliosafiri kwenda...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
"Aubin Kramo anasumbuliwa na goti, huenda tatizo lake lilianzia ASEC [emoji1081] lakini limekuja kujitokeza Simba. Tumempa ruhusa kwenda Nchini kwao (Ivory coast) kujitibu zaidi kisha atarejea...
12 Reactions
36 Replies
3K Views
Mtanzania Novatus Miroshi ametua Ukraine katika Klabu ya Shakhtar kwa mkopo kutokea zulte waregem ya ubelgiji. Hii itampa fursa ya kukipiga UEFA ambapo wamepangwa na barca, porto na royal antwerp...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom